Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hivi kweli naomba wana JF muijadili hali hii,hivi inakuwaje tuwe na watu wanaoitwa Ma DC,Ma RC wakati hakuna output yoyote wanayotoa katika maendeleo yetu watz? nilidhani wao ndo watakuwa na...
0 Reactions
0 Replies
835 Views
1. David Kitundu Jairo-Katibu mkuu wizara ya nishati na madini. 2. Ludovick Utouh- CAG 3. William Ngeleja-Waziri nishati na madini 4. Malima-Naibu waziri nishati. 5. Mizengo Pinda- Waziri...
0 Reactions
97 Replies
9K Views
Wengi wetu wana JF tunaweza tukawa hatutaki kukubali la ukweli ni kwamba anguko lilotokea la TSH lilitokana na RA kutoa amana zake katika mabank yetu, Kuuza hisa zake vodacom na Airtel, ndio...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mh Raisi,salaam! Mheshimiwa nilifuatilia hotuba yako ya kufunga mwaka 2011 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2012.Kama kawaida hotuba ilikuwa nzuri.Ulieleza mambo mengi ya maana kwa mustakabali wa...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Kwenu CHADEMA Mimi kama kijana wa kitanzania, naona mambo hayaendi kabisa ndani ya nchi yangu ambayo nitake nisitake bado ndo hatma ya maisha yangu ilipo. Na si mimi tu bali vijana wengi nao wapo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwaka ushapita sasa tunaomba wana Ubungo na wana Dar na JF kwa ujumle mtuleteee report card ya huyu JJ MNYIKA Je Mbunge huyu alitoa ahadi zipi kwa wana Ubungo Je ana elimu gani? Komsomea nini...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wadau, Najaribu ku-think loudly and widely. Najua hawa jamaa wa visiwani wametawanyika sana katika maeneo ya Tanganyika kuanzia Kyela Mbeya hadi Tarime Mara, kutoka Ujiji Kigoma hadi Ilala Dar es...
0 Reactions
57 Replies
6K Views
Hongera mkuu kwa kujitokeza ktk vyombo vya habari na kutoa ufafanuzi wa vyanzo vya pesa za misaada uliyotoa jimboni kwako... hii inakupa free mind na sisi wananchi tunapata satisfaction ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wana JF Hii ndio hali halisi ya kwetu hapa nyumbani?Mishahara ya wafakazi haiwezi kuongenzwa hata kama wakigoma ,,Miaka nane"Mungu ibarika hiii Nchi" TOFAUTI na alivyojigamba kwamba ni mlipaji...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
CHADEMA SENGEREMA; TAARIFA KWA UMMA WILLIAM NGELEJA NA HAMIS MGENJA WANAPONGEZANA KWA KUTAPELIWA! HILA HAZITAINUSURU CCM INAYOUMWA NAMBULILA! KWA siku mbili mfululizo kumekuwepo na...
6 Reactions
34 Replies
4K Views
Wakati chama cha ANC cha Afrika kusini kikisherehea siku yake ya kuzaliwa matukio mawili muhimu kwangu nimeona. Mosi ni Rais wa zamani Thabu Mbeki kuhudhuria sherehe hizo kwa mara ya kwanza tangu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Sunday, 08 January 2012 11:43 Na Maggid Mjengwa Gezaulole baba, Gezaulole mama ee,Twendeni Kibugumo na Mwanadilato kwenye makao mapya,Gezaulole baba, Geza ulole mama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanabodi.. Halmashauri ya Jiji la Arusha kwa kushirikiana na Kampuni ya ujenzi ya Phils International ya Dubai. Wanatarajiwa kuboresha jiji la Arusha kwa kuwekeza katika mradi mkubwa wa...
0 Reactions
98 Replies
12K Views
Ni siku tano sasa tangu lile ongezeko la nauli limeanza kutelezeka, hakika mambo yanakwenda ndivyo sivyo. kwa kawaida mtu anaweza kudhani sisi ni walalamishi tusiyopenda kuchangia pato la taifa (...
0 Reactions
59 Replies
4K Views
Kutokana na vyama vyote kukosa dira inayoeleweka ya kuongoza Taifa.Naomba wale wapenda ujamaa ambao naamini bado wako wengi waanzishe chama cha kijamaa cha Tanzania (socialist party of Tanzania)...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
UONGOZI wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) umewafukuza kazi madaktari 229 walioko katika mafunzo kwa njia ya vitendo kutokana na mgomo wa siku nne wakishinikiza kulipwa posho zao za mwezi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
SERIKALI imeombwa kuhakikisha inatoa nakala nyingi za Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuzisambaza kila kona ya nchi hii ili kila Mtanzania aweze kuisoma na kujua mapungufu yake...
0 Reactions
1 Replies
784 Views
Amwambia aache kuingilia maamuzi ya CUF Asisitiza: ``Hamad sio mwanachama wetu`` Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Shariff Hamad Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF)...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Political party like any other formal organization has the standing orders, specific rules and regulations geared at governing, regulating and rationalising the behavioural patterns of its leaders...
0 Reactions
0 Replies
798 Views
SUMAYE AMVUTIA PUMZI NDUGAI Waandishi Wetu Mwananchi CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimebaki njia panda baada ya kushindwa kuchukua hatua au kutoa tamko kuhusu mivutano na vita ya maneno inayoendelea...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…