Hatimaye Prof Mwandosya arejea Tanzania toka matibabu India

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Hakika kweli Mungu hamwachi mtu wake, hatimae yale maneno mengi na kelele za wizara ya afya leo zimezimwa pale shangingi liliposogelea ndege ya Emirates na huku gari la kubebea wagonjwa kutoka Swiss port likijisogeza kwa ukaribu zaidi, kuashiria kuna mtu anashuka akiwa ndani ya wheelchair ama stretcher.

Hatimae gari likajisogeza pembeni na kukaribia kwenye Landcruiser gafla mikono ya shupavu Prof Mwandosya ikajitokeza kushukuru watanzania
na kwa maombi yao na ukarimu wao.

Baada ya muda akaelekea kwe nye shangingi ambalo yaaminika ni lake na hapo watanzania wakaona kweli, mzee wetu pamoja na kupungua bado Mungu anampenda na ana nguvu kubwa, huku kipenzi chake cha rihi kikisimama pembeni yake usiniulize nani kikihakisha mzee anaingia ndani kwa ajili ya kuelekea nyumban kwa mapumziko.

Kwa niaba ya JF na wote wanaompenda Mwandosya tunamtakia mzee wetu afya njema na Mungu amrudishie afya njema.
 
Weeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!ajira muhimu zaidi mpwa njo na kamera ama utaki aendelee kuwa kazini huyu ndugu yetu na usimwone tena humu
 
Vp halı yake kıujumla amedhoofu sana? Maskını Prof. Kwann ulıjıhusısha na sıasa za majı taka mzee wangu ılhalı we nı mwanataalum ulıebobea!?
Pole mzee nakuombea kwa Mungu upone haraka na ıkıwezekana uache sıasa rasmı hata kesho ıkıwezekana na jımbo lako mkabıdhı Dr wa ukwelı Slaa alıongoze mpaka 2015 baada ya hapo tumpe Uraıs wa URT!

Hıı ıtakuwa busara sana kama salamu zangu ukıwapelekea Rungwe Masharıkı! Karıbu Tanganyıka, Karıbu nyumbanı.
 
umezoea kuuliza wenzako source, nawe weka source.

Karibu mwandosya katika ardhi ya nyumbani tena.

srce jf
jamani amemshuka kadhoofika kidogo kama mnavyojua ameumwa kukaa hospit miezi 3 sio rahisi hata akili za juu zinashuka chini naamini nguvu za chini bado ziko chini
 
Sidhani kama kuna ukweli hapa,maana taarifa hii imekaa kama tetesi na taarifa isiyo rasmi!!!fafanua na toa taarifa yenye kutosheleza!!!
 
AMechelewa.. ENzi za siasa za wazee na prehistoric paleoideologies zao UMESHAPITA.
 
Hapana mkuu wala tetenasi yoyote wa wizara ya afya aliekuwepo zaidi ya wanae na ndugu kadhaa na security full mkoba nahisi only michuzi ndie angeruhusiwa sababu shoga yake jinsi ulinzi ulivyowekwa
 
Back
Top Bottom