Bush Rais wa Marekani anakabidhiwa lin? Hati ya aridhi ya Kigamboni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bush Rais wa Marekani anakabidhiwa lin? Hati ya aridhi ya Kigamboni?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kimboka one, Dec 3, 2011.

 1. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #1
  Dec 3, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  wadau nisaidieni eti huyu mkoloni anapewa lini? Hati ya eneo la kigamboni maarufu kama mji mpya wa kisasa aliopewa rais mstafu wa US,Maana kuna tetesi alifanya ziara huko
   
 2. Ground Zero

  Ground Zero JF-Expert Member

  #2
  Dec 3, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we ulitaka akabidhiwe lini?
   
 3. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #3
  Dec 3, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 289
  Trophy Points: 180
  Mambo yasiyo ya kweli yanayosemwa mitaani ni hatari pale wale wanayoyasikiliza wanapoyaamini. Bush kaja nchini mwetu kama sehemu ya kufuatilia kwa kuona mafanikio ya miradi ya afya iliyowapa watu wengi uhai ambayo aliiasisi akiwa Raisi. Mtu HUYU Bush kwa aliyoyafanya kwetu alistahili Kukaribishwa kwa heshima na sio kejeli. Hivi wenzetu ambao wanakadiriwa kuwa laki mbili na nusu wanaopata dawa za kurefusha maisha bure wangekua wapi leo? Hapa tusizungumzie wanotumiamdawammseto za malaria zinazopatikana pia kwa bei punguzo. Wandugu tatizo letu la kushindwa kuthibiti mali asili zetu ni letu kupitia kwa viongozi wetu wanaotenda mambo Kama alivyofanya Mangungu Yule mtawala wa Morogoro aliyesaini makaratasi ya Karl peters. Wandugu tuwe na kiu ya kujua mambo kuliko kuishia kuzungumzia mambo yasio ya kweli. Mfano nani mwenye uhakika kwamba Bush hata amewahi kuusikia mradi wa Kigamboni Tanzania? Wajameni acheni utopia
   
 4. Maarifa

  Maarifa JF-Expert Member

  #4
  Dec 3, 2011
  Joined: Nov 23, 2006
  Messages: 2,873
  Likes Received: 1,045
  Trophy Points: 280
  Lisemwalo!
   
Loading...