Posho za wabunge: Kigwangala on January Makamba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Posho za wabunge: Kigwangala on January Makamba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by EMT, Dec 8, 2011.

 1. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #1
  Dec 8, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Hivi punde Mh. Hamis Kigwangala ameweka status yake Facebook juu ya Mh. January Makamba:

  “Mhe. January Yusuph Makamba (MP, M-CC, MNEC) has the following platform ya kuongelea: Bunge, Kamati Kuu ya CCM, Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Sekretariet ya CCM, Kamati ya Uongozi ya Bunge...hivi ni haki na halali kwa yeye na nafasi yake kutoa kauli ya kupinga posho hadharani ilhali ana fursa zote hizi za kuzuia ama kurekebisha? Kama hazitaki hizo posho si angeweza tu kuacha kuzichukua, ama angeweza kushawishi chama na serikali kwamba hazifai na zitolewe ama zisiongezwe! Wenzangu mnaonaje hili! Hivi wana-CCM wenzangu tumerogwa ama?”
   
 2. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #2
  Dec 8, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Usomi wa kuokoteza hujulikana kutokana na mawazo ya muhusika, kwamba January asitoe mawazo yake kisa kuna sehemu za ccm za kusemea! Huu ni ukichaa wa kimawazo, hao ngedere wa ccm si ndio waliongeza hizo posho
   
 3. MpigaFilimbi

  MpigaFilimbi JF-Expert Member

  #3
  Dec 8, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 133
  CCM stinks....
   
 4. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #4
  Dec 8, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mh! hapa hata haujasomeka au haujamsoma EMT?
   
 5. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #5
  Dec 8, 2011
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,236
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  Mbona hata yeye ana platform ya kuongelea kama mbunge? Si aende jimboni kwake akaongelee kukerwa au kufurahishwa na ongezeko la posho kwa wapiga kura wake!
   
 6. P

  Paul J Senior Member

  #6
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Utaongelea wapi ndani ya vikao vya CCM wakati umezungukwa na watu wasiokuwa na huruma kwa watanzania? Hivi kama mtu anafikiria mama mjamzito abebwe na bajaji wakati yeye akitumia V8 atakutetea mimi na wewe tunaotembea kwa miguu yetu ingawa tumekondeana sababu ya dhiki? January anaongea hivyo maana 95% ya wabunge na viongozi wa ccm ni corrupt na huwezi kupenyeza hoja ya kutetea raia ndani ya ccm kwa kugusa maslahi yao!
   
 7. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #7
  Dec 8, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Na yeye si angeongelea kwenye vikao halali vya chama kuliko fb.
   
 8. G

  Gamba Jipya JF-Expert Member

  #8
  Dec 8, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mara nyingi huwa na kwazwa sana na michango ya huyu Kigwangala, ni mtu asiye na msimamo na ni mfano mbaya sana kwa vijana wapenda mabadiliko na maendeleo, sasa kama kuna vikao kwa nini na yeye asisubiri vikao ili aweze kumsema January, au anataka kutuaminisha kuwa hana mawasiliano ya moja kwa moja na mbunge mwenzake, halafu anasema kwa nini mwenzake kama anapinga asisusie posho, issue ya posho kila mtu anaelewa ni mfumo, kususia pekee siyo suluhisho la tatizo hili.
   
 9. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #9
  Dec 8, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280

  Wakuu hata mimi sijaona mantiki ya yeye kwenda kuandika hayo Fesibuku. Si angemtafuta tuu Makamba mwenyewe na kumweleza dukuduku lake? Au kama Kigwangala anaona kuwa Makamba angetumia hivyo vyombo husika, kwa nini yeye (Kigwangala) hakuwasiliana na hivyo vyombo husika kuelezea dukuduku zake? Yaani hapo ni kama anachopinga Mkamba kukifanya, ndicho hasa Kigwangala amekifanya.
   
