Baraza la Iddi: Mahakama ya Kadhi ni suala la Waislamu wenyewe - Kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baraza la Iddi: Mahakama ya Kadhi ni suala la Waislamu wenyewe - Kikwete

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by THE GEEK, Aug 31, 2011.

 1. THE GEEK

  THE GEEK Member

  #1
  Aug 31, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 90
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  [video=vimeo;28494538]http://vimeo.com/28494538[/video]

  [video=vimeo;28494765]http://www.vimeo.com/28494765[/video]

  [video=vimeo;28495126]http://www.vimeo.com/28495126[/video]

  [video=vimeo;28495132]http://www.vimeo.com/28495132[/video]

  [video=vimeo;28495463]http://www.vimeo.com/28495463[/video]

  [video=vimeo;28495672]http://www.vimeo.com/28495672[/video]

  [video=vimeo;28495799]http://www.vimeo.com/28495799[/video]
  Nafuatilia hotuba ya mh raisi kikwete kwenye baraza la iddi kuoitia tbc 1.

  Kwa kweli amejitahidi kuainisha ukweli wa mambo hususan katika sekta ya elimu,

  japo naona kuna ma ustaadh wanamuangalia kwa roho mbaya kweli

  hasa hasa anaposema baba wa taifa hili mwalimu nyerere alitaifisha

  shule zote za dini na mashirika ziwe za serikali ili elimu itolewe bila ubaguzi.

  Kudos j.k

  n.b:

  Mimi ni chadema, ila kiongozi wa ccm akisema jambo likanigusa hakika sitaacha kumfagilia.

  Siasa sio uadui na kuona maovu ya mwenzako tu bila kuona mazuri wajameni.
   
 2. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Naomba tujulishane shule za waislam wanazotaka kurudishiwa ni zipi maana wamelalamika sana !
   
 3. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,314
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Hii ndo nilichompendea Jk, kuikataa live mbele ya waislamu Dodoma suala la Mahakama ya Kadhi lililodaiwa kujihusisha na Ibada za Kiislamu.

  Amedai, hili liko nje na serikali kwani liko kidini zaidi!!

  Jk hapo nimekukubali....

  cheers

  .
   
 4. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #4
  Aug 31, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Nimekaa nikimsikiliza JK katika baraza la Eid. Huyu bwana hana lugha ya kidiplomasia na sijui kwa nini Mkapa alimpa uwaziri wa mambo ya nchi za nje!!! Kimsingi ananiboa sana. Ukiangalia hata sura za mashehe wetu, wanaonekana wamekata tamaa kabisa. Anyway, binafsi ninajuta kumpigia kampeni kabisa ktk uchaguzi mkuu. Sasa ninakubaliana na statement ya jamaa mmoja inayosema, IF YOU THINK GADDAFI IS BAD, TRY JK
   
 5. Bundewe

  Bundewe JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 401
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  JK yuko hewani TBC katika baraza la idd, anaeleza wazi kwamba suala la kuanzishwa mahakama ya kadhi linawahusu waislamu wenyewe na serikali haitajihusisha wala kutoa rasilimali zake.

  Kwa mara ya kwanza naona leo ****** akiwa serious na kuongea bila kutafuna maneno huku mashehe wakiwa kimya kama wamemwagiwa maji. Big up JK!!! Pamoja na udhaifu wake hapa jamaa kaongea point.
   
 6. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #6
  Aug 31, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  J.K amewathibitishia waislam kwamba mahakama ya kadhi ipo mbioni kuundwa.Lakini J.K ameeleza kwamba serikali haitohusika na uendeshaji wa mahakama hizo.Pia Rais kikwete amesema kwamba mahakama hiyo haitahusika na kesi za madai na jinai.Akieleza zaidi amesema kwamba mahakama hii hairuhusiwi kutoa adhabu ya kumvunja mtu mkono wala kumpiga mawe hadi kufa yule aliyefumaniwa.Mipaka ya mahakama hii ni kuhusika na kesi za Ndoa,Talaka na Mirathi tu.
   
 7. W

  We can JF-Expert Member

  #7
  Aug 31, 2011
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 681
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Amewaambia ukweli waislam bila uoga. Nadhani kuna ushauri makini kaupata.
   
 8. D

  Doc Member

  #8
  Aug 31, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Leo kaongea vema..
   
