Ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nginda, Dec 15, 2011.

 1. nginda

  nginda JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 745
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama huitaki ipotezee!!! 45630_140591509311476_100000818841919_164666_288636_n.jpg hii ndiyo tanzania ya ******. Maisha bora kwa kila mtazania. Kula kwa mrija.
   
 2. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Haaaaaaaa na chupa zake za maji yana rangi ya maziwa haaaa kweli tunazidi songa mbele
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Dec 15, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Yani huyu nyang'au na serikali yake ni wa kuhukumia kwa kunyongwa mpaka mauti iwakute.
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Dec 15, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  atavuna alichopanda..
   
 6. P

  Panda Kapesi JF-Expert Member

  #6
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 284
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 60
  Duh! Tutafika kweli?
   
 7. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #7
  Dec 15, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Wana muda wao hao! ngojeni uchaguzi ukifika, wanasahau shida zote kwa kipindi cha miezi kama 3 hivi. Kuna mzee mmoja alikuwa mjanja sasa pale Igogo mwanza, ilikuwa ikifika uchaguzi yeye lazima ajenge hata chumba kimoja harafu anapangisha. Hata huyo huenda anabonge la jumbe sehemu kalipangisha.
   
 8. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #8
  Dec 15, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Muda si mrefu ata sokomezewa vijiti kama ghadafi
   
Loading...