Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kumekua na mvutano mkubwa kati ya google na baadhi ya serikali ikiwemo China kwamba huwa inatia taarifa zake bila idhini sasa najiuliza tofauti hasa ya hivi vitu ni ipi?
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Wanabodi, Wale wenye access, watch TBC-1 now!. Katibu Mkuu, Wilson Mukama, Dr. Bansen Banna, Shaffi Adam Shaffi na mwanahabari nguli wa the Eastafrican. Wanaichambua dhana ya kujivua gamba...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Mashtaka mapya watuhumiwa CCM Send to a friend Friday, 02 December 2011 21:24 0digg Katibu Mkuu wa CCM,Willson Mukama NI WANAOTAJWA KWA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
02 DECEMBER 2011 Na Rachel Balama MARAIS nane kutoka nchi mbalimbali barani Afrika, Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), na Makamu wa Rais wa tatu, wamethibitisha...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwanini vijana wa kizazi hiki hatuna uthubutu, kwanini ni vigeugeu. Hatuna nidhamu ya kazi, hatuna uzalendo,hatuna malengo, hatuna subira. Natoa wito vijana wenzangu tusimame tuitetee nchi...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kesho Chama cha Wananchi CUF kitakuwa na mazungumzo na Raisi-Ikulu kesho ilihali hakijaweka wazi nini zitakuwa ajenda. Kwa mujibu wa vyombo vya habari CUF itaanika hadharani mazungumzo yao kesho...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Kwa mara ya kwanza ktk historia ya vikao vya nec ya ccm,maoni ya EL na wote waliomfatia yalikuwa yakisikika kila kona ya nchi na dunia kwa ujumla hii ni kutokana na kukua kwa teknolojia ya habari...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifuatilia mambo kadhaa yanyo jitokeza Tanzania, wabongo tumebaki watu wa kusubiri kila jambo wafanye CHADEMA, nasi tushabikie, so CDM wanapofikia mwisho wao sisi hubaki...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamii inapoishi kama jamii,familia,kikundi,kabila,Taifa kuna migongano na maelewano.Hivyo kutokana na migongango na maelewamo hayo uzaliwa dhana mpya na hivyo kuibua hatua nyingine ya maendeleo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ktk taarifa ya habari ya TBC ya saa mbili usiku,NAPE amesema kuwa chama cha mapinduzi ccm kitalichukulia hatua gazeti linalochapishwa kila siku hapa Tz kwa kuandika habari za kupotosha umma na...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Wakuu naomba kuuliza! Hivi ni kweli Bush alikuja all the way kutoka US kuja kukagua salon ya nywele za akina mama pale Magomeni na kupokelewa na Rais wetu, au ndo tushauzwa? Nilishanga sana kuona...
1 Reactions
38 Replies
5K Views
UTEUZI wa wakuu wa wilaya na wale wa mikoa mitatu mipya unaotarajiwa kufanywa wakati wowote na Rais* Jakaya Kikwete, umezua tafrani kubwa katika baadhi ya wilaya na mikoa baada ya kuvuma kwa...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Nimesoma front page ya Mwananchi ya leo kwenye mtandao, kuna habari za CCM kuunda kamati ya nidhamu ya chama kushughulikia 'magamba' yaliyogoma kuvuka kwa hiyari. Kiini cha hoja yao ni 'utuhumiwa...
0 Reactions
0 Replies
926 Views
Katiba ya jamhuri ya muungano wa tz ibara 37(1)"raisi atakuwa huru na hatalazimika kufuata ushauri atakaopewa na mtu yeyote" wana jf kuna uwezekano au haupo wa raisi"kudictate"?bila itikadi na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Lowassa amtisha Kikwete kujiokoa *Vita ya ufisadi yageuzwa vita ya urais *Mchezo mchafu wahusisha familia *Mukama: Hakuna fisadi atakayepona Na Waandishi Wetu WAKATI Waziri Mkuu wa...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Nimekuwa nikijiuliza hili swali muda mrefu bila kupata majibu,kwanin Vijiji vya Ujamaa havikuwahi kufika Kilimanjaro hususani Uchaggani na Bukoba? Kama nakosea ruksa kunisahihisha,lakini sijawahi...
1 Reactions
39 Replies
7K Views
kutokana na taifa kuwa katika kitisho cha al shabab ni vema mwema azuie hotuba ya rais ya leo kwa taifa kwani kitisho hiki bado kinaendelea na bado polisi hawajatuambia kitisho hiki kimeisha
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Wanabodi, Ule msemo wa " Kunguru mwoga, hukimbiza bawa lake!" leo umeendelea kwa Chama Cha Mapinduzi, kumuopa kada wake RA kana kwamba ni mungu mtu, hivyo sasa kinamtishia nyau kumpeleka...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
juzi Obama katoa slam za UHURU leo GEORGE BUSH na mke wake wamekuja Tanzania kukutana na raisi KIKWETE kuna nini humu "JK TAFAKARI" kuwa makini.......
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Mnyika: Jitokeze kesho, 2nd Dec, 2011 Ukumbi IFM ktk Mkutano wa wadau ulioitishwa na TANESCO!Kukataa ongezeko la bei ya umeme Kesho tarehe 2 Disemba 2011 katika Ukumbi wa Makumbusho Dar es...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Back
Top Bottom