Bora Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ajaye awe na Sifa za BIBI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bora Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ajaye awe na Sifa za BIBI

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DSN, Jan 12, 2012.

 1. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  [FONT=&amp] Sifa zifuatazo natamani Rais ajae kwa Tanzania awe nazo, yani awe B-I-B-I kwa kama ifuuatavyo

  B-stand for Bright
  If you describe someone as bright, you mean that they are quick at learning things.

  I
  -
  stand for Intelligent
  A person is intelligent has the ability to think, understand, and learn things quickly and well.

  B-stand for Brave
  Someone who is brave is willing to do things which are dangerous, and does not show fear in difficult or dangerous situations.

  I-stand for interlocutor
  If someone is interlocutor is the person taking part in a conversation or discussion.[/FONT]

  Kwa sifa hizo tajwa Tanzania ambayo tunayo sasa hakika itageuka gafla na kuwa na ustawi wa aina yake,na sio kuwa Tanzania haina watu wenye sifa hizo.Mungu hakumuweka Nyerere kuzaliwa Tanzania kwamba ndio alama ya mwisho ya kiongozi bora Tanzania na dunia bali kama mwanzo wa ishara ya viongozi bora Africa na dunia na wenye dila kupatikana Nchini mwetu Tanzania.

  Hakika sina cha kumlaumu kiongozi kwa kuwa alipofika ni matokeo ya mfumo,ulioshindwa kujinasua na kwa kuwa na yeye ni sehemu ya mfumo huo amekosa baadhi ya sifa hapo juu.Ili Tanzania ifanikiwe Rais aliyeko madarakani hana budi kuwa Brave, kwa Watanzania Rais kuwa brave ataonekana mkatili na dikteta kwa baadhi ya maamuzi ambayo yatawaathiri marafiki, wapenzi na ndugu zake zake yeye,mimi, wewe ama mtanzania yeyote.Je sisi Kama Taifa tumejiandaaje andaaje kwa athari hizo za misukosuko ya Kitaifa dhidi ya wale wote ndugu zetu, marafiki zetu, wapenzi wetu, jamaa zetu, wake zetu, wachumba zetu na wote wenye kuhujumu mali ya Taifa kama watendaji wenye dhamana au raia wa kawaida mfano mvunja taa za barabarani au mkwepa kodi.

  Je kama Taifa tuko tayari kuona BRAVENESS YA RAIS kupitia madaraka yake tuliyomvisha kupambana na mafisadi na wezi wa mali ya umma kuanzia ngazi ya kaya,kijiji,kata,tarafa,wilaya,mkoa mpaka Taifa, tukiona na kukubali wakihukumiwa kwa amri maalumu ambazo Rais mbunifu anaweza kuanzisha kwa kutumia akili yake kupitia Brightness na Intelligentsia yake na kupitia kipawa chake cha kuwa interlocutor na wadau mbalimbali kama jamii na Taifa kwa ujumla.

  Je uko tayari ukisikia kipenzi chako,rafiki yako,baba yako, mama yako,mdogo wako, kaka yako, shangazi yako,shemeji yako, jirani yako, mjomba wako, mtoto wako, shoga yako, best yako,swahiba wako,mwalimu wako, mfanyakazi mwenzio,mwenyekiti wako, diwani wako, balozi wako, Mkurugenzi wako, manager wako,doctor wako, mbunge wako, waziri wako na hata viongozi wako wa kitaifa wakiwemo wastaafu wakikumbana na mkono wa Rais ambae wewe ulimchagua. Je tutasimama kama Taifa na kusupport nguvu ya raia kwa atakachofanya Rais wetu kama Kiongozi aliyeamua kwa niaba yetu sisi.

  Je ni kweli Watanzania ni watu wa kukubali ukweli wa kuwa undugu wetu na wenzetu watajwa hapo juu,inapofika swala la ndani uwa tunakumbatia JADI tuliyolithi toka kwa mababu zetu za kukumbatia misemo kama ZIMWI LIKUJUALO ALIKULI LIKAKWISHA.Hivyo tayari ukwepa ukweli wa kuwajibika na kusimamia haki bila kuangalia sura ya mtu.

  JE KELELE ZETU ZA RAIS KUSHINDWA UTAWALA NA KUWA SERIKALI YETU NI LEGELEGE, JE NI LEGELEGE YEYE AU SISI WATANZANIZA NDIO LEGELEGE, kwa kuwa Rais wa Taifa ni kioo cha jamii husika.

  JE TUKIPATA RAIS MWENYE SIFA ZA BIBI TUKO TAYARI ATUTENDEE TOFAUTI KWA KUKUMBATIA METHALI YA UKITAKA KUMUUA NYANI USIMTAZAME USONI NA MSEMO WA ZIMWI KWAKE UWE NI MSAMIATI USIO NA NAFASI.Watanzania tuko Tayari?
   
 2. Lighondi

  Lighondi JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 585
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Umegonga penyewe! Watanzania tunapenda mambo mazuri watokee by default!!
   
 3. n

  nyangwe Senior Member

  #3
  Jan 12, 2012
  Joined: Oct 3, 2010
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
   
 4. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,152
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Hata kama raisi ajaye atakuwa na sifa ulizoziainisha hapo na nyingine kibao za kutosha, asipokuwa na sifa ya uzalendo ni kazi bure, na hili tatizo la uzalendo ndilo linalotutesa kwa sasa kwa sababu mtu ukishakosa uzalendo ni lazima utakuwa mbinafsi na matunda ya ubinafsi ni kuwa fisadi, ukishakuwa fisadi na uwajibikaji kwa wananchi hupotea, uwajibikaji ukipotea zao lake ni umasikini uliokithiri kupita kiasi
   
 5. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #5
  Jan 12, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,160
  Likes Received: 1,162
  Trophy Points: 280
  Awe na uwezo wa kununulia watz. ubwabwa na tisheti pamoja na kipaji cha kuhaidi ahadi zisizo tekelezeka!
   
Loading...