Hakika rais alikuwa sahihi: 'Tukiwakamata mafisadi uchumi utayumba' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hakika rais alikuwa sahihi: 'Tukiwakamata mafisadi uchumi utayumba'

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mchaga 25, Jan 9, 2012.

 1. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wengi wetu wana JF tunaweza tukawa hatutaki kukubali la ukweli ni kwamba anguko lilotokea la TSH lilitokana na RA kutoa amana zake katika mabank yetu, Kuuza hisa zake vodacom na Airtel, ndio matokeo yake wewe uliyoyashuhudia.

  Na huu ni upuuzi mkubwa ambao uliachiwa watu wachache kuweza kuhoodhi uchumi wa nchi na kusababisha wengi kuwa wasindikizaji wa wananchi.

  Rostam kwasasa na familia yake wako ughaibuni baada ya kula mema ya wapumbavu, sasa hivi hela yake inayozunguaka ni ile iliyoko barrick tu na si vinginevyo.

  Watanzania tutaibiwa hivi hata lini? amka sasa, huu mpango wa bank kuu wa kustablize shilling ni wa muda tu, nini hatima ya huu upuuzi??

  Nawasilisha
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Waziri Mkuu alisema kuwa hawa jamaa wana Nguvu sanaaaa!...kumbe wengi hatukumwelewa alichomaanisha!
   
 3. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Hakuna mwenye akili hapa tz kama rostam, kubali ukatae...na bado hajamaliza mission yake...em ngoja kwanza tuone 2015.
   
 4. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Rostam, mbona cover yake limeshakuwa blown na pia nyalandu cover lake limekuwa blown pia yani ndio maana naipenda Tanzania.
   
 5. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #5
  Jan 9, 2012
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Tukubali kuitwa wajinga. Sijawahi kusikia serikali inasema inawaogopa wezi. Pamoja na ku-blow up cover, watyu hawa bado tunaendelea kuwaona tena wanatukejeli, na wanatucheka kwa kutuona wajinga. Hii ndio Tanzania yetu, tulipiga kelele kuwa wezi wezi wezi. Wezi wakajitokeza na kusema sisi sio wezi tukathibitisha hawajakanusha m tukasema tunwaogopa.
   
 6. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jamani Tz hatuna serikali, iliyopo madarakani ni serikali kivuli, mafisadi ndo wanaongoza hii nchi.
   
 7. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #7
  Jan 9, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,604
  Likes Received: 4,725
  Trophy Points: 280
  Nilisha sema kuwa RA ni yote katika yote katika nchi hii. RA ndiye boss, ni yeye ndiye anaamua nani awe nani, nani auwawe nani apewe sumu afe taratibu nk, huyu ndiye bosi wake nkweree.
   
 8. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #8
  Jan 9, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kutoa amana zake bank na kuuza hisa zake bado si sababu tosha ya kuyumba kwa uchumi wa nchi yetu, tatizo kubwa ni nchi kuendeshwa kimjini mjini zaidi lakini si hisa na amana za RA labda utuwekee hapa hizo amana ni kiasi gani, thamani ya hisa zake kwenye hayo makampuni alizouza na jinsi bank kuu ilivyoruhusu uhamishaji mkubwa wa pesa kiasi kwamba uchumi unayumba!
   
Loading...