Siku ya jana kulifanyika ibada kubwa pale Zanzibar, na viongozi wakuu wa kitaifa walikuwepo. Nilishangazwa kwa jinsi protokali ya nchi hii ilivyomuweka Pinda nyuma ya JK, Bilal, Shein, Hamad na...
Hii ni kwa mujibu wa gazeti la mwananchi dec, 1 '09. Binafsi sijaona uzito wowote katika kumzungumzia huyu kijana zaidi ya kumkuza bila sababu ya msingi. Ila kwa kauli yake hii, 'wanachama hao...
Merry Xmas kwa wana JF wote!
Najua viongozi wengi wa Chadema huvinjari humu jamvini! Napendekeza Ofisi ya Katibu Mkuu Chadema iandae "Salamu maalumu za Mwaka Mpya 2012" kwa wana-Chadema na...
"Me ninajiuliza aliyemshauli huyu mwanasiasa kijana kwenda mahakamani naye akukabari"
je alifikilia nini cha msingi me naona kama aliwapigia magoti viongozi wake arudi tena wakae meza moja kabla...
Mjasiriamali Mh. Diallo nakupongeza kwa kuanzisha Sahara Media Group wamiliki wa Star Tv na Radio Free Afrika. Kampuni hii inaonekana ina wafanyakazi wengi sana, nimeshuhudia leo wakituma salamu...
Kweli wajinga ndo waliwao, Lema na chama chake hawahudhurii vikao vya madiwani manispaa ya arusha zaidi ya kuchukua posho tu. Kazi ya kutetea rasilimali za manispaa ya arusha inafanywa kwa...
Katika hari ya sitofahamu kwenye maslahi ya walimu nchini wamachama wa chama hicho mjini mbeye wamevamia ofisi za jumuia hiyo na kuwafukuza viongozi wa CWT na kisha kuzifunga ofisi zao. sakata...
Shaloom wanajamvi! Kitendo cha watendaji waandamizi wa CCM na Serikali mkoa wa Rukwa na wilaya zake kushiriki katika mapokezi ya aliyekuwa kibaraka wa CCM ndani ya CHADEMA bw Shayo...
Baada ya Kamati ya Makani kutoa ripoti yake kuhusu sakata la Jairo na kupendekeza kung'olewa kwa Jairo na mabosi wake pale wizarani, kumeanza kujitokeza kwa kampeni za kutaka Rais atekeleze azimio...
Wakuu kwa mjibu wa RFA jion hii, Hamadi Rashid na wenzake wataanza kuhojiwa kesho na zoezi hilo litakuwa la siku mbili mfululizo kupitia kamati ya maadili ya CUF. Tufuatilie.
Aisee nimecheka sana leo. Yaani these people have made my boxing day japo hakuna zawadi hata moja niliyopewa jana. Nipo naangalia ITV nawaona waathirika wa mafuriko Dar ambao wapo kwenye makambi...
Gold miners at the Chudja mine in north-eastern Congo. Picture: File By ESTHER NAKKAZI
Posted Monday, December 26 2011 at 00:00
Trade in blood minerals that has been funding civil wars in...
Salamu wana jf,nimekuwa nikifuatilia hali ya mambo na mbio za uraisi wa 2015,nimeamua nianze na huyu mheshimiwa ambaye kwa wasiofahamu wanaaminishwa na vyombo vya habari kuwa ni kiongozi bora...
Matatizo ya Tume ya Taifa ya uchaguzi Tanzania ni makubwa sana.
Misuguano iliyopo katika uongozi, serikali lege lege yote hayo yanatokana na tume ya uchaguzi.
Udhaifu wa Tume ya uchaguzi ndo...
BOOKMARK THIS PAGE
Maaskofu waonya posho mpya,ufisadi
Send to a friend
Monday, 26 December 2011 11:47
0diggsdigg
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania...
Written by Mrfroasty (Ufundi) // 25/12/2011
Alipozungumza kuhusu wale wanaotetea mfumo wa Serikali mbili, Maalim Seif alisema kama ni hivyo yeye hana tatizo. Ila ziwepo Serikali mbili, moja...
An ideal for which I am prepared to die This statement was made from the dock at the opening of Mandela's trial on charges of sabotage, Supreme court of South Africa, Pretoria, April 20...
Jamani hili suala la posho spika alihitimisha kwa kusema tumeshaanza kuwa lipa sasa nashangaa watu wanaandamana kupinga lipi?kama sijaelewa naomba kueleweshwa.Nawasilisha.
ZANZIBAR umekuwa huru na wananchi wako wametulia , lakini Tanganyika inakaliwa kwa mabavu na viongozi wa CCM, wanateka kila haki ya msingi ya wananchi, wametutungia katiba ya Tanganyika na...
WAZIRI wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Emmanuel Nchimbi ameteua Kamati Maalumu ili kukamilisha mchakato wa kupendekeza vazi la Taifa ambalo litakuwa miongoni mwa vitambulisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.