Kardinali Pengo: Nimepewa siku nne tu kuwakilisha maoni kuhusu katiba mpya kimaandishi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kardinali Pengo: Nimepewa siku nne tu kuwakilisha maoni kuhusu katiba mpya kimaandishi!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwikimbi, Dec 15, 2011.

 1. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,735
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Mhasham Baba askofu, mwadhama Kardinali Pengo leo ameongea na waandishi wa habari kuhusu mambo mbalimbali kuelekea mwaka 2012

  1. kuhusu katiba mpya, ameshangaa kamati ya kukusanya maoni kumpelelekea barua tarehe 30/11/2011 ya kumtaka apeleke maoni yake kuhusu katiba mpya ndani ya siku nne yaani 4/12/2011, anahoji uhalali wa muda aliopewa na je kama ni hivyo, muda huo unatosha kweli kutoa maoni kwa jambo kubwa kama katiba ambayo ni mustakabali wa taifa?

  2. amezungumzia pia posho za wabunge, na kuhoji uhalali wa wabunge kupaisha posho zao kwa kisingizio cha ugumu wa maisha, amehoji zaidi ikiwa wewe kama kiongozi kwa nini ujifikirie peke yako kuhusu ugumu wa maisha kabla ya kuwafikiria wale unaowaongoza?

  amezungumzia pia ajali za barabarani bahati mbaya hili sikusikia maoni yake.

  naomba kuwakilisha
   
 2. M

  Mkandara Verified User

  #2
  Dec 15, 2011
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,433
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Hii kamati ya kukusanya maoni imechaguliwa lini?
   
 3. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2011
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,197
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jambo jema lolote huwa linahitaji muda wa kufikiri kabla ya kutenda. Nakubaliana naye muda ni mfupi.
   
 4. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #4
  Dec 15, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,735
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  labda ni kamati ya celina kombani, nimeidaka kwenye radio moja ya kiswahili, sasa sikupata muda kujua waliomwandikia barua akina nani, kwa vyovyote vile kumtazka maoni ndani ya siku nne kimaandishi siyo busara, muda huo ni mdogo sana
   
 5. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #5
  Dec 15, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,725
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Mkuu mbona hata Katiba yenyewe ipo tayari! Hii ndiyo Bongoland!!! thi thi thi......
   
 6. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #6
  Dec 15, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,322
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  Hiyo ndiyo serikali ya ccm! Wakurupukaji wa kila jambo. Walikurupuka na marekebisho ya sheria ya uchaguzi na kusainiwa kwa mbwembwe halafu ikarudishwa bungeni kabla hata haijaanza kutumika. Wamedandia hoja ya katiba sasa ni kuzima moto tu. Sijui tulitoka nao wapi hawa wadudu! Period!
   
 7. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #7
  Dec 15, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  Katiba mpya ipo ,hapa ni mazingaumbwe tu.
   
 8. 2mbaku

  2mbaku JF-Expert Member

  #8
  Dec 15, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 317
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mbona mi cjaletewa hiyo barua nikiwa kama mdau!!!!
   
 9. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #9
  Dec 15, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,172
  Likes Received: 4,505
  Trophy Points: 280
  Kamati hiyo inaongozwa na kina nani?
   
 10. muonamambo

  muonamambo JF-Expert Member

  #10
  Dec 15, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 764
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Hii habari Kama ni Kweli basi ipo shida kubwa hapa. Hivi vitu kwanini? Vinaendeshwa chinichini? Nahisi damu itamwagika hivi karibuni
   
 11. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #11
  Dec 15, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,322
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  I hope na Mufti Mkuu, sheikh Simba nae atakuwa amepewa na yeye hiyo rasimu ya katiba achangie maoni yake.
   
 12. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #12
  Dec 15, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,322
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160

  Hata wewe hujui? Kweli ccm maboya ni wengi!
   
 13. P

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #13
  Dec 15, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 22,180
  Likes Received: 10,223
  Trophy Points: 280
  Samahani, nina mashaka na hizo tarehe!. Tume ya rais bado haijaundwa, maoni ya nini, kamati gani na sheria imeshapitishwa!
   
 14. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #14
  Dec 15, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,172
  Likes Received: 4,505
  Trophy Points: 280
  Wewe muanzisha hii thread mbona unaamua kupotosha umma kwa makusudi?

  Alichokifanya Kardinal Pengo, katoa salamu za X-mas na Mwaka mpya..

  Kaongelea suala ushoga kaisifu serikali kwa msimamo wa kukataa ushoga..

  Kingine kaponda wabunge kujiongezea posho wakati wanapewa mishahara, kasema wabunge wataka kusema wao ndio wenye maisha magumu?

  Hayo ya kamati ndio nayasikia kwako
   
 15. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #15
  Dec 15, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,014
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Nadhani ni ile ya \ikulu ya kukusanyan maoni kuhusu sheria illiyopitishwa na |Bunge... nadhani Kikwete kaamua kujibinafsishia yeye mwenyewe kazi hyo maana cha ahjabu ni kuwa hata wizara ya Katiba na Sheria, ambayo kimsingi ndiyo inatakiwa kuratibu ukusanayji wa maoni kuhusu marekebishoo ya sheria, wala haijahusishwa kikamilifu hadi hivi sasa. Pale wizarani hata hawajapanga namna ya kukusanya maoni kuhusu sheria hiyo na Ikulu wanaonekana wanataka kuifanya kazi hiyo wao... sijui itakuwaje itakapofika wakati wa kupeleka marekebisho bungeni
   
 16. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #16
  Dec 15, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mambo ya aibu sana hayo kama ni kweli.
   
 17. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #17
  Dec 15, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,148
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  utasema yote this time, maoni ya katiba yanakusanywa tayari..........alisaini kwa mbwembwe, sio lazima aunde tume kwa mbwembwe!!

  habari ndio hiyo!!
   
 18. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #18
  Dec 15, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,889
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  .....kwa siku nne.
   
 19. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #19
  Dec 15, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,172
  Likes Received: 4,505
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo hii habari unaikubali kwa sababu kasema magwanda mwenzeko?
   
 20. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #20
  Dec 15, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,785
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Mwikimbi na Ritz nimewasoma. Kati yenu mmoja mkweli mwinginet muongo.
  Sasa tuambieni Cardinal Pengo alikutana wapi na waandishi na ilikuwa lini na saa ngapi? Kama mmesoma/kusikia tuambieni chanzo cha habari yenu.

  MODS mkigundua hawa jamaa wazushi piga ban ya mwezi au zaidi
   
Loading...