Mapinduzi Zanzibar mwisho mwaka huu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapinduzi Zanzibar mwisho mwaka huu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tigga Mumba, Jan 12, 2012.

 1. Tigga Mumba

  Tigga Mumba JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 747
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Natamani hizi sherehe za mapinduzi mwakani siziwepo kwetu watanganyika. Ziwe kwao tu sisi tuna sherehe moja tu ile ya December 9.
   
 2. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,025
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Nalo hili neno!
   
 3. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,519
  Likes Received: 1,690
  Trophy Points: 280
  Kwani sasa hivi ni ya Tanganyika? Si bado ni sherehe ya nchi jirani ya Zanzibar
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Sasa mbona tumefunga ma-ofisi huku Tanganyika wakati ni sherehe ya nchi jirani....
   
 5. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #5
  Jan 12, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  katika sherehe zetu za 9 December na wao huwa wanafunga maofisi
   
 6. norbit

  norbit JF-Expert Member

  #6
  Jan 12, 2012
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 496
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 60
  Hizi ndio neema za ujirani mwema
   
 7. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #7
  Jan 12, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kweli muungano ni una ufa mkubwa kama daraja la kigamboni.
   
 8. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #8
  Jan 12, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Zanzibar ni sehemu muhimu ya jamhuri ya tanzania, kwa hiyo lazima tanzania yote kama nchi (country or nation) iwepo hata kama zanzibar japo si rasmi kutokana na kutokuwa wazi katiba yetu zanzibar ni tuinchi (state) kwa maana hiyo ni swafi sherehe ifike kwenye mainland pia
   
 9. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #9
  Jan 12, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Zanzibar ka ji Wilaya kamojawapo ka Tanganyika japo eti kana rais na makamo wawili loh!
   
Loading...