CHADEMA, ukiona wenzako wananyolewa wewe tia maji! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA, ukiona wenzako wananyolewa wewe tia maji!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Quinine, Dec 13, 2011.

 1. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #1
  Dec 13, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,934
  Likes Received: 12,192
  Trophy Points: 280
  Takribani vyama vikuu vyote vya siasa Tanzania viko kwenye migogoro ya uongozi wa juu.

  Kwa kuanzia; CCM kunafukuta ikiwa inajiandaa kutekeleza dhana yao ya kujivua gamba ambapo viongozi magwiji EL na Chenge wanatakiwa kuondolewa kwenye uongozi.

  Huku chama kilichovuma miaka ya 90 CUF kikiwa katika hekaheka za kumbadilisha katibu wake mkuu Seif.

  Wakati hayo yakijiri chama cha NCCR-Mageuzi kilichowahi kuongozwa na Mh. Mrema kikiwa kwenye mshikemshike wa kuvuana vyeo tumesikia aliyekuwa Katibu mwenezi wa chama Mh. Kafulila jana kavuliwa cheo hicho huku kukiwa na mipango ya kumuengua mwenyekiti wa chama hicho Mh. James Mbatia.

  Je, Chadema wanajifunza nini na wamejiandaa vipi na mageuzi haya yanayotokea?
   
 2. n

  noma Member

  #2
  Dec 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nafikiri chadema nao huwa wanapita katika misukosuko hii, cha msingi ni kuangalia namna ya kutatua migogoro
   
 3. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #3
  Dec 13, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Chadema too has already slided in a disaster only waiting for its maturity into a crisis. Zitto is reported to be in constant frictions with Mbowe and the two are said to be not on speaking terms for quite sometime now. Their longstanding dispute have culminated in polarizing the partymen into two opposing sides. One group belongs to Mbowe among which Mnyika lies in and the second side which comprises of pro-Zitto supporters has figures like Halima Mdee in it. As I have said, it is only a matter of a few months before seeing the silent row develops into a widespred full-scale crisis that may in the end costs the party's wellness.
   
 4. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #4
  Dec 13, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hakuna cha kutia maji wala nini hapa mwendo mdundo, kwani ukiambiwa "pole pole ndio mwendo" utaacha kuharakisha na una haraka? Basi CDM hawana haja ya kutia nywele maji eti kisa mwenzio ananyolewa!
   
 5. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #5
  Dec 13, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  MIONGOZO 10 INAYOTUWEKA PAMOJA CDM HAPO CHINI: ACHENI WANAOKIDHARAU CHADEMA LEO HII MIGUU YAO KUOTA MATENDE KESHO BILA KUJIJUA

  Pindi usikiapo kuna tetemeko ujue chanzo chake kuna nguvu tena dhabiti.

  Siri ya mafanikio CHADEMA ni kule ndio chanzo cha dhoruba zote hizi ndani ya vyama vyote kote nchini na hapo bado tuko kwenye ki-duchu tu cha utekelezaji wa Programu kamambe wa 'Utawala halali kwa kuegemea Sauti na maelekezo ya Nguvu ya Umma':

  (1) kuzungumza lugha moja na walalahoi wakati wote, KWA KUSEMA NA KUSIMAMIA UKWELI DAIMA.
  (2) kutetea Maslahi ya Umma na wala si kutanguliza maslahi ya chama
  (3) Kuruhusu Demokrasia ya ndani chini ya udhibiti wa siasa komavu za za kitaifa

  (4) Timu ya Wataalam Dr Slaa, Baregu, Mkumbo, Azaveli, Ndesamburo, Abwao, Marando, Safari na wengine wengi sana kumwaga darasa zitto kwa Vijana kama vile Tundu Lissu, Zitto Kabwe, Kamanda Lema, John Mnyika, Regia Mtema, Henje / Wenje ... juu ya sifa sahihi zinazohitajika kuongoza TAIFA LA MWALIMU NYERERE kwa kumranda miguu kila wakati.

  (5) Vita dhidi ya UFISADI,
  (6) Kujua kusema HAPANA na wakati gani kusema hivyo ....
  (7) Kila mwanachama kuhiari vita hizi kila mmoja kwa nafasi yake bila kusubiri kusukumwa (Naona mirusi mingi ishachanganya mbwa hadi leo hii.

  (8) Kwa mara ya kwanza wasomi kuchukua nafasi yao stahiki kuongoza safu ya mabadiliko ya kweli tukiwa mstari wa mbele kabisa,
  (9) CHADEMA kuonyesha kuwa na MKAKATI murua, nia ya dhati na dira isiyoyumba hivyo kuaminika kote kwa mafukara kw matajiri na sasa dini zote kuonyesha kuelewa somo bila zile ghiliba za kale zilizokua zikitumiwa na CCM,

  (10) Vijana na akina mama kupewa sauti kubwa ndani ya CDM...
   
 6. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #6
  Dec 13, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  MIONGOZO 10 INAYOTUWEKA PAMOJA CDM HAPO CHINI: ACHENI WANAOKIDHARAU CHADEMA LEO HII MIGUU YAO KUOTA MATENDE KESHO BILA KUJIJUA

  Pindi usikiapo kuna tetemeko ujue chanzo chake kuna nguvu tena dhabiti.

