Picha: Mkutano wa CUF Dar wafurika

MANGI MASTA

Senior Member
Jul 14, 2011
175
56
bendera.jpg
cuf-mkutano.jpg
cuf-mkutano2.jpg
nyomi-cuf2.jpg
cuf-mkutano3.jpg

Jussa Ladhu - Naibu katibu mkuu Zanzibar

mtatiro-cuf.jpg

Julius Mtatiro - Naibu katibu mkuu bara akihutubia

seif.jpg

Katibu mkuu wa CUF na rais wa kwanza wa serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar mh. Maalim Seif Hamad akihutubia

nyomi-cuf.jpg

Umati wa watu ukishangilia

seif2.jpg

Maalim Seif akisisitiza msikamano kwa wanacuf

seif3.jpg

Maalim Seif: CUF hapendwi mtu kinapendwa chama na katiba yake

katani.jpg

Mh. Katani mgombea ubunge wa Tandahimba - Mtwara

baruani.jpg

Mbunge wa Lindi mjini Mh. Baruani na Mh. Bimani (Mkurugenzi wa habari CUF Zanzibar) wakionya kuhusu kuasi katiba ya chama

machano.jpg

Mzee Khamis Machano makamu mwenyekiti wa CUF taifa

umati-cuf.jpg

Wanachmam wa CUF wakifuatilia kwa umakini mkubwa hotuba za viongozi wao licha ya jua kali lilokuwa likiwachoma

seif4.jpg

Haki sawa kwa wote

maalim-cuf.jpg

Maalim Seif alipokuwa akiwasili uwanjani

viongozi-cuf.jpg

Viongozi wa kitaifa

mwkt-kinondoni-cuf.jpg

Mwenyekiti wa CUF wilaya ya Kinondoni
 
Wasiwasi wangu ni hayo majeshi ya vyama, yaani Green Guards na Blue Guards. Kama yasipothibitiwa sasa hivi, tujiandae kwa umwagaji damu siku moja
 
ingekuwa chadema basi polisi wetu wangekuwa wameshapata taarifa za kiintelijensia
 
Kwa mwenye uelewa, naomba ufafanuzi wa bendera iliyo nyuma ya jukwaa walilotumia waheshimiwa kwa ajili ya kuongea.

Sijawahi kuona bendera ya namna hiyo na sielewi ina maanisha nini. Nimeona kama kuna bendera ya Tanganyika na Tanzania. Sijui kama ni bendera mbili zimeunganishwa au ni bendera mbili zinapepea kwenye mlingoti mmoja? Mnisamehe, macho yangu ni mabovu.
 
Bendera ya nchi jirani inapepea.Ndio maana agenda yao kuu ni kutaka Rais wa Tanganyika atoke Zanzibar.Loh ukistaajabu ya musa utaona ya firauni
 
My conclusion kumbe mtatiro ni kilaza.. Anaendeshwa na mkumbo wa maalim seif
 
Kwa mwenye uelewa, naomba ufafanuzi wa bendera iliyo nyuma ya jukwaa walilotumia waheshimiwa kwa ajili ya kuongea.

Sijawahi kuona bendera ya namna hiyo na sielewi ina maanisha nini. Nimeona kama kuna bendera ya Tanganyika na Tanzania. Sijui kama ni bendera mbili zimeunganishwa au ni bendera mbili zinapepea kwenye mlingoti mmoja? Mnisamehe, macho yangu ni mabovu.
Keil, Jihabarishe hapa. gonga links

BBC NEWS | Africa | Joy as Zanzibar flies new flag

Flag of Zanzibar - Wikipedia, the free encyclopedia

Nchi ndani ya nchi (China na Hong Kong)
 
Ni rasmi sasa. Nchi imevaa bukta;

1. Chama hiki ni dhahiri kina muelekeo wa kidini lakini dola inakichekelea
2. Kiongozi wa chama hichi ni Rais wa nchi jirani inayopinga uwepo wa URT
3. Rais huyo anakuja URT na kuwakuta wananchi wa URT wanamsubiri kwa hamu
4. Rais huyo anawasomesha wananchi wa YRT kama vile ni watoto - sawasawa?
5. Wananchi wa URT wanamkenulia meno full time
6. Muda wote huo bendera ya URT hairuhusiwi kupeperuka, ni ya nchi jirani tu inayoruhusiwa kutamba
 
Ni dhahiri chadema nacho ni chama cha kidini lakin dola inaendelea kuichekelea

Chadema kimewahi kuwakejeli wazanzibar na hata kuwavua hijabu wanawake waislam hadharani

Wananchi wanawakenulia menu full time ajabu..chadema??
 
Sawa.Tumeona ila rekebisha maalim Seif sio rais wa kwanza ni makamu wa kwanza wa rais huko Zanzibar.
 
..hiyo bendera hapo ni ya Zanzibar?

..kwanini hawapeperushi bendera ya Tanzania?

..au, kuna ujumbe unatumwa hapo kwa Watanganyika na dhidi ya muungano wetu?

Seif ni kiongozi wa Serikali ya Zanzibar na sio kiongozi wa serikali ya Muungano( de facto serikali ya Tanganyika kama unavyoiita, unasahau kuwa ni serikali ya kuchanga) , na yupo ndani ya TZ.

Yawezekana anapeperusha bendera ya TZ anapotoka nje ya mipaka ya TZ. Hili sina uhakika nalo. Na sasa anataka zamu kwa zamu urais wa serikali ya jamhuri ya muungano ili apepeperushe bendera ya Mungu ibariki TZ na watu wake!

Tunaposema Muungano huu ni mazingaombwe wengine wanakuja juu na kutoka kipovu!

Bendera ya Jeshi la polisi imefanana na hiyo ya Zanzibar. Tanzania - Police

Zidumu fikra za Mwalimu! Kigumu chama cha Mapinduzi! Wanaulinda Muungano wao kwa bidii na kwa mbinde.
 
Kwa mwenye uelewa, naomba ufafanuzi wa bendera iliyo nyuma ya jukwaa walilotumia waheshimiwa kwa ajili ya kuongea.

Sijawahi kuona bendera ya namna hiyo na sielewi ina maanisha nini. Nimeona kama kuna bendera ya Tanganyika na Tanzania. Sijui kama ni bendera mbili zimeunganishwa au ni bendera mbili zinapepea kwenye mlingoti mmoja? Mnisamehe, macho yangu ni mabovu.

maswali mengine bana ni uharo mtupu. Sasa kama umeoma bendera ya taifa la zenj na yule makamo wa zenj wht du u espect acha papara. Sioni msingi wa swali lako
 
Mbona huwa sioni Bendera ya taifa nyuma ya altare anapohutubia mwenyekiti wa ccm ambaye pia ni raisi wa URT?, pia mwenyekiti huyo hupanda gari yenye namba za kawaida huku akipeperusha bendera ya chama chake..inakuwaje huyu anapanda gari oficial ya serikali?

Je ni kulewa madaraka? Ndivyo alikuwa akihubiri kabla ya kupata cheo hiki? Mh.
 
Back
Top Bottom