Mbunge wa Lindi Mjini, Salum Barwani (CUF) amewekwa kiti moto na baadhi ya wapiga kura aliokutana nao wakimtuhumu kukaa muda mrefu Dar es Salaam bila kwenda kuwaona. Pia Baraza la Utendaji la...
wakulima wapatao 1000 na matrekta yao zaidi ya 500 wanaandamana hivi sasa na kuziba barabara ya Dom-Dar maeneo ya Kibaigwa kupinga kuondolewa kutoka ardhi yao na kupewa mwekezaji.
Source: radio...
Written by amini // 02/12/2011 // Habari // No comments
Kuna hatari ya katiba mpya kuja kuuwa mkatama mama wa Muungano.
Ahmed Rajab
KWA vile Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba...
Mwanzoni nilikuwa najiuliza huyu jamaa mbona yu dhaifu kiasi hichi? Ilikuwaje aliposhika nyazfa tofauti huko alikopita mpaka sasa. Utetezi wa Lowasa katika kikao cha chama kilichopita kimenipa...
Chama cha wananchi cuf kimemwandikia barua rais kuomba kukutana nae kutoa maoni kuhusu muswada na mchakato wa katiba mpya. Hiyo ndio taarifa iliyopatikana jioni hii ikulu
CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kuwa kitendo cha Rais Jakaya Kikwete kusaini Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Katiba ya mwaka 2011, kimekiuka makubaliano yao, hivyo...
Akiwa amebakiza masiku machache sana katibu mkuu kiongozi mzee Luhanjo yuko katika heka heka kubwa kuwaweka watu wake katika nafasi ya ukurugezi mkuu wa PSPF na TIC, Mzee Luhanjo pale PSPF anahaha...
Bado hatujawa na muundo(structure) thabiti wa serikali
Matokeo yake kuna ubadilishaji holela wa wizara. Ubadiishaji holela wa majukumu ya wizara, Uhamishaji wa majukumu idara kutoka wizara...
Mmommose yuko New York na ujumbe wake toka Bunge la Tanzania
Shibuda na Ujumbe wake wakiwa Jamhuri ya Dominika pamoja na ujumbe wake. siku chache zilizopita.
Misafara si ya Kikwete tu ila...
The protest movement that began in Tunisia in January, subsequently spreading to Egypt, and then to Spain, has now become global, with the protests engulfing Wall Street and cities across America...
Huku akitetemeka EL anasema...
" ...ni kweli Ndugu Mwenyekiti kuwa tulitajwa watu watatu kwenye NEC ya April kuwa tunatuhumiwa kwa ufisadi huko "site".... Lakini niliamini yale yalikuwa...
Michuano ya Chalenji mwaka 2011 imeibua jambo kubwa sana katika akili yangu, na huenda ikaibua mambo mazito sana kwa watanzania wanaofikiri. Michuano hii ya Chalenji, (CECAFA), ni Michuano ya...
Posted on December 1, 2011 by zanzibaryetu
Mwandishi wa Makala hii ni Dk Harith Ghassany akiwa amekaa katika bustani ya kuvutia wanamazingira wanataka kuwe na hali kama hiyo inavyojionesha hapo...
Hebu tujiulize pale Waziri wa Sanaa na Utamaduni anapotia saini makubaliano kwa niaba ya Mhe. Rais na Mh. mbunge kijana anapokubali kutia sahihi makubaliano hayo na kisha alipotoka nje ndipo...
yaani hamuwezi amini mkutano wawadau ulioanza saa 3 asubuhi mpaka saa hizi bado watu wako kwenye chai na picha na mgeni rasmi, ni ajabu na kweli hawa watu wanatumia pesa chungu mzima za wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.