  Siri ya mafanikio CHADEMA ni kule ndio chanzo cha dhoruba zote hizi ndani ya vyama vyote kote nchini na hapo bado tuko kwenye ki-duchu tu cha utekelezaji wa Programu kamambe wa 'Utawala halali kwa kuegemea Sauti na maelekezo ya Nguvu ya Umma':

  (1) kuzungumza lugha moja na walalahoi wakati wote, KWA KUSEMA NA KUSIMAMIA UKWELI DAIMA.
  (2) kutetea Maslahi ya Umma na wala si kutanguliza maslahi ya chama
  (3) Kuruhusu Demokrasia ya ndani chini ya udhibiti wa siasa komavu za za kitaifa

  (4) Timu ya Wataalam Dr Slaa, Baregu, Mkumbo, Azaveli, Ndesamburo, Abwao, Marando, Safari na wengine wengi sana kumwaga darasa zitto kwa Vijana kama vile Tundu Lissu, Zitto Kabwe, Kamanda Lema, John Mnyika, Regia Mtema, Henje / Wenje ... juu ya sifa sahihi zinazohitajika kuongoza TAIFA LA MWALIMU NYERERE kwa kumranda miguu kila wakati.

  (5) Vita dhidi ya UFISADI,
  (6) Kujua kusema HAPANA na wakati gani kusema hivyo ....
  (7) Kila mwanachama kuhiari vita hizi kila mmoja kwa nafasi yake bila kusubiri kusukumwa (Naona mirusi mingi ishachanganya mbwa hadi leo hii.

  (8) Kwa mara ya kwanza wasomi kuchukua nafasi yao stahiki kuongoza safu ya mabadiliko ya kweli tukiwa mstari wa mbele kabisa,
  (9) CHADEMA kuonyesha kuwa na MKAKATI murua, nia ya dhati na dira isiyoyumba hivyo kuaminika kote kwa mafukara kw matajiri na sasa dini zote kuonyesha kuelewa somo bila zile ghiliba za kale zilizokua zikitumiwa na CCM,

  (10) Vijana na akina mama kupewa sauti kubwa ndani ya CDM...

   
 7. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #7
  Dec 13, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Asante Uwezo Tunao kwa kuongezea kinachokisaidia Chadema ni

  - uongozi wa maamuzi yaliyo wazi (Miongozo na matamko ya wazi)
  - kime-side na wananchi ktk masuala mengi (Katiba, posho)
  - kinachukua maamuzi magumu inapobidi kwa muda mwafaka (Madiwani Arusha, Shibuda nk)
  - nguvu ya viongozi vijana inakisaidia sana (Zitto, Mnyika, Lema nk)
  - kinasikiliza maoni ya wataalam (Prof. Baregu, Safari, Kitila nk)
  - wanatekeleza na kusimamia yanayoamuliwa kwenye vikao(Operation sangara, mikutano kila wilaya nk)
  - kwa Chadema uongozi ni wito, kujitolea.
  - Demokrasia ndani ya chama iko wazi.
  - Hakibagui wananchama kutokana na kipato.

  Haya ni baadhi ya siri kuu ya mafanikio ya Chadema.
   
 8. T

  Topical JF-Expert Member

  #8
  Dec 13, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Migogoro au migongano ya mawazo/fikra ni jambo jema kw auhai wa chama

  Naona chama kinachovuka vema kwenye migogoro ndio itakuwa chama kikubwa...
   
 9. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #9
  Dec 14, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Toa viingereza vyako hapaa,unadhani vitaongeza kireditibilite kwa magamba?!Masaburi hayo
   
 10. M

  Mkandara Verified User

  #10
  Dec 14, 2011
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mkuu wangu wala yasikutishe haya Chadema hawawezi kutia maji kwa sababu wanajua fika kwamba hii yote ni siasa zimeingia kufuta Uvuaji Gamba.. Mambo yote yanayojitokeza leo yamepangwa na CCM wmakusudi kuua swala la kujivua gamba na wananchi tayari wamesha anza kulisahau na Lowassa sasa hivi anafagiliwa..

  Lakini wanachosahau CCM ni kwamba mpiga kura na Mdanganyika anapenda sana kudanganywa kwa maneno ila inapofikia siku ya siku ukaingia 10 zake atakupa majibu ambayo hukuyategemea maana Unafiki ni asili yetu. Wanacheka na nyie leo lakini jua wana machungu na sidhani kama safari hii watawasamehe kirahisi hivyo. Sema CCM wahakikishe CDM inavurugika kabisa kinyume cha pale CCM wenyewe watie maji maana ngoma ipo mbele na sii leo.
   
 11. T

  Tanganyika jeki JF-Expert Member

  #11
  Dec 14, 2011
  Joined: Jun 12, 2011
  Messages: 243
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Waeleze hivi upinzani unakua si kwasababu chadema inafanya kampeni vizuri sana. La hasha, upinzani upo kwenye damu ya watanzania wengi sasa. Najua wanataka kujitengenezea katiba itakayolinda kuendelea kutawala. Watafanikiwa lakini wakizalisha matatizo mapya - na makubwa. Wakifanikiwa kuvigombanisha vyama hv vya upinzani kwa uchochezi au kutumia mamluki wao na hivyo kudhoofika, wananchi watatafuta mfumo usio rasmi wa kudai haki! Wenye macho dalili mwaziona. Kwamba hata chadema yenyewe wanaiona haiendani na kasi yao ya mabadiliko
   
 12. G

  Godfrey GODI Member

  #12
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chadema nacho ni chama kama vyama vingine. Kina milango ya migogoro kama ilivyo kwa vyama vingine. Tofauti ya cdm na vyama vingine, chadema haijaruhusu madirisha kuwa milango ya migogoro.
   
 13. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #13
  Dec 14, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,890
  Trophy Points: 280
  Unabadilika sana Quinine..bravo

  CDM nao waliishapitia hali hii ya kupachika na kung'ang'ania madaraka...nakumbuka at that time zito anataka kugombea uenyekiti na zengewe lililotokea

  next election itakuwa kipimo tosha sana na stability ya CDM itaonekana kipindi hicho...maana yaliyotokea at that time hayajafutika bado

  ushauri: kwa NEC YA CHADEMA.....Kama bado mnataka Mbowe awe mwenyekiti hamna sababu ya kuitisha uchaguzi hali mkijua mnataka fulani awe mwenyekiti...kile kidonda kwa wengine wengi hakijapona bado, jirekebisheni
   
 14. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #14
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Viongozi makini hatuwezi gombea madaraka...kwanza umri unaruhusu, then tuna nguvu ya umma, what else do we need? Waache CCM A na CCM B na hvyo vyama '(neno baya) viendelee kupiga kelele
   
 15. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #15
  Dec 14, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,890
  Trophy Points: 280
  kila mwana chadema atakushangaa kwa hili!!! yaani unaandika mpaka wengine wanaona aibu!! hivi ukiwa muwazi ili wajirekebishe kuna tatizo gani? CCM tunawaita wanafiki, pro-cdm kama wewe pia ni mnafiki! ngoma droo!

  utaifa mbele, ukweli juu........rejea chaguzi za mwenyekiti wa chama na vijana.....
   
 16. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #16
  Dec 14, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,890
  Trophy Points: 280

  wakuu mnaharibu...mansifia mpaka mnapitiliza na kwa namna hii cdm haiwezi kujirekebisha na pia mwaunzisha huu uzi hajalenga nyie mseme tu kana kwamba hamna meno...rekebisheni wapi ili CDM isiwe na migogoro

  1.hamna demokrasia ya wazi CDM...(ona moyo wako unavyokusuta)
  2. hamna nafasi kubwa ya akina mama......wengi kwenye nafasi ni wake wa akina slaa, wakwe zao, vimada, watoto na shemeji zao!!
  3. ukitaka ukombozi wa taifa hili kataa mengi ya huyo unayemwita baba wa taifa.......ukimkataa huyo utaikataa CCM na utalikomboa taifa...sometime you need t think na sio kutafuta sifa kana kwamba unapewa hela...sijaona faida ya kujipendekeza na kuogopa kukosoa na ID yenyewe ni fake tu na unashindwa kusimama kama mwanaume

  ninachosema ni kuwa CDM need to takeover the lead of this country...YOU NEED TO... YES ENCOURAGE THEM, BUT PLEASE CORRECT THEM WHERE DEED necessary..nilichoandika na nilichosema hapo juu utakipinga humu na JF wengine lakini ni tatizo kwa mtakabali wa CDM which we all need to prosper!
   
 17. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #17
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,813
  Likes Received: 36,858
  Trophy Points: 280
  Una muda mwingi sana wa kujidanganya bwana mdogo, kingereza kinapunguza aibu kidogo ehh??
   
 18. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #18
  Dec 14, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kwani CHADEMA NAO WANAVUTA BANGE?
   
 19. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #19
  Dec 14, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Wewe endelea kusimulia historia za chaguzi za Chadema mara m/kiti mara Zitto alifanya hivi wenzako wanachanja mbuga leo CDM iko level nyingine si ya mwaka jana grow up.
   
 20. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #20
  Dec 14, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kauli au maoni ya mtoa mada yana ukweli ndani yake .....Migogoro mingi huanza na jambo moja dogo sana hivyo ni wajibu wa chama kuwa makini sana ktk maamuzi yake

  Mfano suala la Posho kwa wabunge linaweza ku tatizo akizingatia kuwa na ndani ya CDM moja kuna mgawanyiko mkubwa kuhusu hizo ingawa wengine hawasemi huwezi jua nyuma ya Shibuda yupo nani na kauli anazotumia ujasili anaupata wapi

  Hapa JF tunapeana habari,kuelimishana, kukumbushana, [Kubudishana hii inategemea na jukwaa uliloko ] ni maana kwamba si kila jambo kubisha tu pasipo hoja ya msingi

  Ahsanteni
   
Loading...