Napendekeza nafafasi za wakuu wa wilaya na mikoa zibinafsishwe kwa wachina na wakoreaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Napendekeza nafafasi za wakuu wa wilaya na mikoa zibinafsishwe kwa wachina na wakoreaa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mzee wa miba, Jan 9, 2012.

 1. mzee wa miba

  mzee wa miba JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 763
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi kweli naomba wana JF muijadili hali hii,hivi inakuwaje tuwe na watu wanaoitwa Ma DC,Ma RC wakati hakuna output yoyote wanayotoa katika maendeleo yetu watz? nilidhani wao ndo watakuwa na mashamba ya mfano huko vjijini ili wananchi wajifunze,pia nilidhani kuwa wao ndo watakuwa na mifugo ya mfano,mbona hayo maendeleo wanayodaiwa kuhamasisha siyaoni huku vijijini? Kuna watu pia huku wanaitwa maafisa tarafa,hawa wote wanapokea mishahara na marupurupu ambayo ni jasho lawalipa kodi,napendekeza baada ya CDM 2012 kuchukua nchi vyeo hivi vifutwe.
   
Loading...