Viongozi wa CCM wanatafuta 'mchawi'!

TITAN

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
308
47
Ukweli ni kwamba kuna watu wamejitokeza katika Serikali ya CCM wanatoa habari za ki intelejensia kwenye mitandao ili kuweza kudhoofisha kambi inayo andaliwa kuchukua madaraka 2015. Je ni kweli wana CCM wanaweza kujua ni nani mchawi na ni nani anawachafua?

Na wakisha mjua wanaweza kuchukua maamuzi magumu? Kaeni mkao wa kula kujua nini kitatoke soon, na jambo hili litawekwa wazi hapa kwenye jamii, majina kamili ya watu wanao chafua Serekali na ushaidi upo. Je Serekali ikisha pata habari hizi wataweza kuchukua hatua ngumu. tungoje na tuone hii ndiyo Tanzania yetu..:rant:
 
Mkuu swala si kuchafuana issue ni je wanao toa izo shutuma nao ni wasafi? mbona kwa sikuzote wamekua wakifaidika na sasa kwa sababu wanajua wanapoteza nafasi zao ndiyo wanaongea mambo ambayo na wao wameusika.
 
Mkuu swala si kuchafuana issue ni je wanao toa izo shutuma nao ni wasafi? mbona kwa sikuzote wamekua wakifaidika na sasa kwa sababu wanajua wanapoteza nafasi zao ndiyo wanaongea mambo ambayo na wao wameusika.

ANALYSIS:


  • kuchafuana
  • wanatoa shutuma (wao)
  • wasafi
  • faidika
  • (wao) wamekuwa wakifaidika
  • poteza nafasi
  • (wao) wanajua wanapoteza nafasi
  • na wao wamehusika
  • (wao) wanatoa shutuma
  • (wao) wanaongea mambo ambayo na wao wamehusika
  • (wao) wanaotoa hizo shutuma si wasafi


CONCLUSION: HAKUNA ALIYE MSAFI NDANI YA HIKI CHAMA NA HATAKUWEPO ANGALAU KWA KIZAZI HIKI.
 
Tishia Nyau unataka wasiuhabarishe umma,ukitoa majina toa na vielelezo
 
Back
Top Bottom