sikitiko!!!! shamsi vuai nahodha hajitambui | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sikitiko!!!! shamsi vuai nahodha hajitambui

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by jogi, Dec 14, 2011.

 1. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  wakuu, nimemuona kwa itv ndugu vuai pamoja na mambo mengine amesema namnukuu, ni bahati mbaya sana waafrika tunafanana sana, mwisho wa kumnukuu, alikuwa anafafanua kuhusu MRADI wa vitambulisho vya taifa, huyu kiumbe hatambui maana ya kufanana ya kuwa inatokana na udugu, mipaka ilobuniwa na wazungu kule ujerumani kana kwamba ina nguvu kuliko mipaka aliyoiweka mungu. mamaaa afrika oooh! peter tosh rip.
   
 2. M

  Mkandara Verified User

  #2
  Dec 14, 2011
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Hatufanani, kwanza hii ni kufur kwa Muislaam maana kama anaweza kuwatambua watu wote anaowajua kwa sura zao na akazungumza nao kisha haamini kama hatufanani, hii inamweka mahala pabaya sana...Kwa hiyo kuna siku amewahi kukutana na JK akamwita Bilai au sio? - Waafrika hatufanani hata kidogo inapokuja swala la vitambulisho tena akitazamwa na mwafrika mwenzake ndioo kabisaaa..

  Tunaweza kushindwa kuwatambua Wachina lakini mbona wao wana vitambulisho na wanatambua tofauti zao iwe sisi kweli? Na lengo la kuwa na vitambulisho sio kuzijua sura bali infomationa inayoweza kuwekwa humo itarahisisha na kusadia ufanisi wa kazi za kiutawala ikiwa ni pamoja na ulipaji kodi, usajili wa biashara, ajira na hata kuandikishwa kupiga kura na kadhalika..
   
 3. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Naunga mkono hoja
   
 4. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #4
  Dec 14, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: contentheading, width: 100%"]Vitambulisho Vya Taifa kutolewa mwaka huu [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD]
  SERIKALI imetoa tamko kuwa vitambulisho vya Taifa vitatolewa mwaka 2011, kwa kuzingatia taratibu za kisheria na utaratibu utakaowekwa.

  Mradi wa vitambulisho hivyo unatarajiwa kutumia teknolojia ya Smart Card ambayo ina uwezo wa kuingiza taarifa nyingi za mhusika zinazoweza kutumika kurahisisha huduma mbalimbali kwa mwenye kitambulisho.

  Hawa mambo ya ndani hawana hata aibu bado wanasema vonatoka mwaka huu vitambulisho, lini vinatoka xmass? hata kuaupdate website yao wanashindwa nchi hii laana kwenda mbele

  National Identification Authority - Home[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 5. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #5
  Dec 14, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  Ewe mzalendo, rejea lugha waitumiayo, nawanukuu, MRADI WA VITAMBULISHO VYA .... mwisho wa kuwanukuu, mradi? eeh! mradi! ndiyoo! MRADI.
   
 6. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #6
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  makubwa kama na sisi tunafanana? ni kama vile wachina au kakusudia tunafanana rangi ya ngozi?
   
 7. k

  kicha JF-Expert Member

  #7
  Dec 14, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 506
  Likes Received: 533
  Trophy Points: 180
  hivi vitu vyengine kujadili tunaishushia hadhi jf, upuuzi mtupu, leteni hoja zinazohusu mambo ya msingi ya taifa letu sio kujaza nafasi tu
   
 8. M

  Mkandara Verified User

  #8
  Dec 15, 2011
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Maneno yako kweli lakini elewa kazungumza kiongozi wako wa Taifa!!... hilo nalo la kufikiria sana...
   
 9. SOBY

  SOBY JF-Expert Member

  #9
  Dec 15, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kama wote tunafanana basi hivyo vitambulisho ni muhimu, ili watutofautishe kwa majina, birthdate, fingerprints... etc

  KWA HIYO NAONA KAPITENI VUAI ANAONGEA KINYUMENYUME.
   
 10. N

  Ndamalishaz Member

  #10
  Dec 15, 2011
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mh Nahodha ni mpoleee sanaa kwa hii wizara sidhan kama anaiweza amewekwa tuu hapo,,!
   
 11. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #11
  Dec 15, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Duh kumbe ni mradi hapo ni ulaji wa wadosi
   
 12. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #12
  Dec 15, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  Ni kweli ni kiongozi wa ngazi ya taifa, yeye pia anawajibu wa kujua hilo. Aongee matarajio ya wananchi.
   
 13. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #13
  Dec 15, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  Mkuu mchongo huo, kumbuka hawa ccm hupitisha miradi kwa kuzingatia faida binafsi.
   
 14. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #14
  Dec 15, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  Try if you can to quote him within context.
   
 15. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #15
  Dec 15, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  enhe hapo sasa.....kwani alisemaje?
   
 16. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #16
  Dec 15, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huyu jamaa ni hopeless. KILAZA HASWA!
   
Loading...