Mkapa alishindwa kutumia nafasi yake kutuachia kiongozi anayefaa, aliuza nchi yetu. Tumeambiwa na Lowassa kuwa Mzee Sozingwa alifanya uchunguzi wa kina kwa niaba ya chama na kwa usalama wa nchi akagundua kuwa JK alikuwa hana sifa za kuwa rais. Uchunguzi huo ulipelekwa kwenye vikao vya chama , badala ya Mkapa kuchukulia kwa umakini akasema ni majungu.
Sasa tumeona yale yote aliyosema Sozingwa ndio yametokea kwa JK kuonyesha udhaifu mkubwa sana katika uongozi wa nchi. Nimeipata taarifa hiyo ya siri na kuisoma, unaweeza ukadhani Sozigwa alikuwa nabii maana yote aliyoyaeleza ndio tunayoyaona sasa. Next time napendekeza usalama wa taifa ufanye kama USA.
Watu wote wanaotaka kugombea urais kabla ya kuteuliwa na vyama vyao siri zao zote za nyuma ziwekwe hadharani ili vyama vyenyewe vikishajua udhaifu wa mtu kama ni mkubwa hawataweza kumteua agombee.