Kesi ya LEMA yapigwa kalenda tena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi ya LEMA yapigwa kalenda tena

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Idimulwa, Dec 16, 2011.

 1. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #1
  Dec 16, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ile kesi iliyo mfanya kamanda lema aamue kwenda mahabusu kama ishara ya kupinga ukandamizaji unaofanywa na vyombo vya dola likiwemo jeshi la polisi imeahirishwa tena mpaka 16, 2012 kisa, upande wa mashitaka haujakamilisha uchunguzi wake.Hivi kesi ya kufanya mkusanyiko usio halali nayo inatumia muda gani?napata shaka juu ya uwezo wa wanasheria wa serikali yetu.


  Source: Soma nipashe ya leo
   
 2. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #2
  Dec 16, 2011
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Hamna kesi pale, Jamhuri inatafuta namna ya kutoka tu. Wanatafuta ushahidi au wanafanya upelelezi gani? Wangemkamata Ole Milya siku alipandamana na wafuasi mpaka cental police, wangekuwa na ujasiri wa kuiendesha hiyo kesi, wangemkamata Malisa wa UVCCM pale alipofanya mkutano St Thomas bila kibali, tungeona kweli Polisi wetu ni professional lakini kwa kuwa walishindwa kuwakamata na kuwashitaki nimehundua kuwa Polisi ni Wanasiasa tu na chama chao cha PoliCCM (CCM 'C')
   
 3. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #3
  Dec 16, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Polisi wameanza kuishiwa nguvu
   
 4. FM stereo

  FM stereo JF-Expert Member

  #4
  Dec 16, 2011
  Joined: Oct 8, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  nguvu kubwa wanaipeleka kufanya mambo yatakayo wapendezesha wanasiasa wa ccm.
   
 5. tikatika

  tikatika JF-Expert Member

  #5
  Dec 16, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,671
  Likes Received: 2,205
  Trophy Points: 280
  polisi hawajui walitendalo ! ni kama wauaji wa Bwana Yesu, anawakomboa wao wanamchoma na mikuki ! IPO SIKU WATAJUTA NA KUOMBOLEZA
   
 6. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #6
  Dec 16, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Naunga hoja mkono Kamanda Ibrah!
   
 7. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #7
  Dec 16, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,798
  Likes Received: 36,824
  Trophy Points: 280
  Itaisha tu, na wapo watakaopata aibu kama Kova alivyojichoresha baada ya hukumu ya kesi ya Jerry Muro.
   
Loading...