Madiwani wa Makambako mvua inawaumbua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madiwani wa Makambako mvua inawaumbua

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mangandula, Dec 14, 2011.

 1. Mangandula

  Mangandula Senior Member

  #1
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 186
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Hakika siasa na utaalaam ni vitu viwili tofauti, leo hii mvua imenyesha sana hapa makambako, cha ajabu barabara za mitaa walizojinasibu madiwani wetu kuwa wamezifanyia ukarabati kwa kiwango cha changalawe zimeja maji na kufanya sehemu nyingine kupasua mifereji ili kuruhusu maji kusafiri. Cha kujiuliza ni kwamba unaweza kujenga barabara bila kuweka makaravati? Hapo madiwani mmeumbuka tatueni kero hii haraka iwezekanavyo kwani haya madimbwi yanaharibu manidhali ya mji.
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Unaweza jenga barabara bila kuweka makaravati labda kama ulimaanisha mitaro.
  Karavati litawekwa tuu mahara ambapo ni mapitio ya maji ambayo huwa collected na mitaro
  Izo ni changamoto ambazo wanatakiwa zitatua kabla mvua hazijashika kasi nadhani ni uwanja wa Jah Peple huo mtu wa watu!
   
 3. Mangandula

  Mangandula Senior Member

  #3
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 186
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Ndiyo maana ya maji kutuama yanakuwa yamekosa mahali pa kupita. Mifereji bila makaravati unajenga mazalia ya mbu mjini! Uko sahihi huu ni uwanja wa Jah lakini hatuna shida naye kwani alikuwa diwani miaka kumi hakuna alichofanya kwa upande wa barabara hizi! Bora hawa madiwani wapya japo wamethubutu. Lakini huyu mbunge wetu kivuli hamna kitu nothing
   
 4. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #4
  Dec 14, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  ****** alisema yeye siyo mvua so hawezi kunyesha ili mabwawa yajae tupate umeme hata madiwani watasema wao siyo
  mungu wakuzuia mvua isilete uharibifu
   
 5. Mangandula

  Mangandula Senior Member

  #5
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 186
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  kwa watanzania nakubaliana na wewe kwani kiongozi yeyote akitoa kauli ya kipumbavu kuhusiana na mambo yanayogusa jamii hakuna hatua yoyote inayochukuliwa iwe na wananchi au mamlaka husika. Kuhusu hili la maji kutuama ni uzembe wa madiwani wetu! Lakini wakifanya mchezo itawagalimu saaaana.
   
 6. t

  tweve JF-Expert Member

  #6
  Dec 15, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 696
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kiukweli mvua ikiendelea kunyesha wiki nzima basi tutakuwa hatuna barabara ya kupita,maana hamna mifereji wala makaravati kwa ajili ya kusafirisha maji hivyo kufanya yatuame barabarani ,hata hivyo nina wasiwasi na mkandarasi aliyejenga hizi barabara uwezo wake ni mdogo sana,tafadhari rekebisheni bhana!
   
 7. Kinyengeli

  Kinyengeli JF-Expert Member

  #7
  Dec 15, 2011
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Makambako !!!!!! Kituo cha biashara Nyanda za juu kusini, eneo la Wakinga na Wabena na biashara zao.
   
Loading...