Wadau mm si mfuasi wa vyama vinavyopenda kuwavua wawakilishi (madiwani, wabunge labda rais mbeleni) uanachama kitu ambacho kinapelekea wao kupoteza uwakilishi wao kutokana na katiba ya sasa...
Happy new year!mwaka 2011 unapita na mambo yake yote yanapita.Ni mwaka uliokamilisha idadi ya miaka hamsini ya uhuru wa nchi yetu toka mikononi mwa wakoloni.Tumekumbuka mengi kutokana na machungu...
Kuna methali inayosema 'maneno matupu hayavunji mfupa'; ambayo mara nyingi yamesikika yakitamkwa kuoanisha kauli za wanasiasa watanzania. Je unadhani msemo huu umechangia wanasiasa wa Tanzania...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (Cuf), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema ni muhimu kwa sasa Zanzibar kuwa na benki kuu yake ikiwa inataka kutumia kikamilifu rasilimali zake kujenga uchumi...
Juzi nilipendekeza hapa kuwa sheria ya mchakato wa uundwaji wa katiba mpya inaweza kuwa challenged mahakama kuu kwa kukinzana na katiba.
Leo mwananchi limeripoti na kumnukuu rais wa Tanganyika...
nnawapongeza sana wale wote walioshinda kuanzia wa chama changu na hata wapinzani
bado ccm itaendelea kutawala bara na zanzibar
sasa tupunguze siasa tushirikiane kujenga nchi
Mzee wa upako amejitokeza hadharani na kuishambulia CCM na viongozi wake,
Amesema maendeleo ya CCM ndani ya miaka 50 ni sawa yapo mbali sana na kuyafananisha na mtu mzima kuvaa nepi...
Published On: Tue, Dec 27th, 2011
Tanzania |
Kassim Majaliwa
Deputy Minister in the Prime Ministers Office (Regional Administration and Local Government Education) Kassim Majaliwa has asked...
27 December 2011
Kizitto Noya
HATIMA ya uanachama ya Mbunge wa Wawi (CUF), Hamad Rashid Mohamed inatarajiwa kujulikana leo atakapojieleza mbele ya Kamati ya Nidhamu na Maadili ya chama hicho...
Nilipatwa na mstuko mkubwa na ikanizukia sintofahamu ndani ya akili na nafsi yangu pale niliposoma kwenye gazeti la Mwanahalisi Seif Sharrif Hamad anapodai kaambiwa kwamba Sheikh Ponda na Sheikh...
Dr shein ni rais wa zanzibar ambaye wengi wetu tulikuwa tunamfahamu kama mzee wa mikasi. Nimekuwa namfuatilia kwa karibu utendaji wake tangu ashike madaraka. Sasa hivi wamefikia miezi sita tangu...
Hivi karibuni kumezuku tabia ya viongozi wa Zanzibar kuwahamasisha wananchi wao kudai mambo ambayo wao viongozi wanaona ni kero ya msingi katika Muungano. Tena wanawasaidia hata kujenga hoja kwa...
Nachukua fursa hii adimu kutoa hongera kwa viongozi wa NCCR Mageuzi kwa kuonyesha UJASIRI wa kuwaita viongozi na wanachama mbele ya vikao halali na kuchukua maamuzi magumu ya kuwavua uanachama...
Nimekuwa nafuatilia wanasiasa wengi kutoka upinzani wanaohamia au kurudi CCM hunufaika kwa kupewa post mbalimbali na baadaye hutupwa kapuni, kama nitakavyowataja baadhi ya waliotupwa baada ya kula...
VIONGOZI na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaotuhumiwa kujihusisha na vitendo vya ufisadi, wameshauriwa kutoitumia Sikukuu ya Kuzaliwa kwa Yesu Kristo (Krismasi) kama siku ya kihistoria...
Jamvi people,wote mmsikia kauli ya mkuu a mkoa wa DSM kuhusu athali za mafuriko,amegusa kwamba wale watakaorudi mabondeni basi serikali haitahusika,pindi maafa yakitokea tena,miye namkemea kwa...
Katibu Mkuu wa CUF Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad
Mgogoro unaofukuta ndani ya Chama cha Wananchi (CUF), umeingia sura mpya baada ya baadhi ya wanachama na waasisi wa chama hicho Wilaya ya...
Jamani wana Jf
mimi hii inanichanganya kidogo,inakuwaje Uraisi wa muungano uwe kwa mzunguko? mbona haijaelezwa hata ktk makubaliano?
maana kunakipindi yalihojiwa haya na viongozi walijibu kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.