Waungwana ebu tupeane msaada hapa kuhusu huyu Mbunge wa ngorongoro-Saning"o Ole Telele | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waungwana ebu tupeane msaada hapa kuhusu huyu Mbunge wa ngorongoro-Saning"o Ole Telele

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sikujua moze, Dec 3, 2011.

 1. s

  sikujua moze Member

  #1
  Dec 3, 2011
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ni mfanyakazi katika kampuni moja ya kitalii uku ngorongoro.Kwa kipindi sasa nimekua nikifuatilia utendaji wa uyu bwana kuanzia bungeni kwenye uwakilishi wake kwa wananchi mpaka utendaji wake jimboni kwake.

  Nikianzia bungeni kwanza upeo wake wa kuwasilisha matatizo ya wananchi ni mdogo sana ukilinnganisha na matatizo yaliyopo jimboni kwake.Kwa mfano kwa kipindi cha ivi karibuni watoto wengi wa kimasai wamekua na muamko mkubwa sana wa kielimu lakini cha kushangaza ule ufadhili wa kuasomesha unao tolewa kwa vijana kipindi cha kuanzia miaka ya 2005 mpaka sasa umekua dhaifu sana kitu kinacho wafanya vijana wengi wa maeneo haya kurudi nyuma kielmu

  Tukija jimboni nako migogoro ya ardhi ndo usiseme utadhani hasikii wala kupata tetesi kuwa wapiga kura wake wanateseka.Makazi ya wananchi duni wamasai wamebaki kua vivutio tu kwa watalii bila kufahamu wananufaikaje.

  Swali langu je uyu nae ni chaguo la wananchi au ndo mkono mrefu wa magamba?

  NAWASILISHA .
   
 2. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #2
  Dec 3, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,319
  Likes Received: 840
  Trophy Points: 280
  Kama ni mbunge wa ccm basi usitegemee badiliko lote wananchi poleni.
   
Loading...