 9. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #9
  Aug 31, 2011
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,420
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  kikwete kanena vyema. Mahakama ya kadhi ni ya waislam na ni mzigo wao kama wanaihitaji. Hongera kikwete kwa maneno ya busara.
   
 10. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #10
  Aug 31, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  baada ya muda mrefu leo nimemsikia Kikwete akiongea kama kiongozi wa nchi. Ukiacha hili la Mahakama ya Kadhi, hata masuala mengine aliyoyaongea, amejitahidi kuzungumza vizuri. Labda ndio mwanzo wa kubadilika
   
 11. W

  We can JF-Expert Member

  #11
  Aug 31, 2011
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 681
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mimi mwenyewe sikuamini. Lakini nililazimika kumwamini baada ya kuona anaongea bila kuchekacheka na pia akitumia mifano ku JUSTIFY hoja zake, japo kajichanganya pale aliposema WAUZA unga watajulikana mahakamani, lakini hapohapo akasema wameonyeshwa bungeni. Generally, hotuba ilikuwa nzuri.
   
 12. m

  mchongi Senior Member

  #12
  Aug 31, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hao siku zote huisi mfumo wa kiraia unawabagua so ni kulalamika kwenda mbele. suala la serikali kutoingilia kati uendeshaji wa kadhi ni la kisheria zaidi kuliko matakwa ya mtu mmoja so kwa hilo ni sahihi maana nchi yetu haina dini japo watu wake wana dini. mwenye wazo la kwamba ipo siku dini itaongoza nchi asahau maana dini ni imani tu kati yako na unaemwamini. Hongereni lakini japo nahisi mmekwazika kutopigana mawe na kukatana mikono hahahaaaaaaa
   
 13. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #13
  Aug 31, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,552
  Likes Received: 18,238
  Trophy Points: 280
  Amefanya vyema. Kwa vizazi vipya msiwe na hofu wala shaka kihusu mahakama hii ya kadhi kwani ilikuwepo wakati tunapata uhuru na iliendelea mpaka mwaka 1963 ilipopigwa marufuku.
   
 14. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #14
  Aug 31, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hakika leo JK ametoa hotuba ambayo mi binafsi imenifurahisha kuanzia mwanzo mpaka mwisho.Ila nina wasi wasi kuwa huenda haikupokelewa vizuri na viongozi wa dini ya kiislamu kwani hawakuonyesha sura za furaha.
   
 15. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #15
  Aug 31, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,445
  Likes Received: 7,183
  Trophy Points: 280
  Maneno hayo tunataka actions.
   
 16. DCONSCIOUS

  DCONSCIOUS JF-Expert Member

  #16
  Aug 31, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,272
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Kwa sisi waislam tunaona ametugeuka kwa kutoa majibu tofauti na alivyo tuahidi msikitini kipindi cha uchaguzi!! Kweli wanasiasa vigeugeu kikwete kigeugeu!!!
   
 17. mluga

  mluga JF-Expert Member

  #17
  Aug 31, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 678
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hivi kweli wataweza kuiendesha hii mahakama bila msaada wa pesa toka serikalini? Hapa kwanza italeta matatizo makubwa, kwani Bakwata watataka waikamte na kuiendesha na hawa wengine watakuja juu, ukweli italeta vurugu miongoni mwa waisilamu.

  Uendeshaji wake, na si busara ipewe pesa na serikali.
   
 18. Ground Zero

  Ground Zero JF-Expert Member

  #18
  Aug 31, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  Kiukweli kikwete kazungumza kama raisi wa nchi. Nampongeza sana.
   
 19. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #19
  Aug 31, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  iti is very clear sasa kila mtu atajua watu wa hapa JF na chadema ni watu waaina gani.
  ndo maana nilisema na narudia kusema kuwa uongozi wa JK umechukiwa kwa sababu ya hii mahakama ya kadhi, kujiunga na OIC na muafaka wa zenji. Sio hizi sababu zinazotolewa.
  kabla ya hapo hamna hata mmoja anayeweza kunithibitishia kinyume chake. ona leo mlivyofurahi. Sitaki kuwa bias, bias kwangu mwiko.
   
 20. B

  Binti Sayuni JF-Expert Member

  #20
  Aug 31, 2011
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 357
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  wamejuta kumualika.Sura zao zilionekana kama wamekula ndimu hawakuamini masikio yao baada ya kuwaambia ukweli kuhusu mahakama ya kadhi.
   
Loading...