Yuko wapi huyu jamaa. Mwanasiasa mwenye msimamo mkali katika kudai uwepo wa nchi ya Tanganganyika. Kiongozi wa kanisa aliyepindukia mipaka katika kudai haki za wanyonge. Mwanasiasa wa mahakamani...
Mpaka sasa Nchi ya Marekani iliyopata uhuru mwaka 1776 imeishaongozwa na marais 44 wakati Tanzania iliyopata uhuru mwaka 1961 imeongozwa na marais 4 tu. Marais wote wa Tanzania wamekwenda Marekani...
Published On: Fri, Dec 16th, 2011
Tanzania |Published On: Fri, Dec 16th, 2011
Former cabinet ministers Basil Mramba (L) and Daniel Yona
The Kisutu Resident Magistrates' Court on Wednesday...
Wakuu kuna taarifa tumezipata muda si mrefu,Wahindi wanamtumia yule Mzee anaitwa Sabodo kutoa misaada ya hela ili kujivuta karibu na Chadema kwa sababu wameona dalili za Watanzania kuwapa Chadema...
Jinsi ninavyomfahamu Maalim Seif ni mtu wa visasi kitendo cha kutangaza kumng'oa ukatibu basi vita hiyo Mh Hamad ujiandae kwa vita ya visasi na kwa sasa anadola ni bora ukawa mwangalifu kwani ukae...
Wakati hali ikiwa hivyo kwa wabunge, kada maarufu na waziri wa zamani katika Serikali ya Awamu ya Tatu (jina linahifadhiwa) ameweka wazi kuwa Rais Kikwete alikuwa hajasaini ongezeko hilo la posho...
Mzozo wa Hamad Rashid una mkono wa vigogo wa ccm , alipokea maelekezo nguvu za Chama azihamishie Bara.Written by Hassan10 // 16/12/2011 // Habari // No comments
Kuna tetesi za watu wake...
Ile kesi iliyo mfanya kamanda lema aamue kwenda mahabusu kama ishara ya kupinga ukandamizaji unaofanywa na vyombo vya dola likiwemo jeshi la polisi imeahirishwa tena mpaka 16, 2012 kisa, upande...
List ni ndefu mbali ya Hashim Rungwe wengine wanaotajwa kuwamo ni mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila, Mbunge wa Muhambwe, Felix Mkosamali, Kamishna wa NCCR-Mageuzi Mkoa wa Tanga, Mbwana...
Ili nchi ya Tanzania iendelee na kupiga hatua kubwa ya maendeleo ni lazima haya yafuatayo yatokee.
1. Lazima tuwe na katiba mpya itakayotengenezwa kisayansi na kushirikisha makundi yote ya jamii...
Habari ndugu zangu wana JF. Kwa mara ya kwanza najitokeza kwenye jukwaa hili, kwa muda mrefu nimekua nikisikia tuhuma nyingi zikielekezwa kwa aliyekua waziri mkuu wa jamhuri ya Tanzania Mheshimiwa...
Maandamano yanapingwa kwa nguvu zote na kujaribu kuaminisha watu kuwa yataleta vurugu na uvunjifu wa amani.
Wanafunzi vyuo vikuu wasiulize swali lolote hasa kuhusu mambo yasiyoenda vizuri "Wewe si...
Katika utawala huu wa awamu ya nne imekuwa si jambo la ajabu tena kwa watanzania kusikia kuwa taasisi ya ikulu wamefanya makosa ya kiutendaji......kilichobaki kuwa kigumu sana kwao ikulu kwasasa...
Ikulu kuwafutia posho wabunge
Mwandishi Wetu
Rais Jakaya Kikwete, Spika Anna Makinda
Matanuzi yao sasa kutegemea mshahara
Upembuzi wa athari wafanyika
Siku nne tu za wikiendi walilipwa...
Yule aliyekuwa mkurugenzi wa propaganda wa chama cha CCM ndugu Tambwe Hizza anaongea kupitia Tuongee Asubuhi muda huu...Jamaa anadai CUF wanajifunza siasa na wala sio chama cha siasa anamsifu...
ukienda marekani utasikia conservatives (right wing) na liberals(left wing), ukienda uingereza tories(right wing conservatives) na labour(left wing), ukienda kenya PNU(right wing) na ODM(left...
Mwandishi Wetu Raia Mwema
Bandari ya Dar es Salaam
Ni wa bilioni 600/= upanuzi wa Bandari
MRADI mkubwa wa upanuzi wa Bandari ya Dar es Salaam, unaotarajiwa kugharimu takriban Sh. bilioni...
Mhasham Baba askofu, mwadhama Kardinali Pengo leo ameongea na waandishi wa habari kuhusu mambo mbalimbali kuelekea mwaka 2012
1. kuhusu katiba mpya, ameshangaa kamati ya kukusanya maoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.