Eti ni kweli serikali yetu ya CCM ina viashiria vya kutamani ushoga? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti ni kweli serikali yetu ya CCM ina viashiria vya kutamani ushoga?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by democratic, Dec 15, 2011.

 1. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Juzi nikiwa natazama taarifa ya habari Star TV, nilibaki na mawazo mengi baada ya kuwasikia viongozi mbalimbali wa madhehebu na dini wa hapa tz walipokuwa wanahojiwa na mwandishi wa habari juu ya msimamo wa UK na USA ambao serikali yetu imedai swala hilo halina nafasi hapa kwetu Tz. Kiongozi aliyenipoteza ni yule aliyedai kuwa "viongozi wetu wanakataa ushoga midomoni tu lakini mioyoni mwao wanaupenda sana ushoga.Kiongozi huyo alitoa mfano kuwa nchi yoyote ile ni kama mji unaoongozwa na baba shupavu ambaye furaha yake ni kuona mji wake huo ukijitegemea bila kutegemea msaada wa baba mwingine ambaye pia ana mke,watoto na majukumu ya kuimarisha familia yake.Alisema kuwa serikali yeyote ambayo inafurahia sehemu kubwa ya bajeti yake (mji)kutegemea msaada wa nchi nyingine(baba wa mji mwingine),viongozi wake kwenda nje ya nchi kila siku kuomba msaada au nchi hiyo kuongoza Afrika(hapa arilejelea takwimu zilizotolewa hivi karibuni kuwa Tz ni nchi ya tatu duniani kwa kupewa misaada)kwa kuwa ombaomba, kamwe viongozi wake hawawezi kusimama na kusema hawataki ushoga kwani wanakuwa wanatamka kitu ambacho ni kinyume na uhalisia wao.Alisema uhalisia halisi wa viongozi wa serikali ya namna hii ni kwamba ni waumini wazuri wa ushoga na kwamba si tu ni waumini bali ni walishaonyesha kuwa ni mashoga tayari."Wana JF heb nisaidieni maoni yenu katika hili,ni kweli kuwa serikali yetu ina signs/symptoms za kutamani ushoga?
   
 2. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Waziri Mkuu wa Zamani amuweka kimada Mbunge wa Kigoma( Gazeti Sema Usike)
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Dec 15, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  CCM wako kimaslahi zaidi, hawaangalii athari zitakazotokea na maslahi yao. Issue ya ushoga kama itakuja kwa njia ya kutoa tuzo au zawadi, wapo tayari kuukubali ushoga
   
Loading...