CCM itaendelea kutawala Tanzania hadi 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM itaendelea kutawala Tanzania hadi 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtu wa Pwani, Nov 2, 2010.

 1. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  nnawapongeza sana wale wote walioshinda kuanzia wa chama changu na hata wapinzani


  bado ccm itaendelea kutawala bara na zanzibar


  sasa tupunguze siasa tushirikiane kujenga nchi
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280

  Ndoto za Linacha.  Hamjui hata kama maendeleo, umasikini na ujuha wenu una mahusiano moja kwa moja na utawala wa nchi. Munapelekwa kwa ushabiki wa kishamba. Tutawafunza. Asiyefunzwa na mamaye atafunza na ulimwengu.

  Tumeanza. Haturudi nyuma.

  Tumewavumilia miaka 50.

  Tutashindwa kusubiri miaka mi 5?
   
 3. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135


  acha matusi kwa watu wa pwani ww, humo wamo wanachama wenu na pia wako waliokuungeni mkono kwenye uchaguzi


  mbona kuna maeneo mengi ya bara pia wamekunyimeni hata kule tarime hawajakupeni  sasa leteni mawazo ni jinsi ya kuleta maendeleo
   
 4. K

  KunjyGroup JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Dec 7, 2009
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Narudia tena,kwakuwa ccm & jk mumeshindwa kukubali kwamba wa Tz wamewachoka ila mumejifanya vichwa ngumu kwa kuchakachua kura,mark my words, MWISHO WENU MBAYA
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Democracy.

  Watu wa Tarime wameonesha kukomaa kisiasa.

  Kwani America vipi? Kuna mwenye hati miliki ya America kati ya Democrats na Republican??

  Wananchi ndiyo wanaamua.

  Wanatarime wamewapa nafasi. Mkicheza Chadema wanachukua tena.

  Hata hivyo watu wa Tarime hawana ubongo uliojaa chumvi.
   
 6. B

  Boramaisha JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 820
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sasa ndio tunapaswa kuongeza siasa ujenzi wa nchi utaendelea pia wala usiwe na shaka. Wote walioichagua CHADEMA ni wazalendo wenye kuitakia mema nchi yetu na ari ya kujenga nchi.
   
 7. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Ng'wanangwa:

  Ina maana watu waliochagua CCM wana ubongo uliojaa chumvi? Uwatendei haki watanzania waliotumia haki zao za kikatiba. Chama cha siasa kinaposhindwa kupata ushindi kisilaumu wapiga kura hata kidogo. Ni lazima kiangalie ni jinsi gani ya kuvutia wapigaji kura wa baadaye.
   
 8. Mshirazi

  Mshirazi JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2010
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Sidhani kama wanachadema wote wana akili ya matusi na ubaguzi kama uliona...

  vile vile inaonesha huishi wala hujawahi kuishi na watu wastaarabu, vile vile ni mwanagenzi wa siasa, hujui wala huthamini haki za wengine katika kuchagua viongozi (demokrasia).

  Ushauri wangu ni kwamba,,,miezi miwili uliyokaa hapa jamvini bado haijakutosha... endele kujifunza ustaarabu hapa,, itakusaidia,, hwenda hapo baadae ukawa na mchango mzuri.
   
 9. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Signature yako tu inakusuta.
   
 10. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2010
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  naam jee tungependa bunge la safari hii lizungumzie issue zipi kama kipao mbele?

  jee masuali ya zanzibar kua nchi au si nchi lrejee kujadiliwa bungeni ?

  masuali ya rasilimali za taifa kama dhahabu, gesi, mafuta na madini yajadiliwe katika muundo upi ?

  wabunge wasisitize kuwepo katiba mpya ?

  jee muungano wetu uwe na muundo upi ?

  naomba tujadili haya na mengine katika ujenzi wa Tanzania mpya

  na nnampa pole ndugu yangu Zitto nasikia yuko polisi kwa kujifanya kidume
   
 11. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #11
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  mahakama ya kadhi, Tanzania iwe nchi ya kiislam, biashara zote zifungwe siku ya ijumaa, maduka ya nguruwe yavunjwe etc etc
   
 12. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #12
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Uchaguzi haujaisha bado unazungumzia mambo ya kujenga nchi!! Wewe fisadi nini?
   
 13. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,397
  Trophy Points: 280
  CCM HAMNA UWEZO WA KUTAWALA WANANCHI,KAZI YENU UFISADI TUU!WEWE UNAONA NI SAWA KUJENGA CHOO CHA SHIMO KWA SH 7M?miaka 50 mmefanya nini?nikikuuliza tz kwa sasa ina mfumo gani wa elimu utajibu nini?
   
 14. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #14
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Guys wala tusife moyo hawa jamaa hata wakishinda mwaka huu urais lakini bungeni kuna baadhi wa chadema wapo so upuuzi kidogo utapungua sana,ila sasa 2015 ndio wataaibika sana tena sana na mimi leo naongea nyinyi wenyewe mtaona...Hawa CCM ilibidi kuwapatia time ya kutosha mkuru na wenzake wote wezi tu.............
   
 15. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  you are bad....... .Mtalipa kwa maovu yenu yote.Mawazo yenu ni kujenga nchi za matumbo yenu na mkuwasahau watanzania masikini.
  Ole wenu....dhambi hii haitapita bure....
   
 16. M

  MgonjwaUkimwi JF-Expert Member

  #16
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 1,288
  Likes Received: 521
  Trophy Points: 280
  Kama wapinzani hawaungani, nachelea kusema kwamba nitakufa chini ya utawala wa CCM.
   
 17. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #17
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  crap
   
 18. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #18
  Nov 3, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Well said
   
 19. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #19
  Nov 3, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,813
  Trophy Points: 280

  acha kashfa wewe!.. Kubali tu watanzania walio wengi! Bado wana mapenzi na ccm!!
   
 20. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #20
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Wananchi wanahitaji chama cha kuwaongoza sio kuwatawala. Tofautisha hilo next time uwe makini na heading zako!
   
Loading...