Nyerere Hakukiona Wanachokiona Wana-kinyang'anyiro wa Leo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyerere Hakukiona Wanachokiona Wana-kinyang'anyiro wa Leo.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Wambandwa, Jan 12, 2012.

 1. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2012
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Kwenye safu ya ya Rai ya Jenerali - gazeti la Raia Mwema January 11 - January 17 na kuna nukuu zimenigusa kwenye paragraph mbili, na quote:

  Ambacho hakujua Nyerere ni kwamba baada ya kifo chake, wale aliowaona kama waadilifu kwa sababu walikuwa wakiitikia kila alichokisema, wangekunjua makucha yao na kuchanachana kila alichokiona kama adhimu. Tena hawakusubiri sana baada ya kifo chake, jambo linaloashiria kwamba walikuwa wanajua anaondoka na wakawa wanahesabu siku.
  [FONT=Verdana, Geneva, Arial, 'Bitstream Vera Sans', 'DejaVu Sans', Meiryo, 'Hiragino Kaku Gothic Pro', 'MS PGothic', Osaka, sans-serif]Hivi sasa wamekwisha kushika kasi katika kinyang'anyiro hicho, na hakuna cha kuwarudisha nyuma hadi watakapopigwa ‘stop' na wananchi. Kwa sasa wanaamini kwamba mambo yako vile vile, kama 1965, na ndiyo maana watatoana roho (kiukweli) katika mashindano ya kwenda Ikulu.

  Yangu macho na masikio!
   
 2. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,316
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  I respect that dude when it comes to political analysis of this country. Ulimwengu yuko njema.
   
Loading...