Muswada aliosaini raisi kikwete unaweza kutuletea katiba tunayohitaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muswada aliosaini raisi kikwete unaweza kutuletea katiba tunayohitaji

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by masochi, Dec 16, 2011.

 1. m

  masochi Member

  #1
  Dec 16, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 2. m

  mjusikafiri Member

  #2
  Dec 16, 2011
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni ndoto za Alinacha. Katiba ikitoka ndivyo sivyo, wapinzani wataingia Hoteli ya Magogoni kirahisi na kukomalia humo. La kusikitisha, waliobeza hatua za CDM za kuweka mambo sawa sasa watakuwa wa kwanza kuleta ghasia. Tumeyaona hayo Malawi, Zambia na Kenya. Muhasham Kardinali kaweka wazi hatua za kuchukuwa sasa.
   
 3. CHEMPO

  CHEMPO JF-Expert Member

  #3
  Dec 16, 2011
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hilo haliwezekan...hata wakipita kuchukua maoni tutawasusie..ili ccm wakamalizie mchakato waliouanzisha........je walikuwa wanamtafsiria raisi?kama ni hivyo wakamalize wenyewe....tutawasusia kama tulivyosusa kusheherekea uhuru wa miaka 5o ya t.bara
   
 4. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #4
  Dec 16, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,819
  Likes Received: 36,929
  Trophy Points: 280
  Hii katiba inabadilshwa front cover tu. Intention itabaki ile ile aliyoiacha mkoloni.
   
Loading...