TANZIA
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepatwa na majonzi makubwa na kinasikitika sana kwa kifo cha Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Taifa, Mheshimiwa Regia Mtema ambaye pia ni...
Ndugu zangu wanaJF,
Nawapa pole wote walioguswa na msiba mkubwa wa mpiganaji mwenzetu marehemu Dada Regia Mtema.
Kwa heshima, nimeona ni vema nianzishe uzi mahsusi utakaojumuisha michango ya...
Haujapita muda mrefu sana tangu polisi mkoani Singida walipofukuzwa kwa kosa la kumbambikiza kesi raia na kupokea rushwa ya milioni tisa. Leo wamekamatwa tena kwa kosa lile lile la kumbambikiza...
Josephine Mushumbusi, amezungumza kupitia Mwanasheria Mkuu wa Chadema, ambaye pia ni wakili wa Dk Willibrod Slaa, Tundu Lissu, akaviambia vyombo vya habari kuhusu tuhuma zinazowakabili yeye na Dk...
Meya wa kichina,juzi alikodisha wahuni kuzuia mkutano wa Operation zika ccm,Jenga CHADEMA.Akizungumza jana kwenye mkutano huo wa hadhara,Kamanda wa vijana CHADEMA mkoa,NANYARO ambaye ndie mwasisi...
Katika Taifa lolote Viongozi ndio wanaobeba maono na dira ya nchi. Ubora wa Taifa lolote lile unategemea sana maarifa na busara za Viongozi wao. Kwahiyo Aina ya nchi, ujenzi wake, mpangilio wake...
Nimepitia taarifa za kidogo cha mh. Mbunge Mtema, katika gazeti la habari leo si taarifa iliyopewa kipaumbele jambo ambalo nadhani si Sawa na hasa nikilinganisha na taarifa iliyopewa kipaumbele...
Na Salim Said
MIMI ni mlemavu wa kimaumbile wala si mlemavu katika kazi, lakini kuna watu ni wazima kimaumbile, lakini ni walemavu kwenye kazi, hivi ndivyo anavyoanza Regia Mtema katika...
Kuna taarifa kuwa Mbunge wa viti maalum Regia Mtema (Chadema) juzi aligoma kutii amri ya OCD ya kuvunja mkutano wa ndani alipokuwa anazunguza na wananchi wa Kilombero kuhusu sakata lao la ushuru...
Nimepita kwenye facebook wall ya katibu mkuu wa BAVICHA Deogratias Munishi nikakuta picha hii akiwa nahutubia mkutano wa vijana wa demokrasia duniani huko Sydney Australia kwenye ukumbi wa bunge...
Wasira ali zomewa na wananchi katika mkutano aliyo ualika kuhusu
katiba mpya maudhulio yali kuwa afifu watu wasio zidi hamsini katika
mkutano cha ajabu wakati akiendelea kuelezea watu wakaanza...
Katika hali isiyo ya kawaida, Mkuu wa Mkoa wa Singida ameagizwa na ofisi ya Waziri Mkuu kuwa azunguke kwa wananchi katika mkoa wake kufuta kauli ya kuwa Mkoa wa Singida watu wasilime mahindi kama...
Prof. Mark Mwandosya alivyochambua siasa za wanachama wa CCM mkoani Mbeya,'' kutabiriana kifo, sijui huyu amechoka, mzee apumzike..... n.k ', mbinu za wana CCM kutumia fedha kupata uongozi...
WATANZANIA NA HASWA WATANGANYIKA NI HODARI MNO KWA KUSHANGAA MAMBO.
1. WATANGANYIKA WANASHANGAA ZANZIBAR KUWA NA BENDERA YAKE, WIMBO WAKE, MIPAKA YAKE N.K.
2. WATANZANIA WANASHANGAA KUPANDA KWA...
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk.Wilbrod Slaa, ameiumbua tena serikali ya Chama cha Mapinduzi(CCM) kwa kufichua waraka maalumu wenye lengo la kudhibiti na kufuatilia...
Enzi za kumwaga sera majukwani zimeshapitwa na wakati. Tunataka viongozi wanaofanya kazi kwa vitendo, si kutandikiwa mikeka wanapopanda miti kwa ajili ya picha, ila wazame kwenye tope na kuchimba...
Ukipita Fuoni utakuta Hekalu, ni jumba sawa na Ikulu ya Zanzibar.
pembeni mwa kasri hilo linalokaliwa na vijana huku mzee akiishi nyumba ya Gov kuna wazanzibar wenye vijumba vya Tope na...
LAITI MHESHIMIWA SITTA ANGEJUA URAMBO INAVYOTAFUNWA VITA YA UFISADI ANGEIHAMISHIA JIMBONI MWAKE
Nduguwana Jf,
Kupitia safu hii napenda niufahamishe umma wa watanzania na hasa tume ya maadili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.