Published On: Fri, Jan 13th, 2012
Burundi | Published On: Fri, Jan 13th, 2012
BUJUMBURA - An exiled Burundian opposition leader has been arrested in Tanzania on the orders of the Bujumbura...
Kwanza nianze kwa kukupongeza kwa juhudi zako za kutatua matatizo yetu wana ubungo,ubungo ni sio jimbo dogo na pia lina matatizo mengi nianze na machache:
Wanafunzi wa udsm wanaolala watatu...
Baraza Kuu la CHADEMA mkoani hapa limepangua safu ya uongozi wa juu wa mkoa kwa kuwateua viongozi wa muda watakaokiongoza chama hicho hadi Mei.
Kikao hicho kizito kilifanyika karibu usiku mzima...
Wana jamii leo hii mkuu wa kaya ameongoza maafisa wa majeshi ya ulinzi na usalama katika kumuaga Kamishna Nkuku ambaye ametutoka hivi majuzi. Jamaa huyu alikuwa mchapa kazi kwelikweli na amekuwa...
Waingereza waliondosha majeshi yao kikiwemo kikosi maalumu cha Kiarishi ambacho kilikuwa kimewekwa karibu na uwanja wa gofu na mpaka wa Mji Mkongwe mapema mwaka 1963. Kipindi ilipopandishwa...
Mary Victoria - Raia Mwema
Mwenyekiti na Mkurugenzi wa NEC uchaguzi wa 2010
Taarifa za NEC zaonyesha CHADEMA imeshinda kwa 83%
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeingia katika kashfa mpya...
wana JF ni wakati mwingine wa kufuatilia mjadalal wa katiba ambao kwa sasa unaendelea katika ukumbi wa chuo cha Bibllia Arusha kilichoko Ngaramtoni Arusha. Mjadala ambao unaendeshwa na Shirika la...
Wasalamu wanajamvi?
Nianze na kusema kwamaba nawapongeza sana uongozi wa juu wa Chadema mpaka hapa walipo fika kwa mafanikio makubwa ya kisiasa zaidi ya chama chochote cha siasa kilichowahi...
Katika hali isiyo ya kawaida juzi katika viwanja vya stendi ya zamani mjini bunda,waziri wasira akiambatana na mbunge wa musoma vijijini ndugu Mkono kwa kile ambacho walikiita mkutano wa elimu...
Ni nani mpinzani wa Kweli na Nani Mzalendo wa Kweli nchini Tanzania?
Wimbi la kuvurugana kwenye vyama vya upinzani bado linaendelea kuvitesa vyama hapa nchini!
Kina David Kafulila kufukuzwa...
Na Bashir Nkoromo, Zanzibar
Kamati Kuu ya CCM imemteua mwanachama wake, Mohammed Raza kuwa mgombea wa Uwakilishi jimbo la Uzini.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi...
wadau hope mnaendelea vizuri hapa jamvini
mimi ni mwanachama hai wa chedema lakini sina kadi ya uanachama so naombeni msaada wenu ntapataje kadi hiyo na nitaipata wapi?
nawasilisha
Wana jamvi,habarini za leo?Za majukumu?Si utani,leo ktk kata ya Pasiansi nimekuta mkutano wa NCCR-Mageuzi,viongozi wanahutubia.Ajenda kuu ni Kafulila kwamba ameshajinyonga mwenyewe kisiasa.Na...
SERIKALI imekutana na wasagishaji wa unga wa mahindi kutoka katika Halmashauri zote za Mkoa wa Dar es Salaam, kwa ajili ya kupanga mkakati endelevu wa kudhibiti upandaji wa bei za mazao.Ofisa...
Tangu kutolewa uamuzi wa halmashauri kuu ya NCCR mageuzi kumvua uanachama mbunge wa kigoma Kusini Bw David Kafulila, baadhi ya magazeti ynatia shaka kwa jinsi yanavyoripoti suala hilo
Sina nia ya...
Zitto Kabwe
Ndugu Jussa, Kama rafiki yako mkubwa na unajua ninavyomheshimu Maalim Seif Kama kiongozi thabiti. Leo nakwambia usilolipenda. Sio sahihi katika demokrasia Kama yetu kumfukuza Mbunge...
Je sheria ya vyama vya siasa zanibar ni tofauti na ya muungano?
Katiba ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania inasema
(2) Bila ya kujali masharti ya ibara ndogo ya (1) haitakuwa
halali kwa chombo...
Na Samson Mwigamba
MHESHIMIWA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwanza nakupa hongera kwa kutimiza miaka sita ndani ya Ikulu ya Magogoni.
Lakini napenda kuwa muwazi kwamba nakupa hiyo...
Hi wakuu.
Suala la kiongozi mmoja kulundikiwa vyeo, kiasi kwamba anapotakiwa kuhudhuria mialiko sehemu tofauti tofauti inakuwa ngumu kwake kuhudhuria na hivyo kutuma mwakilishi, limekuwa sugu...
Nimeamua kuanzisha thread inayohusu kampeni ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo wilaya ya Arusha mjini inayo julikana kama "Oparesheni zika CCM jenga Chadema" ambayo mpaka sasa wameshafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.