Miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika; Chadema wamefanya nini cha Maendeleo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika; Chadema wamefanya nini cha Maendeleo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by shykwanza, Dec 2, 2011.

 1. s

  shykwanza Senior Member

  #1
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika kuelekea kilele cha miaka 50 ya Uhuru, hebu tujiulize chama kikuu cha upinzani nchini Chadema kimefanya nini cha msingi kwa taifa la Tanzania ukiondoa maandamono ambayo yameshindwa kuleta ukombozi wa kweli kama maandamano yaliyofanyika Egypt na Tunisia. Viongozi wa Chadema katika miaka 50 ya Uhuru wamefanya nini cha Maendeleo kwa Taifa letu cha kukumbukwa na Watanganyika ? nini leo Chadema wanaweza kuwaeleza Wananchi wamefanya katika miaka 50 ya Uhuru? Kama wamefanikiwa kuwa chachu ya maendeleo tunawapongeza sana lakini kama hawajafanya kitu cha Maendeleo wanapaswa kulaumiwa na Watanganyika.
   
 2. F

  FUSO JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,825
  Likes Received: 2,302
  Trophy Points: 280
  Chadema ilishawahi kupita hata kwenye mtaa wako kukusanya kodi hata shilling mia?
   
 3. F

  FJM JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Wamefunua uozo CCM na serikilini na sasa CCM wanavuana magamba! Wameshinikiza kuandikwa kwa katiba mpya na sasa tuko kwenye mchakato japo CCM wanaonekana kufanya hila lakini mchakato upo. Kubwa zaidi wamewapa wananchi ujasiri wa kupambana na uongozi dhalimu. Maendeleo ya nchi yataletwa na wananchi wenyewe na ili iwe hivyo ni muhumi wananchi wakawa na ujasiri/mamlaka katika uongozi. CHADEMA wanafanya hilo kwa ufanisi wa hali ya juu.

  Tukumbuke CHADEMA wamekuwa chama kikuu cha upinzani kwa mwaka mmoja tu, kabla ya hapo ni CUF waliokaa kwenye nafasi hiyo kwa zaidi ya miaka 10! Pengine tujiulize CUF wamefanya nini wakati wakiwa cham kikuu cha upinzani?
   
 4. s

  shykwanza Senior Member

  #4
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  changia hoja Chadema wamefanya nini cha Maendeleo kwa taifa hili katika kipindi cha miaka 50 na si kuleta ushabiki wa kichama kwani tunataka kujenga taifa letu na sio kubomoa.
   
 5. mamaWILLE

  mamaWILLE Senior Member

  #5
  Dec 2, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  miaka 50 ya huruma kwa wawekezaji CHADEMA C MAFISADI, C WAPENDA RUSWA, WANA UTU, WAPENDA NCHI YAO, WAMETAJA MAFISADI. WANAWATETEA WANANCHI
  yaani yapo mengi mno.
   
 6. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #6
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika cha maana Chadema walichofanya ni maandamano na matamko yasikuwa na tija kwa taifa
   
 7. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #7
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Swali lako linafaa kuuliza vya hivi vimefanya nini miaka 50
  1. CCM
  2. CHADEMA
  3. CUF
  4. TLP
  5. NCCR
  Hapo utapata jibu unalolitafuta, otherwise!!!!!!!!!!!??????????????
   
 8. s

  shykwanza Senior Member

  #8
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa ufahamu wako hayo ndio maendeleo Watanganyika wanayoyataka kutoka CDM; kweli vyama vya siasa sio msingi wa maendeleo ya Taifa bali ni kambi ya majambazi ya CCM na CDM kupanga mbinu za wizi kwa rasilimali za Watanzania
   
 9. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #9
  Dec 2, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  mkuu chedema ilikwepo tangia uhuru?
  Je chadema wanakusanya kodi?

  Unashindwa kuleta mambo yenye tija kwa taifa unaleta u nge se nge tu hapa. Hao wanao kusanya kodi wameisha kuambia wamefanya nini?
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  Dec 2, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Upumbavu ni sifa! CDM kina miaka 50 Kama wapinzani?
   
 11. s

  shykwanza Senior Member

  #11
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unaweza kuwa na hoja ya msingi zaidi ya hiyo big up
   
 12. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #12
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Swali Gumu sana kuweza kujibiwa na Mtu Kilaza kama Shykwanza
   
 13. s

  shykwanza Senior Member

  #13
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uelewa wako katika dhana ya miaka 50 ya uhuru ni mdogo
   
 14. F

  FJM JF-Expert Member

  #14
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  @ritz, mwaka mmoja tu tangu CHADEMA wawe chama kikuu cha upinzani mimi na wewe tunaongea kuhusu Tanganyika tena bila woga! Jana kwenye taarifa ya habari TBC1 mtangazaji alikuwa anatumia Tanganyika na sio Tanzania Bara! Wote tunajua TBC iko kwa ajili gani. Wakati mwingine tunajisahau CHADEMA wamefanya nini.
   
 15. s

  shykwanza Senior Member

  #15
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Je hao wanaofanya maandamano na migomo isiyo na tija umeshathubutu kuwauliza wamefanya nini kwa Taifa letu au wanafanya hayo kwa masilahi yao;
   
 16. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #16
  Dec 2, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  msingeiba kura mwaka jana na kuipa chadema nchi leo hii mngeona nini CDM wamefanya ndani ya mwaka mmoja. ambacho kingefanyika in one year kingekuwa kikubwa kuliko kilichofanywa na magamba ndani ya miaka 50.
   
 17. Y

  Yetuwote Senior Member

  #17
  Dec 2, 2011
  Joined: Jul 22, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwanza ungetueleza CHADEMA walihitajika kufanya nini ndo uulize kama wamefanya au la? Baada ya kusoma maelezo yako nimejiuliza sana hatimaye nikajilizisha kwamba umelata hoja/maswali ya kitoto sana, ni wazi kuwa chadema inakutisha na inakunyima usingizi (sijui ni kwa nini?)
   
 18. makusanya

  makusanya JF-Expert Member

  #18
  Dec 2, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  mi nafikiri ubongo wako umejaa kinyesi n siyo akili chadema imeshashika dola?anyways nenda kwenye majimbo yaliyoshikwa n chadema e.g karatu utaona wamefanya nini isitoshe chadema wamekufanikishia kukuletea katiba mpya hao hao chadema wamekutajia wala nchi (mafisadi) serikali yako yakipuuzi imeshindwa kuwachukulia hatua mpaka leo hii watuhumiwa wote sasa we ulitaka ikufanyie nini tena?ikutafutie mke n kukuzalishia watoto?poor you
   
 19. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #19
  Dec 2, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hoja dhaifu inahitaji majibu dhaifu! Elimu yako ni ya kiwango gani? Maana hata mgonjwa wa akili ananafuu
   
 20. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #20
  Dec 2, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Mimi ninafikiri MODS inabidi waanzishe utaratibu wa kufanya IQ test kabla ya kujiunga JF.

  Kwasababu uwezo wa kufikiri na kutafakuri ulioneshwa na ShyKwanza it is beyond comprehension.
  I'm afraid s/he is in a wrong forum. IQ test itatusaidia ku-filter watu wa aina hii.

  MODS, I beg to move
   
Loading...