Hatari ya UGOMBEA binafsi kutumiwa vibaya!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatari ya UGOMBEA binafsi kutumiwa vibaya!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gwota, Dec 27, 2011.

 1. Gwota

  Gwota JF-Expert Member

  #1
  Dec 27, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wadau mm si mfuasi wa vyama vinavyopenda kuwavua wawakilishi (madiwani, wabunge labda rais mbeleni) uanachama kitu ambacho kinapelekea wao kupoteza uwakilishi wao kutokana na katiba ya sasa inavyosem. Lakini mm pia sio mfuasi wa wawakilishi kuwa watovu wa nidhani ktk vyama vyao (weka case ya kafulila pembeni).
  Endapo katibya mpya itaruhusu ugombea binafsi mm nadhani itakuwa vyema mgombea binafsi asimame mwenyewe kuanzia mwanzoni wakati wa kampeni na sio kupitia chama fulani halafu badae alete vurugu hata zisizo na tija kwa kujua chama hakina cha kumfanya kwa kuwa hata wakimnyanganya kadi still atabaki kuwa mwakilishi.
  Endapo mtu atatumia chama kupata uwakilishi basi akivuliwa tukaanze upya.

  wadau mwasemaje?
   
 2. k

  kuzou JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  practically mgombea binfsi ni ngumu kwa nchi maskini japokua ni haki,pata picha jimbo moja wagombe watu 100 kwanza vurugu na hamuwezi pata mtu makini hilo karatasi la kupiga kura litakuaje.wakiweka vigezo ni yaleyale yakunyima haki wengine
   
 3. Gwota

  Gwota JF-Expert Member

  #3
  Dec 27, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Teh teh teh kaka hapo umenichekeshe sana
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Dec 27, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  wafanye lakini watatolewa kwenye NEC wakati bado uchaguzi hujaanza..
   
Loading...