Je msemo 'Maneno matupu hayavunji mfupa' nikikwazo katika siasa na maendeleo Ya mtanzania?

Ame

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
6,169
5,188
Kuna methali inayosema 'maneno matupu hayavunji mfupa'; ambayo mara nyingi yamesikika yakitamkwa kuoanisha kauli za wanasiasa watanzania. Je unadhani msemo huu umechangia wanasiasa wa Tanzania katika kutamka wasiyoyamaanisha na kufanya wasiyo ya tamka? Ninatamani kujua kama msemo huu upo katika tamaduni za watu wengine duniani, maana na amini kwa upande wangu wanasiasa ambao mara nyingi silaha ama nyenzo yao kubwa ya kufanya kazi ni maneno/sera kama wamekulia katika makuzi haya yakuamini maneno hayana nguvu ya kubadili chochote basi inawezekana hapo ndipo tatizo letu linapoanzia katika siasa zetu ambazo haziwezi kwenda tofauti na utamaduni wetu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom