Hivi kwanini Viongozi wa Tanzania Bara hawahamishi wananchi kupigania haki zao katika Muungano? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kwanini Viongozi wa Tanzania Bara hawahamishi wananchi kupigania haki zao katika Muungano?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kibunda, Dec 27, 2011.

 1. k

  kibunda JF-Expert Member

  #1
  Dec 27, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hivi karibuni kumezuku tabia ya viongozi wa Zanzibar kuwahamasisha wananchi wao kudai mambo ambayo wao viongozi wanaona ni kero ya msingi katika Muungano. Tena wanawasaidia hata kujenga hoja kwa takwimu. Ndiyo maana kwenye mambo mengi serikali ya Muungano imekuwa ikinywea na kusalimu amri. Lakini hali ni tofauti kwa Tanganyika. Viongozi wa serikali wako kimya. Hakuna anayewafumbua macho wananchi kudai haki yao katika Muungano ili katiba itakapotungwa mambo yaende sawa. Swali ninalojiuliza, je Huku Bara hakuna viongozi wazalendo? Ama, kwa kiwango cha kufikiri kwa viongozi wetu, Je, Tanganyika hatuna kero ndani ya Muungano?
   
 2. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  ukimuona kobe kainama ujue anatunga sheria!
   
 3. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #3
  Dec 27, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu tunaomba tukukumbushe kwamba TANGANYIKA (TANZANIA BARA) kwa sasa haina Uongozi au Viongozi. Uongozi au Viongozi unaowasema ni wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na hii ndiyo sehemu ya Upuuzi wa huu Muungano!
   
 4. The Stig

  The Stig JF-Expert Member

  #4
  Dec 27, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 882
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80

  Wapo waliojaribu. Alijaribu Malecela na G55, wakashughulikiwa ndani ya Chama

  Juzi amethubutu Lissu, akashambuliwa na CCM, CUF, SMZ

  Hili dude gumu bana, na ndani yake kuna ka-janga ka taifa kamejificha!
   
 5. k

  kibunda JF-Expert Member

  #5
  Dec 27, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Lakini tukiangalia mwenendo huu wa viongozi wa Zanzibar, tusipouangalia vizuri ni kweli utaleta janga. Lakini janga kubwa ni ile tabia ya viongozi wa Muungano wa kukubali kila jambo la Zanzibar kama walivyofanya kwenye sheria ya Marekebisho ya Katiba inayoendelea kutekelezwa. Ni kama Tanganyika yetu wanaiuza kwa wazanzibar.
   
 6. k

  kibunda JF-Expert Member

  #6
  Dec 27, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kweli mkuu, Tataizo kubwa huku kwetu ni Ombwe la Uongozi. Ndiyo maana kwa kiasi fulani wenzetu kule wanaonekana kama wako makini kuliko sisi. Ngoja tuone mwisho wake.
   
 7. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #7
  Dec 27, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Sababu kubwa ni waBara wananufaika na muungano.
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Dec 27, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  TUNAWAAMBIA mtoe support kwa CDM, ndiyo chama pekee kinachotoa mwelekeo mwema wa kutetea taifa la Tanganyika kwa sasa!
   
 9. Jagermaster

  Jagermaster JF-Expert Member

  #9
  Dec 27, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 656
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wananufaika kivipi?
   
Loading...