Tanzania imetumia zaidi ya bil 5 kununua mitambo ya kuingilia matangazo ya tv, radio na simu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania imetumia zaidi ya bil 5 kununua mitambo ya kuingilia matangazo ya tv, radio na simu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by king11, Nov 21, 2011.

 1. k

  king11 JF-Expert Member

  #1
  Nov 21, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Katika nchi masikini kama tanzania taifa letu limenunua mitambo ya kuingilia matangazo ya radio,television na simu na pia yenye uwezo wa kukata matangazo yake wakati wowote pale wanapoona hayana maslahi na watawala na taifa .

  Mitambo hiyo iliyowasili hivi karibuni inatarajiwa kufungwa katika kikosi cha anga cha jeshi la ulinzi (JWTZ) kilichopo karibu na uwanja wa ndege wa mwalimu nyerere . nadhani mtambo huu ukikamilika kufungwa utakuwa ni ukiukwaji mkubwa wa uhuru wa habari na mawasiliano katika taifa letu
   
 2. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #2
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  28-58 Over
   
 3. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #3
  Nov 21, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  ahsante kwa taarifa.
   
 4. Mutwale

  Mutwale Member

  #4
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Source Please
   
 5. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #5
  Nov 21, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kikwete anaonyesha kwa vitendo u dikteta wake
   
 6. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #6
  Nov 21, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  taarifa za kiintelijensia hazinaga sorce, ukitaka pick it, usipotaka ipotezee
   
 7. k

  king11 JF-Expert Member

  #7
  Nov 21, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni ngumu kutoa source kwani imetoka kwa moja ya kamanda wa kikosi cha anga, ambaye bado yu kazini akilitumikia jeshi la wananchi wa tz(JWTZ). kuweka jina lake ubaoni ni hatari kwa mtoa habari mwenyewe.
   
 8. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #8
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Hapo wangepata MRI SCANS kibao kwa ajili ya kutibu watu, kama wangekuwa wanajali maslahi ya wananchi...

  Ukifuatilia bei halisi ya huo mtambo unakuta nusu ya gharama jamaa wamepiga dili. hawa TCRA si ndio waliotumia billion mbili kusomesha staff wawili?
   
 9. G

  Godwine JF-Expert Member

  #9
  Nov 21, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  hawajanunua bali ni mkopo toka serikali ya CHINA. Lengo ni kudhibiti vituo vya matangazo vitavyovunja sheria za nchi yetu likiwemo la matangazo yatayohatarisha umoja wa nchi yetu, pia matangazo ya uchochezi na kutawala mawasiliano ya taifa kwani hakuna taifa lisilo na udhibiti wa anga na mawasiliano yake


  NOTE
  Naunga mkono ujio wa mitambo hii bali ni kuwa na matumizi mazuri yasiyopendelea upande wowote bali kitumike kuimarisha haki . matumizi ya mitambo hii ikitumika vibaya inaleta madhara makubwa ya taifa letu kwani utakuwa ni mwanzo wa kuzika uhuru wa vyombo vya habari na mawasiliano ya wananchi.
   
 10. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #10
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Basi tuseme source ni JWTZ.Kwa jinsi watawala wetu wasivyo na huruma na watu wa nchi hii,habari hii itakuwa ya kweli.
   
 11. Adolph

  Adolph JF-Expert Member

  #11
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  ni jambo jema kwa nchi yoyote ila tatizo kwa Tanzania hili jambo litadidimiza democrasia maana viongozi wetu watatumia mitambo hiyo kuzuia wapinzani na wanaharakati wasieleze ukweli hata kama wana hoja ya msingi.....mtu akihojiwa kuhusu katiba mpya alafu akawa anaipinga watakata matangazo...
   
 12. T

  Tututu Member

  #12
  Nov 21, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono uhamuzi huo. Tatizo ni kwamba KITADUMU?
   
 13. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #13
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ni mwendelezo wa manunuzi ya kipuuzi.
   
 14. spartacus

  spartacus JF-Expert Member

  #14
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 428
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mpaka hapo ushatoa source yako.......akili kweli mali...
   
 15. Quicklime

  Quicklime Senior Member

  #15
  Nov 21, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  ndio tanzaniaaa hiii msijaliiii tutafikaaa tuuuu.......
   
 16. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #16
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,589
  Likes Received: 1,675
  Trophy Points: 280

  Kwanini wasikope Vifaa vya hopsitali hata VITANDA?
   
 17. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #17
  Nov 21, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,336
  Likes Received: 1,801
  Trophy Points: 280
  Kuna na mitambo ya aina hiyo sio kitu kibaya maana hata tukiamua kuacha AlShaabab watanunua na kuitumia ipasavyo. So kwenye matumizi sasa, hapo inategemea na watu wanataka nini? kama nia ni kuwakamata wana ndoa wanaocheat kwa kutumiana mesages is up to them...kama vile kila mtu alivyo na hiari ya kukitumia kichwa chake....wengine productively na wengine very destructively.
   
 18. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #18
  Nov 21, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,336
  Likes Received: 1,801
  Trophy Points: 280
  Inategemea na priority zetu zipo katika nini? What a pity? Education jee nayo imekaaje?
   
 19. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #19
  Nov 21, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  wakope vitanda kwani vinawasaidia nini wao?
   
 20. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #20
  Nov 21, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  watanzania tunaunga mkono vitu vya kipuuzi mno
   
Loading...