Julius mtatiro: Bora cuf tubadilike tuwe kama chadema. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Julius mtatiro: Bora cuf tubadilike tuwe kama chadema.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAGAMBA MATATU, Dec 3, 2011.

 1. MAGAMBA MATATU

  MAGAMBA MATATU JF-Expert Member

  #1
  Dec 3, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 617
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 60
  Mtatiro ni naibu katibu mkuu wa CUF ambaye ni kiongozi pekee aliyeamua kuwashauri viongozi wa CUF kubadilika na kufuata misingi ya utawala bora, Mtatilo aliamua kuwashauri wabunge na viongozi wa CUF kuamua kumfuata Rais KIKWETE ili aweze kuruhusu mabadiliko ya sheria ya ya ktunga katiba,

  Mtatilo aligundua kuwa kile walichokiamua wabunge wa CUF bungeni kwa kupitisha huu mswaada wa sheria ya kutunga katiba ni kwa sababu hawakuona madhara yake kwa baadaye nahapo ndoo akaamua kuitisha kikao na viongozi wenzake wa CUF ili warudi nyuma japo walikosea, Mtatilo alisema kuwa ''KUFANYA KOSA SI KURUDIA KOSA, TUFANYE KAMA WALIVYOFANYA WENZETU CHADEMA ILI TUJINUSURU NA HII KASHFA YA KUITWA CCM B,"

  Kiujumla simpingi Mtatilo kwani wabunge wake hawakukaa na kutafakali kwanza kitu ambacho kiliwafanya wapitishe maamzi yasiyokuwa na tija kwa taifa, kiufupi nawapongeza CUF kwa kugungua kosa jambo ambalo limenifanya nikiamini tena hiki chama changu,

  CUF NGANGALI
   
 2. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #2
  Dec 3, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mmmmh! Kweli magamba matatu unaimani hiyo?
   
 3. m

  mkomavu Member

  #3
  Dec 3, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama wanamtazamo huo hongera zao
   
 4. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #4
  Dec 3, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Wameishalewa urojo wa pale Malindi. Mtatiro ni kama bendera anafuata tu upepo pale CUF, nina uhakika yuko pale kwa vile siasa kwake ni ajira. kama akipata ajira nyingine yenye maslahi kwa elimu yake sidhani kama ataendelea na siasa za kujidhalilisha za CUF. Baada ya kuaibika kule Igunga na sera zao za kuisakama CDM aliomba msamaha wa kushindwa kwao lakini inaonyesha hawataki japo kutumia akili kidogo kujua kuwa tatizo kubwa kwao ni kucheza ngoma ya CCM. 2015 natabiri kifo cha CUF Tanzania bara. Wamekuwa wanajisifia kuwa walishapeleka rasimu ya katiba na JK aliwasifu wakati anaongea na wazee wenye njaa wa mkoa wa Dar, sasa wanaenda kwa mazungumzo gani? Kwa nini wasisubiri tu usiku wafanye mazungumzo kwa kuwa wanalala kitanda kimoja.
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  Dec 3, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  Mke toka lini akafurukuta mbele ya mmewe? mwe CUF aibu tupu
   
 6. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #6
  Dec 3, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  :smash:
   
 7. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #7
  Dec 3, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  mtatiro ananichanganya kweli..
   
 8. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #8
  Dec 3, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Magwanda at work.
   
 9. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #9
  Dec 3, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ngangali wakati kinapelekwa kama bendera inavyopelekwa na upepo. Ccm wakisema hili mnawafuta na cdm wakisema hili mnawafuata ni bora mmwe na msimamo kama wanaume
   
 10. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #10
  Dec 3, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,030
  Likes Received: 2,678
  Trophy Points: 280
  Magamba at work.
   
 11. only83

  only83 JF-Expert Member

  #11
  Dec 3, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180

  CUF ni kama mgonjwa mahututi asiyejua kuwa yupo mahututi na anaomba dawa huku DR akijua kuwa hawezi pona....
   
 12. sammosses

  sammosses JF-Expert Member

  #12
  Dec 3, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Siku zote wa mbili havai moja,tusishangae sana kila zama na wakati wake na sababu zake.Watanzania hawadanganyiki hata kama utatumia nini.Laiti kama moto walioanza nao visiwani enzi zile kwa kutumia nguvu ya umma wana wa magamba wangekuwa wapi hivi sasa?
   
