Diwani mtarajiwa wa kata ya Mwawaza jimbo la Shinyanga apigwa risasi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Diwani mtarajiwa wa kata ya Mwawaza jimbo la Shinyanga apigwa risasi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TUNTEMEKE, Dec 14, 2011.

 1. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Aliyekuwa mgombea wa kiti cha udiwani wa kata ya mwawaza shinyanga mjini kwa tiketi ya chama cha demokrasia na maendeleo mwaka jana ambaye ndiye anayepewa nafasi kubwa ya kukunyakuwa kiti hicho katika uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyanyika mapema mwakani amevamiwa nyumbani kwake na kupigwa risasi, kwa sasa yuko hospitalini shinyanga na anatarajiwa kupelekwa Bugando kwa matibabu zaidi, hali yake si mbaya sana na hilo tukio linahusishwa na mambo ya kisiasa
   
 2. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hizo siasa za kupigana risasi si nzuri hata kidogo
   
 3. Shaycas

  Shaycas JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2011
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 899
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Kweli siasa INAZO Mambo sio kidogo.
  Unataka kuua binadamu mwenzako kisa udiwani?
  HAIWEZEKANI ASILANI.
   
 4. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #4
  Dec 14, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mungu amnusuru na amponye haraka arejee kwenye ujenzi wa Taifa na CHADEMA yake

  Wahusika wote watafutwe na wapelekwee kwenye vyombo sheria .... Watajulikana tu Mungu mkubwa kuliko wao
   
 5. N

  Nyampedawa Member

  #5
  Dec 14, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kama ni kweli linahusishwa na siasa si vizuri na tunakoelekea sio kuzuri. Maana mkishaanza kuuana tu inaanzisha visasi. Angalia Rwanda na Burundi. Ndio matatizo ya ushindi Ushindi ni lazima.
   
 6. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #6
  Dec 14, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  ccm sio. ova
   
 7. kongomboli

  kongomboli Senior Member

  #7
  Dec 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 154
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wataua wangapi? Nchi ilipofikia kwa sasa mtutu wa bunduki hausaidii tena!
   
 8. Mangandula

  Mangandula Senior Member

  #8
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 186
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Wanasiasa shindaneni kwa nguvu ya hoja! Na sio nguvu ya risasi za moto mnatutisha mnaotuongoza, kama kweli ni visa vya siasa basi tumekwisha Tz.
   
 9. Chief Isike

  Chief Isike JF-Expert Member

  #9
  Dec 14, 2011
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 445
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Source pleeeeeeeeeease. Itanoga sana ukifanya hivyo mkubwa.
   
 10. D

  DT125 JF-Expert Member

  #10
  Dec 14, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 203
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Mbona udiwani hauna fedha, ni sh 120,000 tu kwa mwezi. Fedha isiyotosha hata malipo ya mbunge kwa siku. Jamaa mmoja aliuza nyumba ya milioni 20 ili ashinde udiwani. Ulipoisha akapewa kiinua mgongo milioni 5.
   
 11. Chief Isike

  Chief Isike JF-Expert Member

  #11
  Dec 14, 2011
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 445
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Source pleeeeeeeeeease. Itanoga sana ukifanya hivyo mkubwa.
   
 12. Chief Isike

  Chief Isike JF-Expert Member

  #12
  Dec 14, 2011
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 445
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kamanda unahitaji kupewa somo namna siasa ya Tanzania inavyowapatia fursa watu kujitajirisha au ku-accumulate in nway. Ulinza kandarasi nyingi wilayani zinaidhinishwa au kufanywa na kampuni za watu gani hapo wilayani, halmashauri au manispaa au jiji...mfano mdogo tu huo
   
 13. only83

  only83 JF-Expert Member

  #13
  Dec 14, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Get well soon kamanda...mapambano yanaendelea!!
   
 14. BBJ

  BBJ JF-Expert Member

  #14
  Dec 14, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 1,183
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ukishaipata hiyo source?
   
 15. d

  dada jane JF-Expert Member

  #15
  Dec 14, 2011
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  atakuwa na uhakika na kinachoongelewa ili achangie.
   
 16. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #16
  Dec 14, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hao ni ccm tuuuu!!!Pole sana kamanda ila mpaka kieleweke
   
 17. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #17
  Dec 14, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  source ;rado faraja shy
   
 18. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #18
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,744
  Likes Received: 1,454
  Trophy Points: 280
  Pole na augue pole mzalendo.

  QUOTE: CCM is the symbol of poverty, mental inferiority, laziness and emotional incompetence, The average man in ccm does not plan his life beyond a year....by Kamatikuu
   
 19. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #19
  Dec 14, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,918
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  dah, hii sasa ni hatari..!
   
 20. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #20
  Dec 14, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  tanzania ni nchi ya amani...haya ndio maneno ya wanasiasa.
   
Loading...