Mnyika tusaidie wapiga kura wako

Ntemi Kazwile

JF-Expert Member
May 14, 2010
2,182
307
Naamini ujumbe huu utakufikia.

Kuna vifusi vimerundikwa kwenye barabara ya Malambamawili-Kinyerezi na kwa kipindi hiki cha mvua ni kero kubwa! Jana kuna gari ilikuwa imetereza na kutumbukia mtaroni.

Ombi langu: vifusi hivi visiachwe bila kusambazwa kwani ni hatari na kero kubwa kwa watumiaji wa barabara hiyo
 
Ebwanae tena kweli Mheshimiwa huyu ni jembe twaminia. Naomba mwenye namba ya huyu Mbunge wetu aiweke hapa jameni niwasiliane nae live ajue matatizo yanayotukabili wapigakura wake. Plse Mhe. Mnyika tupe namba yako tukufahamishe uharamia unaofanywa na baadh ya watu wanaojiona miungu watu. Tafadhali sana.
 
Naamini ujumbe huu utakufikia.

Kuna vifusi vimerundikwa kwenye barabara ya Malambamawili-Kinyerezi na kwa kipindi hiki cha mvua ni kero kubwa! Jana kuna gari ilikuwa imetereza na kutumbukia mtaroni.

Ombi langu: vifusi hivi visiachwe bila kusambazwa kwani ni hatari na kero kubwa kwa watumiaji wa barabara hiyo
Ni kweli,na sisi wakazi wa Salasala,Mbezi Manyema ktk biabara ipitayo Neema Trust Sec School,tunaomba umkumbushe Mh Halima Mdee,tuna tatizo kama hilo na kwa kuongezea tu ni kwamba kifusi tulichangishana wenyewe wananchi,tatizo ni greda tu.We TRUST on you guys.
 
Mimi ninaaunga Mkono hoja yenu kwa sababu hamjasema Kisiasa,ila kama Mbunge wenu mnamkumbusha,Kuna WAHUNI Hudhani kwamba huyu ndiye anatakiwa asambaze Kifusi kumbe hiyo ni kazi ya Halmashauri ya Jiji.Good,Mkumbusheni Kijana Mwenzenu maana anaweza kuwa ametingwa na Majukumu.
 
Mbunge antakiwa afutailie halmashauri kwa niaba ya wananchi

Sasa amekaa ki-politiki..hana mauda wa kufuatlia kero za wapiga kura..
 
Jamani hilo c lanyika nendeni serikari ya mtaa ama kwa diwani wenu c kitu kidogo tu mnyika. Vitaziba vyoo mtasema mnyika aje huko, hilo liko chini yenu watu wa kata hiyo na mtaa wote. Tafuten ufumbuzi wa haraka c mnyika mtamlaum bure.
 
Uko sahihi,lakini hoja yetu haiko hivyo unafikiri.Xi kwamba kwa Sisi wakazi Salasa jimbo la Kawe kwa Mh Mdee ni kwamba,tumeshalipia na gharama ya greda la halmashauri kiasi cha sh laki 3,lakini wanatuzungusha,so tunamuomba Mbunge wetu Mh Mdee akawatie kashkash ndo watakuja maana wameshazoe rushwa hao.
 
Jamani hilo c lanyika nendeni serikari ya mtaa ama kwa diwani wenu c kitu kidogo tu mnyika. Vitaziba vyoo mtasema mnyika aje huko, hilo liko chini yenu watu wa kata hiyo na mtaa wote. Tafuten ufumbuzi wa haraka c mnyika mtamlaum bure.

umeona enheee!!!!!!!!!
 
Ni kweli,na sisi wakazi wa Salasala,Mbezi Manyema ktk biabara ipitayo Neema Trust Sec School,tunaomba umkumbushe Mh Halima Mdee,tuna tatizo kama hilo na kwa kuongezea tu ni kwamba kifusi tulichangishana wenyewe wananchi,tatizo ni greda tu.We TRUST on you guys.

tuko pamoja mkuu hii road anapita RITA MLAKI Former mbunge akienda kwenye shule yake iliyokufa mwaka huu rasmi halafu anamezea kabadilisha njia sikuhizi anapita kule AGAPE TV (ATN) Mdee njoo hapa Africana utusaidie kurekebisha njia
 
Mnatuma maombi bila kupeleka koleo? Sasa hicho kifusi atakisambaza kwa mikono? Huu ndio upumbavu wa watanzania. Kwani hii ni kazi yake?

Mwacheni huyu kijana kwa sasa, mwenzenu juzi tu hapa kaingizwa mkenge wa kisiasa halafu nyie mnakuja na mastress yenu mengine.
 
Vip na ile ahadi yake ya kutatua kero ya maji safi jimbo la ubungo ndani ya siku 90 baada ya uchaguzi ametekereza????
 
Nasie wakazi wa Mwanjelwa twamtaka Sugu aje kugani mistari
Nakumbuka baada ya kushinda kwa kishindo watu walimuuliza vipi kuhusu matamasha ya mziki utaendelea kufanya au ndiyo tamati kwa kuwa ni mheshimiwa.

Jibu alilotoa ni kwamba kama tunahitaji pesa kwa ya maendeleo ya watu wa Mbeya mfano madawati, madawa nk tutafanya show kubwa pesa zitakusanywa na kufanya kazi husika

Sijui hilo la juzi Dar alilo lifanya lililenga nini
 
Duble chris, jipange kifikra, unapojaribu kuwashawishi watu huku ushawishi wako unajengwa na mshango wa mbona, hofu ya ange, majuto ya tusinge, laumu ya mbona, unafeli kabla hujaanza. ichukie serikali kwani ndiyo yenye wajibu wa kutekeleza hayo majukumu, mbunge anakuwakilisha kwenye vyombo vya kutunga sheria, hana jukumu zaidi ya hilo! wananchi hawawezi kuichukia cdm kwa makosa ya ccm. tofautisha kusaidia na kuwajibika. ccm inawajibika, tazama imeshindwa kutekeleza matakwa ya wananchi, unavyojaribu kutuchonganisha na cdm ni kufanya kazi za kibaraka wa kukodiwa na ccm. Mnyika ni mbunge makini.
 
Mnatuma maombi bila kupeleka koleo? Sasa hicho kifusi atakisambaza kwa mikono? Huu ndio upumbavu wa watanzania. Kwani hii ni kazi yake?

Mwacheni huyu kijana kwa sasa, mwenzenu juzi tu hapa kaingizwa mkenge wa kisiasa halafu nyie mnakuja na mastress yenu mengine.

Mkenge kaingizwa jk, kumbe hujui mpaka sasa, angalia anavyohaha kujisafisha, kawaita kafu ajitutumue kufukia mashimo, cdm wameshapita!
 
Naona hoja yangu imevamiwa na viwavi jeshi. Mbunge ndiye mwakilishi wetu serikalini, lengo la makala hii siyo vijembe vya kisiasa bali kutaka mbunge wangu anisaidie kuifuatilia serikali itatue kero yangu. Diwani na Mbunge wanafanya kazi moja na barabara hii huenda inapita kwenye zaidi ya kata moja hivyo mbunge ni sitahiki zaidi
 
Naunga mkono hoja hii, lakini anzeni na Diwani kwanza kwani suala hilo lipo ndani ya uwezo wake. Hata hivo ni vema mkawa na contact za mbunge muwasiliane moja kwa moja ili kurahisisha kazi.
 
Back
Top Bottom