Nchi yetu haina UDINI.

David webb

Senior Member
Nov 20, 2011
159
84
Habari zilizopo hivi sasa ni kuhusu mji wa TANGA kuwa ndio utakuwa mji wa kwanza kujengwa machinjio rasmi ya NGURUWE? madiwani wote wameshasaini, amebaki MEYA nae hana namna atasaini.Project proposal na Action plan viko tayari,Hapo ndipo tulikofikishwa.

Lakini angalau itasaidia kuwapa ajira vijana wetu na itakuza uchumi wa TANGA na jamaa zetu watapata pesa za kuezeka mabati kwenye nyumba zao badala ya makuti.








"UTAIFA KWANZA UDINI HAUNA MPANGO"
 
Habari zilizopo hivi sasa ni kuhusu mji wa TANGA kuwa ndio utakuwa mji wa kwanza kujengwa machinjio rasmi ya NGURUWE? madiwani wote wameshasaini, amebaki MEYA nae hana namna atasaini.Project proposal na Action plan viko tayari,Hapo ndipo tulikofikishwa.

Lakini angalau itasaidia kuwapa ajira vijana wetu na itakuza uchumi wa TANGA na jamaa zetu watapata pesa za kuezeka mabati kwenye nyumba zao badala ya makuti.








"UTAIFA KWANZA UDINI HAUNA MPANGO"

Hakika, asiyetaka akae nyumbani.
 
Ingependeza neno UDINI usiliweke ili mjadala upendeze lkn kwa kuweka haka ka neno umeshaamishia mjadala kwenye udini wakati hili lilikuwa linafaa lijadiliwe kisiasa na kiuchumi zaidi vinginevyo ungeipeleka post yako kunakousika.
Ni mawazo yangu tu.
 
ingependeza neno udini usiliweke ili mjadala upendeze lkn kwa kuweka haka ka neno umeshaamishia mjadala kwenye udini wakati hili lilikuwa linafaa lijadiliwe kisiasa na kiuchumi zaidi vinginevyo ungeipeleka post yako kunakousika.
Ni mawazo yangu tu.

swadakta
 
Umesema nchi haina dini. Nguruwe ameingiaje kwenye suala la dini?

Au Nguruwe ana dini gani?

Mtu kama hali Nguruwe ni kwa utashi wake, kwani ni mnyama kama wanyama wengine, hongereni waliofanya proposal za kuwapa ajira vijana wa Tanga.
Nimekumbuka ngoja niwahi kwa Shirima!
 
But why TANGA and not Mbeya,kilimanjaro,Moshi N.K
Labda because of "strategic location"

Tanga ni btn Kilimanjaro,Dar and AR..

Pia pengine mazingira ya Tanga pia yana favor ufugaji wa nguruwe kwa gharama ndogo...
 
MASWALI MAGUMU MAJIBU MEPESI......-Jenerali Ulimwengu ( Rai article in the 1990's)

Kwanza suala hili kama lilivyokuwa suala la Kigamboni serikali ya CCM kama kawaida yake imeamua kufanya mambo bila kuzingatia mambo kwa kina na mapana.

Kwanza tunaweza kujiuliza waliotoa maamuzi haya ni akina nani?

Pili wizara husika ni ipi na je nani anayo hiyo proposal ?

Tatu feasibility study ilifanywa na akina nani?

Je recommendations zao ziliangalia mambo yepi?

Je walifanya environmental impact assessment?

Tatizo hapa ni kuwa serikali yetu haikufanya wala haiku husisisha jamii kwa ujumla (Public/Community Involvement) so its quite obvious kuwa kama ilivyokuwa Kigamboni hakukufanyikainteractions between planners (mipango miji), decision-makers (wizara husika) individual and representative stakeholders (wananchi na madiwani ) ili waweze kujua hili suala kwa undani zaidi na kupata mawazo yao leo na bila kusahau on contnous basisi ( mawazo yao endelevu hata baada ya mradi kuanza) kwani wao ndio watakao athirika na huu mradi na si wengine.


Uhusishwaji wa raia moja kwa moja (Public/Community Engagement ) hii tofauti na hiyo involvement hapo juu jii ni uhusishwaji wa wananchi MOJA KWA MOJA kwenye kwenye mchakato na hatua za maamuzi wa ujengwaji wa haya mabucha na hii nazungumzia makundi yote katika jamii
La mwisho ni consultation zipi zilifanywa na hao waliotoa maamuzi not only na wananchi lakini pia na watu wa Afya na usalama (health and safety), watu wa mazingira kabla maamuzi hayajafanywa?

Ukisikia serikali haina mwelekeo ndio huku kwani in the wake of bad press na breakdown of trust between Govt na wananchi, why introduce vitu ambavyo vitaleta mgongano kati yao na wananchi?

Time for CHADEMA to rise up to the occasion na kuuliza maswali Magumu...this is a clear vote winner for CDM...kama wataweza kui milk hii issue to the max
 
Sidhani kama ni kweli ati Tanga utakuwa mji wa kwanza kuwa na machinjio rasmi ya nguruwe. Jiji la Mbeya wana machinjiio rasmi ya kitimoto kwa muda mrefu sana yako pale Uyole kuelekea ilipopita reli ya Tazara. Kule vitimoto kila siku wanapelekwa kibla na dr. wa manispaa anakuwepo kudhibitissha ubora wa mnyama
 
Ingependeza neno UDINI usiliweke ili mjadala upendeze lkn kwa kuweka haka ka neno umeshaamishia mjadala kwenye udini wakati hili lilikuwa linafaa lijadiliwe kisiasa na kiuchumi zaidi vinginevyo ungeipeleka post yako kunakousika.
Ni mawazo yangu tu.

Sawasawa!
 
Back
Top Bottom