Katiba mpya Kenya Kiboko

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,409
9,183
Wateule wa Rais na Waziri Mkuu kuongoza taasisi ya kupambana na rushwa kenya wapigwa chini na kamati(vetting commitee). Kamati ya mwambia Rais chagua tena hawa hawafai!
 
Kenya wana katiba nzuri sana nchi zote ukanda wa EA ikiwemo Tanzania hawana haja ya kuangaika kuunda katiba mpya wangeichukua katiba ya Kenya waifanyie marekebisho kidogo sana ili kupunguza gharama na kupoteza muda bure.

Kenya wana serikali moja sisi tuna serikali mbili ndani ya katiba ya Jamhuri ya Nchi moja
 
hapa hatutapata katiba mpaka tupigane mapanga,.hakuna kitu kizuri kinachokuja bila price,..
 
Kenya wana serikali moja sisi tuna serikali mbili ndani ya katiba ya Jamhuri ya Nchi moja

Kenya inayo serikali moja kuu na serikali za majimbo(counties) ambazo zitaongozwa na Governers. Katiba ya Kenya na marekebisho kidogo pia inaweza ikawa ndio katiba ya Federal East Africa.
 
Tatizo la katiba yetu ilitawaliwa na suala la posho (Maana wabunge wa CCM waliijadili na kuipitisha haraka bila kufahamu kuwa hata wao inaweza kuwaathiri wakidhania rais atarejesha fadhila kwa kusign posho). Sasa ndiyo madhara yake moja ni kuzuia mjadala wa katiba!
 
wakuu mmesahau kuwa wanaharakati wa jukwaa la katina na chadema wanataka kwenda kuuliza maoni mpaka kwa babu yangu huko kijijini halafu nyinyi mnasema wakopy katiba ya kenya?
 
Achananeni na hiyo ya wakikuyu, tuandike yetu tu nami nitasaini kama kawa hapa chini
 
Back
Top Bottom