Ngeleja atembelea Mgodi wa Barrick, Tulawaka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ngeleja atembelea Mgodi wa Barrick, Tulawaka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ndibalema, Jan 11, 2012.

 1. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Habari za ndani kutoka kwa mdau aliyepo ndani ya mgodi wa Tulawaka uliopo mkoani Kagera unaomilikiwa na kampuni ya Barrick.
  Waziri wa Nishati na madini Mh. William Ngeleja yupo ndani ya mgodi huo.

  Haijulikani Mheshimiwa huyo amefuata nini lakini ameambatana na msafara wa magari aina ya V8 yasiyopungua nane.

  Sasa hivi mheshimiwa akisindikizwa na Meneja wa Mgodi huo wanaelekea mesini kupata chakula cha mchana huku msafara wa magari aliyokuja nayo yakielekea sehemu maalumu ya kujazia mafuta tayari kwa kujazwa mafuta ya bure.

  Ngeleja anaonekana ni mwenye furaha na hafichi tabasabu lake kila anapopena mikono wa wazungu wa hapo, pengine kuna kitu kinamfurahisha mgodini hapo.
   
 2. Complicator EM

  Complicator EM Senior Member

  #2
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 155
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mh! JF ina network kila kona, nadhani mpaka ikulu JF wapo.
   
 3. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,467
  Likes Received: 3,732
  Trophy Points: 280
  vyakula mbali mbali alivyovipata umesahau hapo ni mgodini na yeye ni waziri wa madini
   
 4. Mrembo

  Mrembo JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 392
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  ivi bukoba kuna mgodi? sikujua !
   
 5. The Stig

  The Stig JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 884
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Unategemea kuwa Ngeleja amefuata mlungula huko mgodini na msafara wake wote huo?

  Yaani akili zao zooote zishindwe kufikiria namna nyingine ya kupeana huo mlungula (kama upo) mpaka wakapeane kwenye mgodi? Hao wachimbaji wanaoweza kulipulia mbali mlima mzima ili wapate madini yaliyo chini ya huo mlima? Wenye kuweza kujenga hospitali ya maana kilomita moja chini ya ardhi? Na huyo Ngeleja na akili zake zooote za mjini?

  Hebu fikiria tena jamani.
   
 6. F

  Froida JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Lazima acheke cheke tuu Lazima atakuwa kapewa vitofali vya dhahabu sii chini ya ishirini -Tanzania Shamba la Bibi kweli na wananchi wake wote mazezeta wasiojitambua
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa si ameambiwa afukuze wawekezaji wa madini na sisiemu nahisi na yeye ameenda kuchukua kitofali chake na mlungula kama jamaa wa wivu wa kike alivyochukua
   
 8. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Jamani mmeshau mwezi Jan ulivyo na matumizi makubwa(ada,kilimo etc) so Ngeleja kafill deficit kidogo kaona akalambe mlungula pale kwa kuanzia wese la bure alafu kwa ofisi wataandika walijaza tena full tank
   
 9. C

  Chigoto Member

  #9
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 5
  Shamba la Bibi unakula kutokana na Urefu wa kamba yako jamaa kamba yake ndefu aiseeee!!!
   
 10. J

  John W. Mlacha Verified User

  #10
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  unauliza vita bakora kwa mwalimu wa primary
   
 11. t

  tisa desemba JF-Expert Member

  #11
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  kagera sio bukoba
   
 12. F

  FUSO JF-Expert Member

  #12
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,867
  Likes Received: 2,340
  Trophy Points: 280
  kwani kashamaliza ile mikutano yake kuibomoa chadema kanda ya ziwa?
   
 13. sumasuma

  sumasuma JF-Expert Member

  #13
  Jan 12, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 331
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Huyu jamaa , habari toka migodin inasemekana amepewa tenda ya kuchukua vyuma chakavu migodi yote ya barrick,duuuu jamaa noma!!! eti anasafisha mgodi!!! hiyo tenda alipataje na ilitangazwa gazeti gan??
   
 14. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #14
  Jan 12, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,150
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  tofali kadhaa za zahabu, huwa wanang'oka nazo wanaenda kuuza
   
 15. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #15
  Jan 12, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Ndio leo nimesikia kwamba Ngeleja ana akili nyingi za mjini.
  Siku ya pili leo Morogoro hakuna umeme!
  Yeye anachecheka tu kama tahira huko migodini!
   
 16. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #16
  Jan 12, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Hana huo ubavu, hata CCm wanajua.
   
 17. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #17
  Jan 12, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  kamtembelea mshikaji wake.....na kucheki jinsi watAKAVYO KAMUA KI MWISHO MWISHO
   
 18. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #18
  Jan 12, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Ndiyo huo Tulawaka! Kuna wanaosema nchi ya Tanzania %age kubwa ya ardhi yake ina madini..
   
 19. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #19
  Jan 12, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Hivi Ngeleja bado waziri?!
   
 20. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #20
  Jan 12, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135

  Yes, mmoja kati ya wale waliozidiwa na usingizi.
   
Loading...