Chadema yatoa semina elekezi kwa viongozi wake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema yatoa semina elekezi kwa viongozi wake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by figganigga, Dec 3, 2011.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Dec 3, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,307
  Likes Received: 4,751
  Trophy Points: 280
  CHADEMA imetoa semina elekezi kwa viongozi wake kutoka mikoa 26 ya Tanzania
  Dr.Slaa kasema semina ilihusu mambo mengi ikiwemo mchakato wa katiba mpya. Kasema wao ndo wapo karibu na wananchi so hiyo elimu wataipeleka hadi ngazi ya msingi ambayo ccm wanaiita "shina". Na kwa kuwa bado rais anaendelea kupoke maoni kutoka makundi mbalimbali ikiwemo chadema basi mapendekezo ambayo watayapata kwa wananchi watampelekea.na tundu lissu alikuwepo. Mia
   
 2. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #2
  Dec 3, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,385
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Pamoja daima
   
 3. m

  matawi JF-Expert Member

  #3
  Dec 3, 2011
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,058
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hivi shinyanga walimpata mrishi wa shelembi magadula?
   
 4. m

  matawi JF-Expert Member

  #4
  Dec 3, 2011
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,058
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki chadema
   
Loading...