Urais wa muungano kwa mzunguko? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Urais wa muungano kwa mzunguko?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by engmtolera, Dec 27, 2011.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Dec 27, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Jamani wana Jf

  mimi hii inanichanganya kidogo,inakuwaje Uraisi wa muungano uwe kwa mzunguko? mbona haijaelezwa hata ktk makubaliano?

  maana kunakipindi yalihojiwa haya na viongozi walijibu kuwa Mwal nyerere kumweka mwinyi sio kwamba ndio utaratibu ulivyo na wala hawakukubariana hivyo ktk muungano,sasa inakuwaje nyakati hizi baadhi ya viongozi wanasema Uraisi wa muungano uwe wa mzunguko?

  kwa wenye uelewa juu ya swala hili ebu tuwekane sawa jamani
   
Loading...