Hukumu ya Hamadi iko Wawi inamsubiri,Maalim ambwa abakie kuwa kimya.

Kakke

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,883
1,482
[h=1]Mzozo wa Hamad Rashid una mkono wa vigogo wa ccm , alipokea maelekezo nguvu za Chama azihamishie Bara.[/h]Written by Hassan10 // 16/12/2011 // Habari // No comments

Kuna tetesi za watu wake wakaribu Hamad (HR) kuwa nguvu za chama cha cuf kwa upande wa Zanzibar azihamishie Bara pindipo akifaulu kukwaa ukatibu.
Baada ya kupokea ndonge nono Mh Hamadi na kuonekana na ccm kuwa yeye anawafaa na kujihisi yeye mwenyewe HR kuwa ana uwezo na sifa zote zakuwa mrisi wa Maalim Seif , alipokea maelekezo yakuwa nguvu zote za cuf azihamishie Bara na baadae aweze kukizofisha chama cha cuf kwa upande wa Zanzibar iwe wananchi nikuburuzwa tu.
Lakini hilo linaonekana kumtokea puani hivi sasa Hamad na kujiona tayari anaanza kuazirika mbele ya jamii ya watu wa Zanzibar kumuona ni mnafiki.
Jumuia ya Wazee wa Zanzibar hivi sasa wamemuomba Maalim seif kuwa awe mstahamilivu na asiweze kumjibu au kubishana nayee chochote Mh Hamad kwa vile hukumu yake itatolewa na wananchi wa Wazanzibar wa jimbo lake la Wawi.
Tukiachana na kuwa hivi sasa Hamadi anaazirika na kufanya kila mbinu kumchokora Maalim kuwa aseme ili apate kumfanya kuwa mgomvi wake , Maalim bado yuko kimya na ameombwa kuwa hivyo na hukumu ya HR itaamuliwa na watu wa Wawi is the metter of time.
Chama cha wananchi Cuf upande wa Zanzibar kinasema wachiliana watu wa Wawi kuto kukupali kumchagua mara hii Mh Hamad lakini Maalim kumpigia kifua, taayari Hamad na Abuubakar walichaonekana zaifu katika uzalendo wa Zanzibar.
Kulikuwa na mikasa mingi tu Cuf waliweza kuyavumilia na kupata muda zaidi wa kuyatafutia ufumbuzi, kwanza uzaifu wa watu hawa mbele ya pesa, 26/27 2001 katika mauwaji ya Kimbari Pemba chini ya Raisi wa Muungano wakati ule Benjamen Mkopa.
Mh Hamadi na Abuubakari walizima vuguvugu lile kwa kupokea pesa kama fidia alizotowa Benjamen Mkapa kuwapa Mh Hamadi na Abubakar Hamis, tukija katika mshakato wa katiba kuna fununu kuwa Mh Hamadi huyo huyo amenunuliwa kwa mamilioni yeye na Mh Abuu ili azofishe harakati za katiba Bada ya vikoa vyo vya siri Pinda na Hamad , Abuu na mwanasheria mkuu wa Muungano .
Kuna visa vingi tu vya watu hawa kuyumba katika chama kwa uzaifu wa kupokea rushwa utawaona hujifanya Wazalendo lakini ni wanafiki na wabaya katika harakati za kuikwamua Zanzibar.
Kipindi cha nyuma Mh Hamad Rashid alipokuwa kiongozi katika kambi ya upinzani Bungeni alisaidia kupeleka mswada wa maoni ya katiba kwa upande wa cuf kuwa kuwe na Ma-governors wawili mmoja Zanzibar na Mwengine Tanzania Bara hii ilikuwa ni kuondowa mamlaka mengine ya Rais wa watu wa Zanzibar na Zanzibar kuwa Dola.
Mungu ibariki Zanzibar na uwalani na kuwafichuwa wanafiki wa Zanzibar.
 
Naona mfumo kristo ulikukandamiza sana hadi ukishindwa kupita pale Haile Selassie
 
Bado hujaeleweka kabisa.Unamaanisha Mkapa alimhonga Hamad mamilioni kufidia hayo unayoyaita mauaji ya Kimbari?Kimsingi sijaona hoja ya maana hapo!
 
leo kaulizwa swali ch10 hakulijibu ,aliulizwa mbona kasi uliokuwanayo bunge la 9 imefifia? mtazamo wangu ni kuwa nafikiri alikuwa anapewa nguvu na dr slaa,kuhusu kupewa hela ushahidi wa mazingira unaonekana wazi kwani siku hizi anwashambulia sana cdm kama mlivyo msikia akimshambulia lisu bungeni kwenye mswaada katiba ,wakati wote akiongea alikuwa anashangiliwa na magamba ajbu kweli kweli bora yamkute...... dhambi mbaya '''''malipo hapa hapa
 
We ni gt bwana ebu jaribu kutoa hoja zenye mashiko na source,huu tunauona kama unafiki na chuki binafsi kwa HR, kwani kuna mbunge gani wa CUF hakumsema Lisu bungen?nani hakushangiliwa na magamba?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom