Sheikh Ponda na Sheikh Basalehe ni kina nani ndani ya CUF?

Kigarama

JF-Expert Member
Apr 23, 2007
2,492
1,230
Nilipatwa na mstuko mkubwa na ikanizukia sintofahamu ndani ya akili na nafsi yangu pale niliposoma kwenye gazeti la Mwanahalisi Seif Sharrif Hamad anapodai kaambiwa kwamba Sheikh Ponda na Sheikh Basalahe wanataka kuonana naye baada ya Ponda kukutana na Hamad Rashid huku Ponda "akijua" kwamba Hamad Rashid ni "Mwongo"

Habari hizi alikuwa anaambiwa Profesa Hibrahim Lipumba na Seif Shariff Hamad. Na jambo walilokuwa wanalijadili si la kujenga misikiti au kusaidia waislamu wenzao kwenda hija, bali walikuwa wanajadiliana hali ya mambo ndani ya chama chao cha CUF Lipumba kama Mwenyekiti na Hamad kama Katibu Mkuu.

Swali nililojiuliza hawa Sheikh Ponda na Sheikh Basalehe wana nafasi gani ndani ya CUF hadi viongozi wa kitaifa wa CUF wagombanie kwenda kuwaona??
 
Viongozi wa kiimani ni muhimu sana mzee katika kulainisha mambo na kuondoa vitisho vya kutoweka kwa amani,kwa hapo sidhani kama kuna kosa,mara nyingi wamekua wakitumika sehemu nyingi duniani kama wapatanishi mambo yapoenda ndivyo sivyo!naomba niwatetee kwa hili,wazee na viongozi wa dini wana nafasi kubwa kwa ustawi wa amani mahali popote.
 
Lakini Seif alikuwa anaongea kama vile Rashid alikwenda kumshitaki kwa Ponda wakati Ponda kwa maelezo ya Seif anajua kwamba Rashid ni Muongo. Unajua hata muafaka kati ya CCM na CUF ulianzia kwenye Hitma ya Mzee Shaaban Mloo?
 
Ama kweli wanaweza kuwa viongozi wa kiroho. hivi ponda alishamaliza siala lake la uraia manake kuna wakati nilisikia akitajwa kama Mrundi! Basalehe ni mwanaharakati wa kiroho hasa suala la kadhi hivyo huenda walikuwa wanajadiliana ili CUF iliweke suala la kadhi kwenye ilani uchaguzi ujao!
 
Maalim Seif alikuwa anazungumzia mgogoro wake na Hamad Rashid. Hawa jamaa wawili (Ponda na Basalehe) mwaka jana na mwaka huu wamekuwa wakiendesha "mihadhara" na mada zao kuu zilikuwa ni "CHADEMA chama cha wakatoliki" na "Nyerere siyo Baba wa taifa" ni vizuri tukajua kwa hakika mahusiano yao na viongozi hawa wa CUF kama ni ya kibinafsi au ni ya kichama.
 
Alaa si mambo ya waislaam mnayatakia ya nini? Kwani Hamad Na Seif wameacha Uislaam baada ya kuwa CUF? iweje ufikirie Sheikh Ponda kuwa CUF badala ya kufikiria Seif Hamad na Rashid ni Waislaam kwanza...Kwa hiyo Lowassa anapokwenda kuwaona viongozi wa makanisa kunawafanya nao CCM na Mafisadi sio?
 
Kigarama,

..inabidi uwa trace all the way back to NRA na Prof.Malima.

..baada ya Prof kufariki CUF ndiyo ilikuwa kimbilio namba 1 la wanachama wa NRA.
 
Ndg yangu Mkandara katika hili tungeweza pia kusema ni mambo ya wanaume kwani ni wanaume watupu ndiyo wanahusika katika jambo hili. Kwa sababu jambo lao walilokuwa wanalizungumzia ni hatima ya chama chao ndipo hasa ninapojiuliza ni kwa nini waende kwa Ponda na Basalehe??
 
Viongozi wa kiimani ni muhimu sana mzee katika kulainisha mambo na kuondoa vitisho vya kutoweka kwa amani,kwa hapo sidhani kama kuna kosa,mara nyingi wamekua wakitumika sehemu nyingi duniani kama wapatanishi mambo yapoenda ndivyo sivyo!naomba niwatetee kwa hili,wazee na viongozi wa dini wana nafasi kubwa kwa ustawi wa amani mahali popote.
Alaaa, kumbe... sikuwa na habari
 
nilipatwa na mstuko mkubwa na ikanizukia sintofahamu ndani ya akili na nafsi yangu pale niliposoma kwenye gazeti la mwanahalisi seif sharrif hamad anapodai kaambiwa kwamba sheikh ponda na sheikh basalahe wanataka kuonana naye baada ya ponda kukutana na hamad rashid huku ponda "akijua" kwamba hamad rashid ni "mwongo"

habari hizi alikuwa anaambiwa profesa hibrahim lipumba na seif shariff hamad. Na jambo walilokuwa wanalijadili si la kujenga misikiti au kusaidia waislamu wenzao kwenda hija, bali walikuwa wanajadiliana hali ya mambo ndani ya chama chao cha cuf lipumba kama mwenyekiti na hamad kama katibu mkuu.

Swali nililojiuliza hawa sheikh ponda na sheikh basalehe wana nafasi gani ndani ya cuf hadi viongozi wa kitaifa wa cuf wagombanie kwenda kuwaona??

hakuna kuuma uma maneno,cuf ni chama cha kidini tangu zamani,na ni chama cha waislamu.... Hata ukipinga unajua kuwa huo ndio ukweli....tafakari na chukua hatua.
 
Alaa si mambo ya waislaam mnayatakia ya nini? Kwani Hamad Na Seif wameacha Uislaam baada ya kuwa CUF? iweje ufikirie Sheikh Ponda kuwa CUF badala ya kufikiria Seif Hamad na Rashid ni Waislaam kwanza...Kwa hiyo Lowassa anapokwenda kuwaona viongozi wa makanisa kunawafanya nao CCM na Mafisadi sio?

Unauliza majibu, leta swali sasa.
 
Kigarama,

..inabidi uwa trace all the way back to NRA na Prof.Malima.

..baada ya Prof kufariki CUF ndiyo ilikuwa kimbilio namba 1 la wanachama wa NRA.

Mkuu hapo kuna neno. NRA ilikuwa ikifanya mikutano yake msikiti wa Mtoro na Manyema. Lakini huenda hao wakuu walikuwa wanatafuta hekima za masheikh ama walikuwa tu wanataka kuongea na wanachama wao!
 
sioni kosa la viongozi hao wa dini kuwakutanisha maalim seif sharifu na hamad rashid kama kweli,kwani kuna ubaya gani?au nyie cdm furaha yenu kuona cuf wakikwaruzana? tatizo lenu cdm mmezidisha udini,ukristo ukristo tu plus uroman katoliki,ndio maana kwenu huo udini hamuuoni,haya endeleeni kuimba wimbo mnaoimbishwa kanisani,mwisho wake mtauona.
 
Kichwa Mbovu,

..hao Mashekhe[basalehe,ponda] ni wa ajabu kidogo.

..wanataka umoja baina ya wana CUF, lakini hawaishi kuhubiri UDINI na CHUKI baina ya Waislamu na Wakristo.
 
kila ninapofungua thread kama hz huwa napatwa na hasira sana juu ya wa2 wa imani fulani coz wao wakifanya hamna makosa ila wakifanya wengine wanakosea
 
Mbona hamjawahi kuuliza PENGO, RUWAICHI, LAIZER and co . ni nani ndani ya CHADEMA? Kila CHADEMA ikifanya upuuzi hawa lazima watetee! Pia hushangai kanisa katoliki kutoa PADRE wake awe katibu mkuu wa chama chako? Nyambaf!
 
Back
Top Bottom