Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Imeandikwa na Mwandishi Wetu; Tarehe: 28th December 2011 @ 14:59 - Habari Leo MAPYA yameibuka kwa wakazi wa mabondeni jijini Dar es Salaam waliorudi kwenye maeneo yao licha ya mafuriko makubwa na...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wandugu zangu nimetumiwa maswali yafuatayo na jamaa yangu mmoja ili nimsaidie lakini binafsi yamenishinda, nadhani atakuwa kapewa asignment katika hii kozi fupi ya maandalizi ya uchaguzi. Plz...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Vyombo vya habari ni jicho la jamii niliandika katika moja ya blog mojawapo mashuhuri napa nchini siku chache zilizopita. Leo walionikandia kuhusu ushauri wangu kwa vyombo vya habari wanashuhudia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi naona hii wizara ya Ardhi kuna ufisadi sana, hasa katika ngazi ya Halmashauri. Kwenye Halmashauri ndo kwenye ardhi Mifano michache, juzi juzi tu tulisikia uchakachuaji katika ugawaji...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Redline wins national WiMAX network deal in Tanzania -- Hotspot, Redline Communications and RapidCloud to install WiMAX Forum Certified™ network to cover six major centres -- Toronto...
0 Reactions
90 Replies
12K Views
Mnaweza kukumbuka kwamba Mzee Yusuf Ma-Ropes alitamba kwamba lazima kijana wake apewe uwaziri, basi Mkuu wa kaya baada ya kupata hizi taarifa na pia kutokana na shinikizo kutoka kwa wengi ambao...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimejaribu kujiuliza lihi swali kila wakati bila kupata majibu yaliyo sahihi , Huwa najiuliza Rais wetu aliwaza nini au huwa anawaza nini pale ambapo huwa teuwa wana jeshi wastaafu kuwa wa wakuu...
0 Reactions
58 Replies
6K Views
Ni amri ya Mahakama. Habari ndio hiyo! SOURCE: http://twitter.com/#!/zittokabwe =================== Zitto Kabwe Kafulila kuendelea na Ubunge..... Mahakama Kuu imetoa amri muda mfupi...
3 Reactions
139 Replies
13K Views
MCHUNGAJI Kiongozi wa Kanisa la Maombezi (GRC) lililopo Ubungo Dar es Saama, Mchungaji Antoni Lusekelo, ameibuka na kusema kuwa sakata la Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Bw. David...
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Kwa kadri ya matangazo ya TBC1 saa 2 usiku, RC wa Dar amewapa week moja wahanga wa mafuriko ambao ni wapangaji waliohifadhiwa kwenye makambi mbali mbali, waondoke wakatafute nyumba nyingine. Kwa...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Mwandishi Wetu - Raia Mwema Dr Wilbroad Slaa Dk. Slaa azidi kung’ara kisiasa Lipumba, Maalim waporomoka Nape abeba zigo la kuitetea CCM KWA takriban miezi yote 12 ya mwaka unaokwisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wapenzi wote wa CHADEMA muelewe kwamba DR Willbrord Slaa Nikatibu mkuu wa CHADEMA. kwa sasa ila ikitangazwa kuwa yeye ndiye mgombea wa urais wa 2015 hiyo itakuwa wazi kwakila mtu kwani uongozi wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau mi nauliza tu, kila siku nikisoma news nakutana na Mh. Pinda mara anazindua barabara mpanda, juzi kati ya mikoa yote mipya iliyoanzishwa ni mkoa wa Katavi pekee uliopatiwa fungu, CRDB...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Natazama TBC1 hapa, kubwa kuhusu Mh. Kafulila na wenzake ni tafsri ya kisheria kuhusu kuvuliwa uanachama. Dkt. Mvungi anasema NCCR haina pingamizi juu ya amri ya mahakama kuu. Anasema baadhi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nazani hivi sasa Dr Slaa anakumbuka maneno ya Maalim Seif kuwa jihazarini sana na Hamadi huyo , Maalim alimshutukizia Mwanzo Hamadi kuwa ana agenda nyigi za ccm ili kuvuruga upinzani. Kwanza...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Heshima yenu wanaJf! Chama cha Demokrasia na Maendeleo Sumbwanga mjini kimekanusha upotoshaji uliofanywa na mwenyekiti wa CCM mkoa wa Rukwa bw Matete kuwa bw Godfrey Shayo iliyekihama Chama...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Katika Mwanahalisi la leo kuhusu sakata la CUF, kuna sehemu ya habari imenishtua: Sehemu husika ya habari: Awali akiandika kwa Prof Lipumba, Maalim Seif anasema, "Nimefurahi kwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa Singida anaendelea kujichafua. Amezuia mdahalo uliokuwa umeandaliwa na Taasisi zisizo za Kiserikali (Singida Non-Govermental organisation Network) - SINGONET kwa kile alichodai...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimekuwa nafuatilia topics za jukwaa la siasa kwenye mobile phone internet naona kuna very big lag of time. Kwa mfano saa hizi karibu saa mbili jioni lakini last update ni saa mbili asubuhi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Great thinkers, The Tanzanian Minister for Finance tells us that there is no significant relationship between and spiraling inflation and the government budget deficit. This is a day-time lie. I...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom