Mamlaka na ombwe endelevu la uongozi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mamlaka na ombwe endelevu la uongozi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Aaronium, Dec 27, 2011.

 1. Aaronium

  Aaronium Senior Member

  #1
  Dec 27, 2011
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamvi people,wote mmsikia kauli ya mkuu a mkoa wa DSM kuhusu athali za mafuriko,amegusa kwamba wale watakaorudi mabondeni basi serikali haitahusika,pindi maafa yakitokea tena,miye namkemea kwa nguvu nyingi sana kwani amesahau kwamba yeye anadhamana ya kulinda maisha ya wananchi wanaomhusu,hata kwa kutumia nguvu nyingi kuwazuia kurudi na siyo kuregearegea na kutoa misimamo ya uongozi wa kuku kukimbia kwanza ndipo kuja kutoa pole zisizo na msingi,kule Geita watu walikatazwa kufanya uchimbaji ktk mgodi na walinzi Polisi waliwekwa! Iweje unaweza kufukuza wamachinga na ombaomba na ushindwe kutumia nguvu kuwaokoa?
   
Loading...