Kadi za uanachama CHADEMA

Mtende

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
6,385
7,295
wadau hope mnaendelea vizuri hapa jamvini
mimi ni mwanachama hai wa chedema lakini sina kadi ya uanachama so naombeni msaada wenu ntapataje kadi hiyo na nitaipata wapi?

nawasilisha
 
Kama huna kadi wewe si mwanachama hai, bali shabiki hai wa chadema.
Kadi za chama zipo, labda uelezee location yako ili upate msaada zaidi!
 
Mkuu labda useme uko wapi kwa sasa,lakn waweza ulizia office za CDM popote ulipo na wadau watakusaidia kukuonesha hizo office
 
Kama huna kadi wewe si mwanachama hai, bali shabiki hai wa chadema.
Kadi za chama zipo, labda uelezee location yako ili upate msaada zaidi!

Heko sanaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!

Natumia simu maana kuna kitu ningekuwekea hapa!
 
Kumbe bado mpo.
Mtazidi kupungua kila siku.
maana babu anazidi kuzeeka kila uchao.
OTIS
 
kusaidiwa??? Nataka kununua mimi siyo ccm nataka gwanda nafika dar kesho kutwa niko uk
 
kwa kadi ya uanachama nenda ofisi ya chadema iliyoko karibu nawe.utapata.magwanda kuna fundi spesho pale jirani kabisa na makao makuu ya chama.ukifika makao makuu watakuelekeza fundi mwenyewe
 
kama unakuja dar ukiwa posta panda gari za mwananyamala shuka kituo kndn manyanya ulizia ofisi za chadema ukiwa ubungo panda gari za msasani shuka manyanya, ukiwa mwenge panda gari za kariakoo shuka manyanya, ukiwa temeke panda gari za msasani au kawe shuka manyanya na ukiwa kariakoo panda gari za mwenge,kawe au tegeta shuka manyanya ulizia ofisi za chadema makao makuu utaelekezwa .
 
Mkuu unafikiri wana JF wote ni wakzi wa Dar?
 
nenda ofisi yoyote ya ccm iliyo karibu nawe utapata kadi yako bila wasiwasi.kwa sasa wewe si mwanachama ni shabiki nam mpenzi
 
Tunashukuru ndugu ufunuo kwa maelekezo labda hakuna sehemu nyingine tofauti na makao makuu ninapoweza kupata kadi?
 
Mtaangaika sana mwaka huu na Kadi Magwanda sijui navyo vitapiga kura!
 
Kaka hii ni sawa na wewe unavyoshabikia mpira unapovaa jezi ya timu unayoipenda, kwa hiyo ni ushabiki na pia kusuport chama.
 
kaka hii ni sawa na wewe unavyoshabikia mpira unapovaa jezi ya timu unayoipenda, kwa hiyo ni ushabiki na pia kusuport chama.

ndio maana natafuta kadi ili kudhihirisha uanachama wangu
 
kama unakuja dar ukiwa posta panda gari za mwananyamala shuka kituo kndn manyanya ulizia ofisi za chadema ukiwa ubungo panda gari za msasani shuka manyanya, ukiwa mwenge panda gari za kariakoo shuka manyanya, ukiwa temeke panda gari za msasani au kawe shuka manyanya na ukiwa kariakoo panda gari za mwenge,kawe au tegeta shuka manyanya ulizia ofisi za chadema makao makuu utaelekezwa .

asante ndugu i will go there soon
 
Back
Top Bottom