 10. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #10
  Dec 8, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  So for him a CCM member of parliament FACE BOOK IS THE RIGHT PLATFORM...this Doctor needs to grow up and fast
   
 11. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #11
  Dec 8, 2011
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  Mbunge wa facebook naye jamani???? Tena hoja yenye maslahi na madhara kwa taifa aaaagh

  Mnaowajua hawa watu hebu na muwaelekeze huku jamvini waweke mawazo yao hayo ili wapate majibu ya wafikiriaji wakomavu..
  Posho kwa pesa ya wavuja jasho kwenye facebook ???
   
 12. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #12
  Dec 8, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  jamani mwacheni january. mnaendeleza majungu nyie, mmetumwa na waziri wa umeme. january kafika hapo alipo kwa juhudi zake mwenyewe na utendaji wake wa kazi. chama kimemuamini kuwa kijana safi ndo maana ana vyeo vyote hivyo. kwa hiyo kundi la ngeleja na riz1 wanaotaka kummaliza inabidi wapoze hasira zao.
   
 13. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #13
  Dec 8, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Ndivyo inavyooneka. Labda anaweza pia kusema kwa vile Mh Zitto nae ana vyeo bungeni na kwenye chama chake, basi akatumie platform kuongelea mambo ya posho.
   
 14. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #14
  Dec 8, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Read between the lines. Sina majungu na Mh Makamba.
   
 15. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #15
  Dec 8, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Zamani wakisema fungeni mikanda, unajua kiongozi atafunga mkanda, jirani yako atafunga mkanda n.k

  Kwa sasa kina janauary hata waseme vipi tufunge mikanda hatufungi maana twajua na wao hawafungi

  Janauary ni mpenda/taka sifa tu hana mpya
   
 16. G

  Gamba Jipya JF-Expert Member

  #16
  Dec 8, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unajaribu kuongea na nani hapa?

  Kwa kuwa hakuna mchangiaje hata mmoja aliye against na January na ntazamo wake wa kupinga posho za vikao
   
 17. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #17
  Dec 8, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ukiona hivyo ujue huko hakuongeleki, hata ukiona mke/mume anatoka kuongea mambo ya nyumbani nje basi ujue huko ndani hakuna kitu. Wewe unadhani wale wanapokuwa wanapiga meza wanapenda? ukiona hivyo hamna demokrasia. Hivyo usishangae hayo yanayojili sasa hivi. CCM ni ya wote bhana ila kuna wachache wameifanya kamma taasisi yao binafsi
   
 18. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #18
  Dec 8, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Ni juzi tuu alipost hii huko huko fesibuku:

  "Tunaanzisha a "CCM Study Group" ambayo itakuwa ni kama think tank club ya kukishauri chama katika zama hizi za ushindani wa kisiasa. Kikundi chetu kitakuwa kinatoa ushauri huru. Kama wewe ni MwanaCCM unakaribishwa kuwa sehemu ya wanamabadiliko wa ndani ya chama chetu ili kwa pamoja sasa tuchangie mawazo kwa njia ya tafiti na maandiko mbalimbali. Hii itakuwa ni kazi ya kujitolea. Nafasi za kuingia kwenye club ni chache sana na kutakuwa na mchujo mkali wa kuwapata wanamabadiliko hawa! Kama wewe ni CCM die hard, karibu tukijenge chama chetu. Niandikie email kwenye kigwangalla@gmail.com ukiambatanisha a brief, one page, resume!"

  Kwa hili tuu inaonyesha na yeye ameshindwa kabisa kuzitumia hizo platforms anazotaka Mh Makamba azitumie mpaka ameamua kuanzisha "CCM Study Group.
   
 19. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #19
  Dec 8, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo naye nafasi yake ya kumpinga January Makamba ni kwenye facebook. Hivi chama siku hizi kina nini. Moto hauzimi kwa moto. Tunahitaji kukaa chini na kutafakari kwani kunamagamba mengi muno.
   
 20. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #20
  Dec 8, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Yeye kama nani?
   
Loading...