Wanzanzibar, ni muda sasa kukiunga mkono CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanzanzibar, ni muda sasa kukiunga mkono CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mughwira, Dec 3, 2011.

 1. M

  Mughwira Senior Member

  #1
  Dec 3, 2011
  Joined: Jun 10, 2008
  Messages: 108
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ndugu zangu natoa ushauri wa bure kwa Wazanzibar wote kukiunga mkono CHADEMA, kwa sababu kuu zifuatazo:-
  1. CHADEMA ni chama pekee kilichonyesha msimamo wa kuwa na serikali TATU kilio cha muda mwingi cha Wazanzibar.
  2. CUF imejiunga na CCM hakuna upinzani tena Zanzibar, CHADEMA kitakuwa chama mbadala cha upinzani kwa muda huu mpaka kufikia 2015 kitakapochua dola ya Zanzibar na Tanganyika.
  3. Mhe.Tundu Lissu ameonyesha mapenzi ya dhati kwa Wazanzibar kwa kuwaeleza ukweli na sio unafiki wa wazee wa Baraza la Mapinduzi na CCM ambao hawataki kuzungumzia ukweli wa Muungano kwa kuogopa kupoteza vibarua vyao (wachumia matumbo)
  4. CCM na CUF wanajua nguvu ya CHADEMA ndo maana kwa muda mrefu wanasema ni chama cha kikanda , kidini nk ili kuwapumbaza Wanzibar wasikiunge mkono. Sasa ni wakati wa Wazanzibar kuona hili kwa jicho la pili.

  Nawasilisha
   
 2. MAGAMBA MATATU

  MAGAMBA MATATU JF-Expert Member

  #2
  Dec 3, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 617
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 60
  Tatizo watanzania(tanganyika na zanzibar) wakiambiwa ukweli ndoo wananuka na kukasilika ila wakidanganywa kwa kufurahishwa kwa maneno matamu hapo ndoo wanaona safi, TUNDU LISU alichokisema ndoo ukweli na ndio muafaka kamili wa kuijua tanganyika ,zanzibar na tanzania, alijaribu kuwaonyesha ukweli watanzania ni kiasi gani tumefichwa mambo na hawa ccm wakiwemo na ndugu zangu CUF , kwa hili nawaomba ndugu zangu CUF wawe wakweli kwa wananchi wao, wasiwape maneno matamu yaliyona uongomwingi.

  jamani tuijenge TZ kwa kuwa na viongozi wasema ukweli.
   
 3. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #3
  Dec 3, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ok wamekuelewa nafikiri! lakini wao katika sihasa ni wazuri zaidi kuliko hata sisi huku tuwape muda lakini nabashiri kuzaliwa chama kingine znz kitakachokuwa mbadala wa kafu.
   
 4. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #4
  Dec 3, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Magwanda at work.
   
 5. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #5
  Dec 3, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,738
  Likes Received: 6,014
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye red; tuombe visizaliwe vyama dizaini hiyo hapo chini:

  1. Lashkar-e-Omar (LeO)
  2. Sipah-e-Sahaba Pakistan (SSP)
  3. Tehreek-e-Jaferia Pakistan (TJP)
  4. Tehreek-e-Nafaz-e-Shariat-e-Mohammadi
  5. Lashkar-eJhangvi (LeJ)
  6. Sipah-e-Muhammad Pakistan (SMP)
  7. Jamaat-ul-Fuqra
  8. Nadeem Commando
  9. Popular Front for Armed Resistance
  10. Muslim United Army
  11. Harkat-ul-Mujahideen Al-alami(HuMA)


  1. Hizb-ul-Mujahideen (HM)
  2. Harkat-ul-Ansar (HuA, presently known as Harkat-ul Mujahideen)
  3. Lashkar-e-Toiba (LeT)
  4. Jaish-e-Mohammad Mujahideen E-Tanzeem (JeM)
  5. Harkat-ul Mujahideen (HuM, previously known as Harkat-ul-Ansar)
  6. Al Badr
  7. Jamait-ul-Mujahideen (JuM)
  8. Lashkar-e-Jabbar (LeJ)
  9. Harkat-ul-Jehad-al-Islami(HUJI)
  10. Muttahida Jehad Council (MJC)
  11. Al Barq
  12. Tehrik-ul-Mujahideen
  13. Al Jehad
  14. Jammu & Kashir National Liberation Army
  15. People’s League
  16. Muslim Janbaz Force
  17. Kashmir Jehad Force
  18. Al Jehad Force (combines Muslim Janbaz Force and Kashmir Jehad Force)
  19. Al Umar Mujahideen
  20. Mahaz-e-Azadi
  21. Islami Jamaat-e-Tulba
  22. Jammu & Kashmir Students Liberation Front
  23. Ikhwan-ul-Mujahideen
  24. Islamic Students League
  25. Tehrik-e-Hurriat-e-Kashmir
  26. Tehrik-e-Nifaz-e-Fiqar Jafaria
  27. Al Mustafa Liberation Fighters
  28. Tehrik-e-Jehad-e-Islami
  29. Muslim Mujahideen
  30. Al Mujahid Force
  31. Tehrik-e-Jehad
  32. Islami Inquilabi Mahaz
   
 6. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #6
  Dec 3, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Wazanzibar si watu wa kudanganyika kihivyo, hizo sera zako peleka Arusha na Moshi.
   
 7. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #7
  Dec 3, 2011
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mbwa haingii msikitini ila kwa bahati mbaya.
   
 8. h

  hans79 JF-Expert Member

  #8
  Dec 3, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  nenda Algeria au uliza kwa walofika huko, hata znz wanajua nini cdm wanataka kwa tz
   
 9. M

  Mughwira Senior Member

  #9
  Dec 3, 2011
  Joined: Jun 10, 2008
  Messages: 108
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hujamalizia vyema ... kwa bahati mbaya akiwa anamfuata mwenye mbwa/ au master wake hapo iko vizuri...
   
 10. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #10
  Dec 3, 2011
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  nyinyi mukishakupata moja baridi moja moto huaga mijineno yanawatoka tu huko, sisi huku ndo tunajua 'each and every thing' tena kwa utafiti sio kuporoja
   
 11. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #11
  Dec 3, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,956
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Ngoja Hamad amfukuze Hamad Rashid Cuf, ndo Cdm wanaweza kuwa na matumaini kuwa atajiunga kwao na kuanza na nguvu ya kutosha kuipiga chini Cuf.
   
 12. L

  Lua JF-Expert Member

  #12
  Dec 3, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wangekuwa si wa kudanganyika wangepoteza maisha (2001) halafu mwisho wa siku wameambulia maalim seif kutembea na ving'ora!
   
 13. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #13
  Dec 3, 2011
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mimi sina shaka ya kwamba sio wakati wa kuwaza tu hua unatumia masaburi ni imani yangu kua hata wakati wa kula unapowadia hua unakula kwa kutumia madude hayo! Usingeweka ufyorota wako huu hapa!!
   
Loading...