CHADEMA Mwanza

Wambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2011
557
319
Niko hapa kwenye viwanja vya pasiansi mwanza this tym.. Namuona Higghness Kiwia mbunge wa Ilemela, ametangaza hapa hadharan kwamba watu wa wasiangalie star tv kabisa kutafuta habar zake, hawatakaa wamuone coz mpinzan wake ambaaye ni mmiliki wa kituo hicho, amezuia kabisa haabar zake kuruka on air.. Jamaa anajitetea hapa kwamba amefanya vitu toka ameingia.. Inaonekana kama raia hawamuelewi hivi. Siasa hizi tabu kweli...... Ila kiukwel anasema amekomaa sana mpaka fungu la hospitali ya wilaya ya ilemela limeshafika..
 
Ndiyo maana tunataka katiba mpya. ccm wameshika kila mahali, wananchi wananyimwa kupata habari za viongozi wao waliowachagua.
Ningediriki hata kusema CDM waanzishe kituo cha tv na redio,japo namaanisha hivyo.

Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki CHADEMA
AMEN!
 
CDM inatakiwa ianzishe chombo chake cha habari,wasitegemee kurushwa hewani na magamba au wamiliki wanaoshabikia magamba!
 
Nadhani mbunge haitaji media kutekeleza majukumu yake ye afanye kazi wananchi wanayotegemea then kuhusu habari zake hakuna mazuri yanayojificha especially katika tanzania hii ambayo ccm imechokwa. Hao startv tunawajua tangu enzi za uchaguzi walishindwa kutoa matokeo ya mwanza wakati na wao wapo hapo.

Highness Kiwia and Ezekia Wenje chapeni kazi mazee hakuna kulala na siku zinakimbia
 
Niko hapa kwenye viwanja vya pasiansi mwanza this tym.. Namuona Higghness Kiwia mbunge wa Ilemela, ametangaza hapa hadharan kwamba watu wa wasiangalie star tv kabisa kutafuta habar zake, hawatakaa wamuone coz mpinzan wake ambaaye ni mmiliki wa kituo hicho, amezuia kabisa haabar zake kuruka on air.. Jamaa anajitetea hapa kwamba amefanya vitu toka ameingia.. Inaonekana kama raia hawamuelewi hivi. Siasa hizi tabu kweli...... Ila kiukwel anasema amekomaa sana mpaka fungu la hospitali ya wilaya ya ilemela limeshafika..
Kwenye bold ebu tuambie kafanya vitu gani? kwani bila Star TV hawezi kuwaletea wapiga kura wake maendeleo? mbona kuna mikoa mingi tu wabunge wake wanafanya kazi bila TV? mbona katoa utetezi wa kiwango cha chini kabisa
 
Ametoa gari kwa ajili ya kusaidia wananchi katika matatizo mbali mbali.
 
Aache kusingizia Star tv mambo anayoyafanya kwa wananchi yataonekana moja kwa moja bila kutegemea tv, Pia namshauri atengeneze mfumo wa mawasiliano bila kutegemea tv wala redio ajifunze kwa mbunge wa Arusha jinsi alivotengeneza mfumo wa mawasiliano na wananchi hususani vijana akifanya hivo hahitaji star tv kufikisha ujumbe kwa wananchi.
 
Nadhani mbunge haitaji media kutekeleza majukumu yake ye afanye kazi wananchi wanayotegemea then kuhusu habari zake hakuna mazuri yanayojificha especially katika tanzania hii ambayo ccm imechokwa. Hao startv tunawajua tangu enzi za uchaguzi walishindwa kutoa matokeo ya mwanza wakati na wao wapo hapo.

Highness Kiwia and Ezekia Wenje chapeni kazi mazee hakuna kulala na siku zinakimbia

True dat mzee..
 
Aache kusingizia Star tv mambo anayoyafanya kwa wananchi yataonekana moja kwa moja bila kutegemea tv, Pia namshauri atengeneze mfumo wa mawasiliano bila kutegemea tv wala redio ajifunze kwa mbunge wa Arusha jinsi alivotengeneza mfumo wa mawasiliano na wananchi hususani vijana akifanya hivo hahitaji star tv kufikisha ujumbe kwa wananchi.

Lakini mkubwa media inamata sana pia kwa hawa waaheshimiwa wetu kuwafikia wtu wengi zaidi..
 
Ni wabunge pekee wa kanda ya ziwa wameanza kazi.Mh.Samson Hyness Kiwia ameshanunua Ambulace na imesaidia kuwawahisha wagonjwa wetu Bugando na Sekou Toure,ameshasaidia kero mbali mbali,za madawati,ardhi nk.Wenje nae alikoroma tu bungeni saa 5.30 asb na saa 7 mch tukapata umeme baada ya kuukosa kw siku 5 mfululizo kulikofanywa na serikali ya CCM KUTUKOMOA,kisa! Tumechagua CHADEMA.Amefanikiwa kutoa madawati kwa shule nyingi tu za msingi,ana watoto anaowalipia ada,amefanikiwa kupanga wamachinga vizuri mjini kwa maeneo yaliyokubaliwa na jiji la mwanza,kimeanzishwa chama cha wamachinga na wana uongozi na katiba imeshasajiliwa,unahitaji nini kwa huu muda waliokaa madarakani?
 
Kwenye bold ebu tuambie kafanya vitu gani? kwani bila Star TV hawezi kuwaletea wapiga kura wake maendeleo? mbona kuna mikoa mingi tu wabunge wake wanafanya kazi bila TV? mbona katoa utetezi wa kiwango cha chini kabisa

No sio hivyo tu mkuu.. Ameelezeaa maambo mengi aloyaftilia ikiwemo miradi ya barabara kibao ambayo anasemaa ilitakiwa kuwa imetekelezwa kama inavyooneshwaa kny ripoti zaake.. But mwisho wa siku wanakutaa hakunaa kitu.. Pia anasema moja ya hizo ripot za barabara aaalikbidhiwaa usiku wakat kikao ni kesho yake.. So hio inaatoa muda mfupi wa kufuatilia everything.
 
Back
Top Bottom