 13. MAGAMBA MATATU

  MAGAMBA MATATU JF-Expert Member

  #13
  Dec 3, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 617
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 60
  ila ninachoamini kuwa kama CUF wameamua kubadilika basi inabidi waitishe maandamano kuhusu hili suala kwani wanakuwa kama wanatudanganya sie wanachama wao...
   
 14. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #14
  Dec 3, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  MTATIRO HAYUKO PEKE YAKE KATIKA USINGIZI HUU ULIOTUTANDA KWINGI JUU YA 'MUSWADA WA MAKINDA' KUCHUKUA MIMBA HARAMU NA SASA KUZAA 'SHERIA PROJECT-MEMBE'

  Wala Katibu Mkuu Msaidizi wa CUF, Julius Mtatiri si peke yake kati ya watu ambao hadi hivi sasa wamesoma huu muswada wa Makinda, kuelewa undani wake na mapungufu hatarishi kwa usalama wetu kama taifa na hivi sasa wenyewe kwa wenyewe kuanza KUJIHOJI NAFSI ZAO juu ya kitu gani walichokipitisha Bungeni Dodoma, watu hawa ni wengi mno nchini na pengine watakapobaini ukweli wa mambo huenda wakaageuka mbogo zaidi kuliko hata sisi hivi sasa.

  Si Mtatiro Juliasi tu ndiye anaayeamka na kutambua madhara yaliomo kwenye huu mchakato uliotekwa na ikulu huku wachache wakijiandaa kutuchomolea katiba yao toka mfuko wa nyuma na kuimwaga mezani mara baada ya geresha mbili tatu hivi, japo hawasemi kwa kinywa kipana hadi sasa hivi ila ukweli wa mambo ni kwamba hata baadhi ya wabunge wa CCM hivi sasa wameanza kulia na kusema walicholetewa bungeni ni tofauti kabisa na kile Kashilila lichokipeleka Magogoni.

  Mara baada ya kumwagiwa hela za Jairo wao walichokifanya ni kuwasonya wabunge wa CHADEMA na kuwaita majina yote duniani bila kujua kwamba mwisho wa siku mambo ndio kama haya ya 'Muswada wa Makinda' kugeuka ghafla na kuwa sheria ya Project-Membe.
   
 15. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #15
  Dec 3, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  Ndo mmeshauriwa ivyo na jk kt ziara yenu ikulu?? It is too late na hatudanganyiki, subirini pigo jingine mpaka mfanane na UMD, hata mkijisahihisa vipi hatuwasamehi, mtatiro heri uamie CDM chama sawia cha kinachotumikia pia kuadress matatizo ya wananchi na uachane na kazi ya Uccm "b"
   
 16. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #16
  Dec 3, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  lini watasema walichozungumza ikulu? walisema mara baada ya mazungumzo watasema ajenda zilizowapeleka nashangaa mpaka leo kimya? Bado naendelea kusubiri.
   
 17. h

  hans79 JF-Expert Member

  #17
  Dec 3, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  ngumu kumeza ccmagamba + cufunwa ndo faida u-shabiki maandazi,wapo kinafiki zomea yao then wanalalama nini?wasituchoshe na ndoa yako
   
 18. samilakadunda

  samilakadunda JF-Expert Member

  #18
  Dec 3, 2011
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 1,701
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  lukokwitanga umenifurahisha!hawacuf mshua kasha wapa supu ya pweza nini!kama wameshindwa jieleza sebuleni huko chumbani ni miguno ya ndio ndio ndio,aksante mzee!
   
 19. Polonium210

  Polonium210 Member

  #19
  Dec 3, 2011
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtatiro ndiyo Kichwa cha CUF na ninaamini kabisa Hakupendezwa na Kitendo cha Wabunge wao kuungana na CCM kupitisha ule Muswada Feki ambao hauuingwi Mkono hata na Wazenj wenyewe
   
 20. N

  Ndyali JF-Expert Member

  #20
  Dec 3, 2011
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,222
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Ni mimba changa inawasumbua ikikomaa wataacha!
   
Loading...